Shirikisho la Soka Barani Afrika(CAF) leo limeifutia uanachama wa Zanzibar ikiwa ni miezi 4 baada ya kupewa uanachama huo.
Rais wa CAF amesema kuwa wamechukua uamuzi huo kwakuwa hawawezi kuruhusu...
MKUTANO wa CAF uliomalizika juzi huko Morocco umepitisha kuanza michuano ijayo 2019 huko CAMEROON kutakuwa na timu 24 ikiwemo taifa star endapo watajituma kucheza kwa bidii kila Siku.
Kuna...
Klabu ya Mbeya City imeweka hadharani jezi zake mpya zitakazo tumika kwaajili ya msimu mpya wa ligi kuu Tanzania Bara huku zikionekana kuwa na chata ya mdhamini wake mbele ya uzi huo...
Utaratibu wa timu yoyote ile duniani ni kuchezesha wachezaji mahiri , hii ndio njia pekee ya kuzishinda timu zingine na kutwaa makombe .
Lakini hali ni tofauti katika nchi ya Tanzania , hapa...
Hivi ni kweli shirikisho la Soka Afrika CAF wameipoka uanachama Zanzibar mienzi minne tu baada ya kupewa kwa sababu walikuwa hawajafanya tathimini ya kina.?
Sent using Jamii Forums mobile app
CAF (Confederetaion of African Football) yathibitisha mabadiliko kwenye muda na uongezwaji wa washiriki kwenye michuano ya Africa Cup of Nations (AFCON) kuanzia 2019 kufuatia kongamano la kwanza...
Washabiki wa Chelsea hili jambo mnapaswa kulielewa vizuri , pamoja na mapungufu ya Tabia ya Costa lakini mara zote amekuwa mbabe mno ndani ya 18 , kuziba pengo lake kwa mchezaji wa kawaida kama...
Muda mchache uliopita Viongozi wa TFF Rais Jamal Emil Malinzi na Katibu Mkuu wake Celestine Mwesigwa wamerudishwa tena Segerea hadi tarehe 31 mwezi huu ambapo Kesi yao itatajwa tena baada ya...
Mxhambuliaj wa Manchester united Romelu Bolingi Lukaku Leo amefunga goli lake la pili kwa club hio katika mchezo dhidi ya Manchester city .
Kutazama video ya goli alilofunga na highlights za...
Klabu ya West Ham wanakaribia kufanikiwa kumnunua mshambuliaji wa Mexico, Javier Hernandez kutoka Bayer Leverkusen ya Ujerumani.
Klabu hiyo ina matumaini makubwa ya kufanikiwa kumchukua mchezaji...
Kwaheri ya kuonana Wayne Rooney,ulijitoa kwa nguvu na maarifa makubwa sana kwa kipindi chote ulichoitumikia Man United(2004-2017) ..
Ulijitahidi kuziba pengo la Ronaldo na kwa kiasi fulani...
TETESI ZA SOKA ULAYA IJUMAA 16.06.2017
*Chelsea kunafukuta?
*Real ‘wakomaa’ na Morata
*Giroud kufanywa ‘chambo’
*Ronaldo kuodoka Spain
Kuna ‘hali ya mvutano’ kati ya meneja wa Chelsea Antonio...
Huenda ni ndoto isiyoharisia niliipenda fani yangu nikiamini nitaungwa mkono na nchi yangu, ninaumia zaidi kuona hakuna anaye jari fani hii je kunao wanaowezeshwa kuhusiana na mchezo huu...
Ngao ya Jamii ni taji ambalo huchezwa wiki moja kabla ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Na: YANGA WHATSAPP SUPPORTERS MAKAO MAKUU.
Tunakukumbusha Kuelekea tu Tarehe 23/8/2017 Ngao ya jamii. Mechi hiyo...
Mungu mkubwa sana na sana na inabidi ashukuriwe kwa Klabu za Simba na Yanga kutokupata nafasi ya kucheza dhidi ya Klabu ya Everton ya nchini Uingereza kwani nina uhakika wa 100% na tunavyojijua...
Kiungo wa SK Sturm Graz, Mtanzania Michael Lema amesema anajivunia kupata nafasi ya kucheza dhidi ya kiungo wa Ghana na West Ham, Andre Ayew.
Katika mchezo huo wa maandalizi ya mwanzo wa msimu...
KIUNGO Mzimbabwe, Thabani Scara Kamusoko leo amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea Yanga baada ya mavutano na uongozi kwa takriban mwezi mmoja.
Baada ya kusaini mkataba huo...
YANGA imepanga kufunga usajili wake mpaka kufikia mwisho wa wiki hii, lakini vifaa vitakavyohitimisha zoezi hilo la usajili vimewekwa wazi na kuonekana kwamba vitakuwa na ushindani mkubwa.
Katika...
Yule mido mchungu anayepiga pasi za kunyoosha kwa rula,sasa ni rasmi ametua Simba kama tetesi zilivyoeleza hapo awali!
Uongozi wa Simba umekamilisha taratibu na jina kutumwa TFF. Prof huyo wa...
Kutoka kuwa mfungaji wa goli la ushindi la Kombe la Dunia.
Moja kati ya viungo bora wa uchezeshaji kuwahi kutokea Ujerumani, Mario Gotze kwasasa hana namba ya kudumu toka alipokuwa Bayern Munich...