Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Thomas Ulimwengu atakaa nje ya uwanja hadi Januari, mwakani. Hii ni baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti na mshambulizi huyu wa AFC ya Sweden, tayari ameanza kupata nafuu. Allah amsaidie apone...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Sikuwa naumiza akili zangu kuhusiana na ubaguzi wa ngozi kwani sikuona umuhimu wowote na faida yeyote. Kuna pambano la ngumi litafanyika August 26 kati ya mwana masumbwi kijana Mayweather na Conor...
11 Reactions
37 Replies
4K Views
Kimsingi Kocha wa Timu ya Taifa ya nchi yoyote ni MTUMISHI WA UMMA , anatumikia timu ya taifa , hivyo ni lazima wananchi husika wamfahamu vizuri umahiri wake na uwezo wote kwa ujumla , ili waweze...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Mpambano huo utafanyika Agost 26, katika uwanja wa T_mobile mjini las vegas Kiingilio ni usd 150000. Sawa na zaidi ya sh za madafu ml 330 Na tiketi zinauzwa kama njugu, woote mnakaribishwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habari ningependa kujua hii timu ya hawa mabavaria wa ujerumani bayern munchen wamekumbwa na nini mana wanapoteza sana mechi zao za maandalizi kuelekea kuanza kwa msimu mpya,ndo kusema uwezo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sport Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
440 Views
Wadau naomba kujuzwa je kuna kuna eneo au Nchi iliyovunja rekodi ya uanachama wa muda mfupi zaidi wa kuwa mwanachama wa shirikisho la soka Afrika Caf zaidi ya Zanzibar? Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
2 Replies
838 Views
Unaambiwa katika kuhakikisha wanapambana na hali yao ya kujinusuru na kushuka daraja,wasije kuwachosha Wachezaji wao wa kikosi cha kwanza na/au kupata majeraha Jamaa waliteremsha kikosi cha vijana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani msaada naulizia ofisi za kampuni ya Mbet, kuna mkeka nilibeti na matokeo yakaenda kama nilivyobashiri lakini kucheki wao wameandika not win.. Nimepiga sana namba zao za customer care...
1 Reactions
68 Replies
26K Views
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Brazil , Philippe Coutinho amefanikiwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Kibrazil ndani ya Bara la Ulaya kwa mwaka 2016. Katika...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakala wa Mchezaji wa Kimataifa wa Tanzania Thomas Ulimwengu ametoa ' Kauli ' ambayo kiukweli imethibitisha kuwa ' Waafrika ' tumeshalaanika tokea dunia inaundwa na kamwe pale tukiwa tunapewa huu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana simba nawatahadharisha na fitna anayotaka kuileta mwalimu Omog kutaka kuigawa dressing room tufahamu dressing room kuigawa ni kuiharibu timu na kujitafutia matatizo.Tujikumbushe Mourinho...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Ni ukweli usiopingika sasa yanga imesheheni viungo wa kiwango cha juu ,na hasa iwapo yanga itamalizana Papy kabamba tshishimbi anaedaiwa kuwa bado ana mkataba na timu take. Hivyo kwa maslahi ya...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Unakumbuka habari ya Haruna Moshi Boban akiweka kiroba kwenye chupa ya maji? Leo hii tena ni zamu ya Juma Nyoso. Watanzania hatuishi vituko. Leo napita pita kwenye jarida la goal.com naona...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
TFF leo imeunda Kamati ya Rufaa ya Leseni za Klabu na kumteua Dkt. Damas Ndumbaro kuwa mwenyekiti na Wakili Alex Mgongolwa kuwa makamu wake Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Klabu ya Simba leo imezindua rasmi wiki yake ijulikanayo kama (Simba Week) kuelekea kilele cha Maadhimisho ya sherehe kubwa ya timu hiyo inayofanyika kila mwaka ambayo ni maarufu kama Simba Day...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Manula Aly shomary mwanjali Mbonde zimbwer jr Mkude kotei niyonzima Okwi Nikolas gyan, mavugo Benchi: nduda, kipombe, mlipili, mwambeleko, kichuya, boko, mo ibrahim, ndemla...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Back
Top Bottom