Nahodha wa Simba, Jonas Mkude ameungana na wachezaji wenzake na kufanya nao mazoezi pamoja nchini Afrika Kusini.
Mkude alikuwa akifanya mazoeiz pekee taratibu lakini kuanzia leo ameanza mazoezi...
Mshambuliaji wa Ruvu shooting na mfungaji bora wa ligi ya Tanzania bara 2016/2017 Abdulrahman Mussa amemjibu kocha wa Taifa stars kuwa hayupo sahihi kama alivyosema Jana kwenye utetezi wake dhidi...
Habari zenu wanajamnvi.
Leo watani zangu wamenitumia picha ya kikosi chao kikiwa kinajifua vilivyo huko Johannesburg, South Africa. Wakijinasibu kuwa wako tayari kabisa kuwavaa Yanga ya...
Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya mpira wa miguu Taifa Stars, Salum Mayanga amesikitishwa na uongo unaoendelea kusambazwa mitandao kuwa anawachukia wachezaji kutoka Yanga huku akiwabeba zaidi...
ikiwa ww ndo kocha wa england na una nafasi 1 tu ya kiungo imebaki na una machaguo mawili tu aidha kumchezesha jack 10 au cleverly embu niambie nani utamuweka na kwa sababu gani
London, England. Shabiki mmoja nchini Uingereza ameamua kuchora tattoo ya mchezaji, Alexander Lacazette kwenye mwili wake ikiwa ni kuonyesha furaha yake baada ya raia huyo wa Ufaransa kusajili...
ALEXIS Sanchez bwana. Eti anataka mshahara wa pauni 400,000 kwa wiki ili aendelee kubaki Arsenal.
Hivi anajua kuwa ligi nzima ya Ujerumani ‘Bundesliga’ hakuna mchezaji anayelipwa pauni 200,000...
Manchester Utd have Lukaku spearheading their attack. Enough said.
Chelsea have the title winning team of last year plus one or two more.
Tottenham are continuing with development and progress...
1. Ni akina nani?
2. Walianzia wapi?
3. Malengo yao ni nini?
Haya maswali yanatuvuruga wabara wengi. Tunashangaa tu matukio.
Sasa hili la Everton limekua kubwa.
TAIFA STARS VS RWANDA
Leo nyasi za dimba la CCM Kirumba, Jijini Mwanza, zitawaka moto pale Timu ya Tanzania 'Taifa Stars' itakapowakaribisha Amavubi Timu ya Taifa ya Rwanda katika mechi ya...
Michael Martin asena utabiri wake kwa Arsenal haujahusisha usaili wa mtu yeyote.
Mwingereza na mtu pekee aliyeitabiria ubingwa Leicister City msimu wa 2015/16 na Kuitabiria Chelsea 2016/17 na...