Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Endapo usajiri wa mnigeria Henry Tony Okoh utafanikiwa basi Yanga itakua na kikosi kipana sana na itakuwa ni changamoto kwa mwl Lwandamina kuchagua kikosi kitakachomfaa kwa siku hiyo. Binafsi hiki...
6 Reactions
54 Replies
12K Views
Nmejisikia aibu kuhusiana na hii habari ya kuwa wapinzani wetu simba wamefungwa bao 7 huko south africa. Nikaangalia hayo matangazo yanayosema hivyo. Ni aibu sana maana hata watu wetu wa IT...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
MCHEZAJI yeyote atakayesajiliwa msimu huu hataweza kupatiwa leseni ya kucheza soka ikiwa hatapimwa afya yake na kuidhinishwa kwamba ni mzima. Hayo ni miongoni mwa masharti matatu yaliyopitishwa...
1 Reactions
2 Replies
776 Views
Hivi ni kweli kuna kocha yeyote duniani anaweza kutoa ripoti kwa uongozi usaini timu nzima wakati mmetoka chukua FA? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
881 Views
Golikipa wa Kimataifa wa Tanzania Aishi Salum Manula kesho tarehe moja Agosti, anatatajiwa kujiunga rasmi na kambi ya Klabu yetu ya Simba iliyopo Eden Vale Johannesburg nchini Afrika Kusini...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Sitii neno Mimi.... Nyie wenyewe mng'amue sasa.
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Naombeni msaada kwa anaefahamu application nzuri za kustreem mpira live na kuangalia tv kwakutumia laptop Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni habari ya chinichini kwamba mnyama Simba Sports Club alambwa saba katika moja ya mechi za kujifua kwa ajili ya maandalizi ya msimu Ama kweli huu utakuwa msala na kocha ajipange maana kupigwa...
8 Reactions
89 Replies
21K Views
Ni Henry Tony Okoh. Beki kisiki na fundi wa mipira iliyokufa. Msome hapa chini. -------------------------------------------
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Naona Bundi ameshatua Msimbazi hata mzunguko wa kwanza haujaanza. Simba mjipange kwa kuchukua Kombe na si kuanza kugombea kumiliki Timu. Na hapo ndipo Yanga anapochukua nafasi na kuchukua Kombe...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni Paulo Bukabu kutoka Atletico Olympique ya Burundi. Taarifa zaidi zinakuja so usitoke hapo ulipo.....
1 Reactions
7 Replies
4K Views
120-119
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hili swali huwa najiuliza Mara nyingi sana, licha ya Jamaa kuwa na uwezo kwenye kusakata kabumbu ....Hivi kwanini hatujawahi kusikia jamaa akihitajika sehemu Fulani akafanye trials kama wenzake...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Skwadi ya Simba ambacho kimepiga kambi nchini Afrika Kusini, ndani ya wiki hii kitaanza kucheza mechi za kirafiki na timu mbalimbali zinazoshiriki ligi kuu ya nchi hiyo. Kikosi hicho ambacho...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Katika usajili makini waliofanya Yanga kuimarisha striking force ni pamoja na kumsajili mshabuliaji Ajibu kutoka Simba. Kumbukumbu za Ajibu zinaonyesha kuwa kwa misimu mitatu amefunga goli 24...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Nikiwa kama Mwanachama ' lia lia ' wa Yanga FC natoa masikitiko yangu makubwa kwa Uongozi wa Klabu yetu hasa kwa aina hii ya usajili ambao wanaufanya kwani kiukweli kuna Wachezaji ambao Mimi...
2 Reactions
77 Replies
10K Views
STRAIKA mpya wa Yanga na kipenzi cha walio mashabiki wa Simba SC, Ibrahim Ajibu, tangu asajiliwe kutoka Simba hakuwahi kuzungumza lolote, lakini juzi Jumanne jamaa aliamua kufunguka na kutamka...
6 Reactions
25 Replies
8K Views
Kuanza maisha mapya kwa waarabu wa Morocco.
3 Reactions
19 Replies
4K Views
wakuu nadhani mtatusaidia kupata update za mechi hii itakayopigwa marekani tunaomba msaada tuliopo huku kitapilimwa,ibofwe,magangamatitu ambako TV tunazisikia tu [emoji120] [emoji120]
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom