Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mshambuliaji wa Yanga Simon Happygod Msuva aliyetimkia Morocco kujiunga na moja ya miamba ya soka barani Africa amefunguka na kusema matarajio yake ni kwenda mbele zaidi na ukizingatia nchi ya...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Huyu ni mtangazaji wa Clouds na mdau mkubwa wa kandanda. Source Star Tv
1 Reactions
48 Replies
7K Views
Gwiji wa mchezo wa mpira wa miguu raia wa Argentina,Diego Maradona ameunga mkono utumiaji wa kanda za video licha ya kukiri kwamba bao lake la ”Hand of God” dhidi ya Uingereza 1986 halikufaa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
--------------------------------------------------- Wadau mbalimbali wa soka wakiwemo wagombea wa uchaguzi katika nafasi mbalimbali za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wamekamatwa jijini Mwanza...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Jumatano ya July 26 2017 zilienea taarifa za kukamatwa na TAKUKURU kwa mwenyekiti wa chama cha mpira Dar es Salaam DRFA Almas Kasongo, mgombea wa nafasi ya ujumbe wa kamati ya utendaji ya TFF...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari zenu wana jamvi. Ikumbukwe kuwa Mwezi Agosti kutakuwa na mtanange wa Ngao ya Hisani. Ngao ya hisani ni mtanange unaokutanisha "Bingwa wa LigiKuu Bara" na "Bingwa wa kombe la shirikisho...
7 Reactions
25 Replies
6K Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndege imebadilishia gia angani[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116] BREAKING NEWS.. Baada ya Zanzibar kufutiwa uanachama na shirikisho la soccer...
3 Reactions
30 Replies
7K Views
Tayari yupo kwenye mikono salama na atasain Yanga ndani ya 48hrs!!
2 Reactions
23 Replies
11K Views
Floyd Mayweather vs. Conor McGregor ni pambano ambalo litafafanua vizuri maana ya tukio tajiri la kimichezo mnamo August 26 wakati pambano hili litakapovunja rekodi zote za kifedha zilizowahi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Watu hawa wamechukua form za kuwania urais Tff ni haki yao kabisa ila hakuna mtu asiewajua Hawajawahi kufanikisha chochote cha maana tangu wakae katika soka Mwakalebela aliwahi kuwa katibu wa...
0 Reactions
3 Replies
771 Views
katika mechi ya kirafiki ilochezwa na Njombe mji fc na azam fc..njombe mji imeinuka kidedea kwa kuichapa Azam 2 bila... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Katika vitu ambavyo natamani kuona ni simba kuingia katika mfumo wa HISA Kwa mtindo huu simba inaweza kuwa kama club nyingine barani Afrika na dunia kwa ujumla Mimi kama mwanachama naukaribisha...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia mapema leo alifika makao makuu ya idara ya uhamiaji kwa amehojiwa kuhusu uraia wake. Karia ni kaimu rais...
0 Reactions
3 Replies
902 Views
Ndio kama hivyo siku ya jana tumeshuhudia draw ya ratiba ya robo fainali ya michuano hiyo mikali, kwa upande wangu nimetokea kuvutiwa na huu mtanange kati ya stimu tosha watoto wa mabibo na keko...
1 Reactions
0 Replies
814 Views
1. Aishi Manula 2.Shomari Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Erasto Nyoni 5. Salimu Mbonde 6. Jonas Mkude 7. Shiza Kichuya 8. Haruna Niyonzima 9. John Boko 10. Laudit Mavugo 11. Emanuel Okwi Sent...
4 Reactions
60 Replies
11K Views
Kiungo mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Yanga, Simon Msuva Mara baada ya kiungo wa Yanga SC na timu ya taifa ya Tanzania, Simon Msuva kupata nafasi ya kwenda kuanza maisha...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mechi hii sio ya kukosa. Vita ndani ya uwanja na nje ya uwanja. Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Zile tetesi kwamba kuna chuki za kocha wa Taifa Stars dhidi ya kuuvaa mkenge wa Usimba na Uyanga leo umedhihirika baada ya timu aliyoiteua kutofua dafu kwa Taifa dogo la Rwanda na kutoka suruhu...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Ninajiuliza swali. Ni hatua zipi muhimu za mtu hupitia Hadi kujinasibu kuwa yeye ni shabiki Wa timu fulani? 2.Je kuna Kosa gani kwa shabiki Huyo kuamua Kubadili gear angani na kujiunga na timu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom