Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

MEZANI FC Watinga ofisi za FIFA _________________________________________ FIFA: Eeh umefuata nini huku MEZANI FC: Point zangu tatu za Kagera Sugar FIFA: Kwani ilikuwaje uzifuate huku MEZANI...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi, leo ninajitokeza kusema kwa kifupi sana juu ya magazeti ya michezo hapa nchini. Ni jana tu vijana wetu wa timu ya Taifa ya Serengeti Boys walishinda 2-1 dhidi ya Angola...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wakuu? Hivi wale vijana wetu watimu ya Serengeti Boys ambao kwasasa wanaendelea kufanya vyema huko Nchini Gabon kwene mashindano ya AFCON je wanasoma mana umri wao bado Mdogo wakuendelea...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
KONGOLE SERENGETI BOYS Pongezi ziwafikie, japo mpo ugenini, Faraja mwatupatia, hata ile ya sirini Hakina mwaleta faraja mchezoni, Kongole zenu vijana , vifua mbele twatembea Uwezo muonesha...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Tukiwa tunaenda ukingoni kabisa mwa ligi mbalimbali duniani sio mbaya tukijikumbusha mabingwa wa ligi hizo. Tanzania.Asilimia kubwa Yanga anaenda kuwa bingwa ila game za mwisho ndo zitaamua...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwezi huu kuna burudani kubwa tena kwa wapenzi wa mchezo wa mbio za magari. Tar 20&21 Dar na Pwani kutakuwa na mashindano ya magari ... Unprovisional Entry List 1. Ahmed Huwell na Misam Fazal...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nyota wa Serengeti boys aliefunga goli la pili Abdul Suleiman na aliechaguliwa kuwa man of the match katika mechi kati ya Tanzania na Angola jana mara baada mchezo kumalizika, madaktari wa CAF...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
Nimefurah sana kuona watanzania tuko pamoja katika kuishangilia timu yetu ya under 17, na ndio timu amabayo nina iman itatunyanyua katika miaka ijayo na kutupaisha kimataifa. Timu ya taifa stars...
1 Reactions
2 Replies
696 Views
Mnapopata goli pigeni viduku,michiriku,sengeli.kiukweli kushangilia kwa style fulani kunaleta mzuka.sasa mnapata goli hampigi shangwe kwa kweli mechi ijayo wakilisheni.mbwembwe zinatupa mzuka...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Toto Afrcans wnaipenda rangi ya kijani kuliko wanavyojipenda binafsi wao wenyewe. Kupagawishwa na rangi na mapenzi yao kwa Yanga wameona bora washuke daraja lakini wakaipa ubingwa Yanga kuliko...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
-Tanzania Kwa sasa macho na masikio yote yapo Kwa Serengeti Boys Timu ya Vijana chini ya miaka 17 ambayo mwezi huu itashiriki michuano ya Africa chini ya miaka kumi na Saba (U17) itakayofanyika...
7 Reactions
27 Replies
5K Views
Salute! Pamoja na Mimi kuwa mshabiki wa yanga sioni huo uchezaji bora wa msuva ,labda ufungaji. Pia hata huyo kichuya ni hovyo kabisa. Nakwambia hawa wachezaji wawili ni wabahatishaji tu, kubwa ni...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Ngumi zitarindima mda wowote! Stay tuned for updates..
1 Reactions
62 Replies
6K Views
Ili kupata vichekesho vingine kama hiki, tuma neno MEZANI FC aka MAANDÀMANO FC kwenda namba 1991321.
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu poleni kwa mihangaiko ya kitafuta mkate wa kila siku Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza katika fainali itakayofanyika tarehe 3 June 2017 ya uefa champion league kati ya Real Madrid na...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Hayo ndiyi maajabu mnyama simba
1 Reactions
5 Replies
6K Views
polen kwa majukumu wanaJF, et kikosi cha malaga kinaweza kumzuia zidane kubeba La liga??
0 Reactions
0 Replies
521 Views
Klabu ya Yanga leo itavaana na Klabu ya Toto Africans ya jijini Mwanza kwenye uwanja wa Taifa, mchezo ambao endapo Yanga wakishinda watatangazwa ubingwa huku wanajangwani hao wakimkosa kiungo wao...
6 Reactions
221 Replies
28K Views
Wasalaam wana jamvi. Ni ukweli ulio wazi kabisa ujio wa sport pesa utamfukuza Manji YANGA na nitakacho tokea ni Yanga kupelekwa mahakamani kwa madeni wanayo daiwa na Manji kwakuwa amekuwa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom