Kwa mashabiki wa klabu ya Barcelona huenda wasiamini tetesi za mshambuliaji wao Mbrazil, Neymar Jr kuwa ameitosa klabu yake na kuhamia kwa matajiri wa Ufaransa, Paris Saint-Germain, ukweli ni...
HISPANIA: Maafisa wa ligi ya Soka La Liga wayakataa maombi ya uhamisho wa mchezaji Neymarjr kutoka FC Barcelona kwenda kwa matajiri wa Jiji la Paris, PSG.
La Liga wameigomea ofa hiyo kwa kuwa...
Simba kusajili wachezaji 13 hivi ni pendekezo la kocha au kama kawaida yenu kuingilia majukumu ya kocha.Sidhani kama kuna kocha duniani anaweza kusajili timu nzima wakati katoka kuchukua...
Kipa bora msimu uliopita (Aishi Manula) amesajiliwa Simba, Mchezaji bora wa kigeni msimu uliopita (Haruna Niyonzima) amesajiliwa Simba, Mchezaji bora ligi kuu msimu (Mohamed Hussein...
Huo ndiyo ukweli, yaani nikisema upenzi wa soka bila kutaja yanga sioni maana ya soka.
Yanga ina mipango ya muda mrefu na ya mfupi, ina viongozi wenye shule na IQ kubwa tofauti na 7up fc...
Uongozi wa Yanga umetaka Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) kuwaomba radhi mara moja.
Yanga wametaka kuombwa radhi kutokana na kitendo chao cha kutoalikwa katika zoezi la kukabidhi vifaa lililofanywa...
Paris St-Germain wamekamilisha kumnunua mshambuliaji wa Brazil, Neymar, kwa ada iliyoweka rekodi mpya ya ununuzi wa mchezaji ya euro 222m (£200m) kutoka Barcelona.
Ununuzi huo wa mchezaji huyo wa...
Baraza la Mpira wa Miguu kwa Nchi za Kusini mwa Afrika (Cosafa), limetoa zawadi ya dola 10,000 kwa Taifa Stars ya Tanzania baada ya kushinda na kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Castle...
Club ya soka ya nchini Ufarasa ya PSG umethibitisha usajili wa Neymar kutoka Barcelona kwa ada inayoaminika kuwa £198M.
PSG imethibitisha uhamisho huo kupitia ukurasa wao wa Twitter
Afisa Habari wa klabu ya Simba amethibitisha kwamba Haruna Niyonzima ni mchezaji halali wa klabu hiyo mara baada ya kumaliza mkataba na klabu yake ya zamani Yanga ambayo aliichezea hadi msimu...
Nyota wa barcelona Neymar anataka kuiihama klabu yake ili kuelekea katika klabu ya PSG iliopo nchini Ufaransa ,lakini hatua hiyo inatarajiwa kuigharimu PSG rekodi ya uhamisho ya €222m
Kwa bei...
Wadau wa soka la bongo naomba mwenye kukumbuka kikosi cha Majimaji Songea cha mwaka 1996-1998. Kikosi hiki kama sikosei kilikuwa bingwa wa bara na kucheza ile ligi ya iliyojulikana kama ligi ya...
Hii timu tumekuwa tukishuhudia kila Mara ikitembeza bakuri kuomba msaada hasa Wa kifedha kutoka kwa wadau ili kuweza kuisaidia kusukumasukuma klabu. Ukifuatilia zaidi umaskini Wa timu hii ni Wa...
Nyota wa Barcelona Neymar amepewa ruhusa ya kuondoka Barcelona akitarajiwa kujiunga na PSG katika kitita cha rekodi ya pauni milioni 198.
Raia huyo wa Brazil amewaambia wachezaji wenzake wakati...
Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola amekiri wazi kuwa yupo katika vita nzito ya kuwania saini ya mshambuliaji kinda wa AS Monaco ya Ufaransa, Kylian Sanmi Mbappe Lottin dhidi ya Mabingwa...
With the announcement that ROman will Face Samoa Joe next week on Monday for the right to face Brock Lesnar at Summer Slam, what are you thoughts? Will Roman win? Or should they have just gone for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.