Wakuu, pana michuano ya FIFA U20 inayofanyika huko Korea Kusini. Michuano hii ni mizuri mno ila ratiba yake inanichanganya kwani hata watangazaji wetu wa radio na TV wamejikita kwenye timu za EPL...
Binafsi nimefuatilia (ingawa sio kwa kina) soka la bongo na ligi yote inayoishia hivi karibuni (maana haijaisha kwa sisi wengine) napenda kutoa mapendekezo yafuatayo kwa TFF kama wanasikia...
Kama mwanajangwani, ningependa kutoa shukrani na pongezi zangu binafsi kwa Mwenyekiti aliyefanikiwa kuiko mwenyekiti yeyote tuliyepaya kuwa naye Jangwani Bw Yusuph MANJI.
Mnamo jana jioni Bw...
Manchester United aka Mashetani Wekundu ya Uingereza wakicheza nyumbani OT jana wameweka miadi na Ajax Amsterdam ya Uholanzi kwa fainali ya kombe la Europa.
Man U ilitoa sare ya 1-1 na Celta Vigo...
Leo Zacharia Hans Pope kasema malalamiko ya Simba yapo FIFA hivyo wao ndiyo watajua kama tunastahili point 3 na mabao 3 au lah kwani wasimamizi wa ligi walikwisha sema kuwa mchezaji wa Kagera...
WATCH LIVE MATCH | Ajax vs Manchester United (The UEFA Europa League) 24-05-2017 21:45 - 00:45 | FULL MATCH
WHATCH FREE HERE WATCH LIVE MATCH | Ajax vs Manchester United (The UEFA Europa League)...
Salaam wanabodi,
Ligi imemalizika weekend iliyopita na YANGA kukabidhiwa kombe lake.
Wana simba wamefungwa Mawazo yao na kauli za Manara na aveva kuhusu kukata rufaa FIFA ili wasipate Muda wa...
Kwa habari za chini ya Kapeti ambazo bado naendelea kuzihakiki zinasema kwamba hatimaye tayari FIFA wameshafanya maamuzi juu ya Rufaa ya Simba SC na kwamba kuna barua imeshatumwa tena kwa DHL...
Wiki hii nimegundua. Hakuna jambo rahisi kama kuwa kiongozi wa klabu ya Simba. Uwezo wako wa kucheza na akili ya mashabiki wa Simba unaweza kuwa kiongozi wao milele na milele. We kuwa muongo tu...
Ni raha sana kuingia kwenye mashindano haya ya magari. Ukiwa na control nzuri na ukijua namna ya kuchezea gari katika njia zote utashinda sana mithili ya kina Michael Schumacher. Lakini nadhani...
Washambuliaji Abdulrahman Mussa wa Ruvu Shooting na Simon Msuva wa Yanga wameibuka wafungaji bora kwenye Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2016/2017 iliyomalizika Mei 20 mwaka huu.
Kutokana na...
Kama report ya Refa wa mchezo kati ya Kagera vs Afrikan Lyon aikufojia either iwe ya ukweli au uongo basi Yanga fc watarudisha ubingwa
Sheria ya Fifa kuhusu report ya Mchezo
3. If there is any...
Aliyekuwa rais wa klabu ya Barcelona akamatwa
Aliyekuwa rais wa klabu ya Barcelona Sandro Rosell
Aliyekuwa rais wa klabu ya Barcelona Sandro Rosell amekamatwa kufuatia uchunguzi wa ulanguzi wa...
Viongozi mnajua dhahir kua mnacheza na akili zetu kwa hamjali hisia zetu.Ukweli hakuna barua ya rufaa iloenda fifa ila tu ni siasa ya kutufanya tusahau mlio tufanyia msimu kwa kusubiri point 3 za...