Baada ya hivi majuzi kukamatwa akihusishwa kutoa ' rushwa ' huko Mkoani Mwanza Mtangazaji, Mkuu wa Vipindi Clouds Media Group ( CMG ) na Mchambuzi wa Masuala ya Michezo nchini Bwana Shaffih Dauda...
Safari ya kiungo Said Ndemla kwenda kufanya majaribio katika klabu ya AFC ya Sweden imewadia.
Hii ni baada ya klabu ya Simba kutoa ruhusa kwa kiungo huyo kwenda kufanya majaribio.
Mwishoni mwa...
Mtanzania Saimon Msuva Ametambulishwa Rasmi Kwenye Club Yake Mpya Ya Difaa Al Jadida Ya Nchni Morocco Kwa Mkataba Wa Miaka Mitatu Kuitumikia Club Hiyo..
(y) KILA LAKHEL MSUVA
#niposimba
Sherehe zinaendelea Azam Xtra Okwi kitajwa kuwa miongoni mwa wachezaji 11 Bora kabsa ktk league ya Uganda!
Wale gongowazi fc wajiandae 5 zileeeeeee zinakuja!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Dr. Nassoro Ally Matuzya ni daktari wa binadamu mgombea wa nafasi ya Katibu Mkuu chama cha wataalamu wa tiba ya michezo Tanzania (TASMA) ana uzoefu mwingi mno ndani ya chama hiki na masuala ya...
Mchezo wa mieleka Una ukweli wowote?
Wengine wanadai ni kweli Na wengine wakidai ni mchezo unaopangwa yaani wa kuigiza tu mbele ya hadhira!!
Wapi ni...
ANAITWA DR COSMAS KAPINGA MGOMBEA UJUMBE CHAMA CHA WATAALAMU WA TIBA YA MICHEZO TANZANIA(TASMA)MKUTANO MKUU TFF NI DAKTARI WA BINADAMU MWENYE UZOEFU WA MASUALA YA TIBA ZA MICHEZO NA MTAALAMU WA...
Mtanzania Emily Mgeta ameiwezesha timu yake ya VfB Eppingen kuibuka na ushindi wa kwanza akiwa anaichezea kwa mara ya kwanza katika mashindano.
Mgeta ambaye ni beki wa kushoto wa zamani wa Simba...
Wakuu wengine tuko mbali na Magazeti, tunachoambulia ni heading tu. Kuna gazeti liliiripoti kuwa yule kiungo Mkongo alitaka kukimbia Yanga kwa sababu ya 10%, Gazeti hilohilo leo limeripoti kuwa...
Meneja Miradi ya Maendeleo wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa Afrika, Mzimbabwe Solomon Mudege amewasili nchini kwa ajili ya kufuatilia mambo yanayoendelea katika shirikisho la soka...
Kwa matukio kama haya ambayo nitayaorodhesha hapa acheni tu Watanzania tuchekwe kuwa tuna mapungufu makubwa ya Kufikiri na kwamba kupata Maendeleo itakuwa ni ndoto na labda inabidi tukae chini...
Hivi timu zetu za Taifa za mpira wa miguu upande wa wanaume na wavulana kwanini zinaharibu kila kukicha na kutuumiza sisi mashabiki? Tatizo ni Kocha, Wachezaji, Shirikisho la mpira, au Serikali...
Kwa mara ya kwanza TZ pambano la ngumi lilioneshwa live
kupitia youtube....ajabu watu chini ya 500 tu ndo walikuwa live
kutazama
najiuliza why hali hii?
kuna sababu iliyofanya watu wachache...
Kipa kinda Ramadhani Kabwili amesaini mkataba wa miaka mitano kuichezea Yanga.
Kabwili ambaye aling’ara na timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys anaingia kwenye kundi la...
SIMBA inaendelea na maandalizi ya maadhimisho ya siku maalum ya klabu hiyo ‘Simba Day’, na imefahamika klabu ya Rwanda ya Rayon Sports ndio watakaokuwa wageni waalikwa na kucheza mechi ya kirafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.