Kumekuwa na juhudi au hatua zinazochukuliwa na serikali ya awamu ya tano katika kuhakikisha wanaongeza mapato yake na moja ya njia hizo ni kuhakikisha kuwa wanadhibiti mianya midogo midogo ya...
Pamoja na ukweli kwamba timu ya simba ina kikosi bora sana tangu akiwepo okwi na wenzake lakini wameshindwa kigundua sababu zinazofanya washindwe kinyakua ubingwa
1.Waache malumbano yasio na maana...
Kupitia ITV Jana kwenye habari za michezo, nimemsikia ndg, Hans Pope ikiwalaghai wanachama wa Simba kwamba, malalamiko yao ya kudai point 3 za kagera sugar wapewe wao... Huu ni umbumbumbu kwa wale...
Simba kukosa tena ubingwa mwaka huu ni jambo ambalo sisi wanasimba hatutakubali , Hii nakujulisha mapema usije kusema tumekuvizia .
Tutakutimua bila huruma , viongozi gani mnaokosa mbinu kiasi...
Klabu ya Chelsea ya uingereza imefanikiwa kuibuka na ushidi zidi ya Club ya WBA wa Goli 1 kwa 0, Goli lililofugwa na Mshambuliaji Batshuayi dakika ya 82.
Hivyo sasa Chelsea ndio bigwa wa EPL...
Nimesikiti sana na club ya simba kwa kurudia makosa yale yale kwa mwaka wa nne sasa
Simba wamekua na timu nzuri sana lakini inapofika mechi za mwisho ili wachukua kombe wanakumbwa na mdudu gani...
Wakati YANGA WANASHANGILIA UBINGWA simba wao wanashangilia zacharia hanspope kutengua kauli yake ya kujiuzulu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli maisha hayako fair...!
Mpaka sasa naweza sema Yanga ni bingwa wa Tanzania 99% iyo moja tunasubiria game ya Mwisho Simba vs Mwadui,sio masihara iyo game Simba atatakiwa ampe mtu kipigo cha mbwa mwizi magoli si chini ya...
Kwa taarifa za uhakika kabisa na zilizonifikia hivi punde kutoka kwa Mtu wa karibu wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Klabu ya Simba SC na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Simba SC '...
Kwanza kabisa kama wewe ni mkia soma na upite kimyakimya bila kuacha omo..
Pili,kwa nionavyo upepo kombe linabaki nyumbani kwao lilipopazoea so tupange mikakati ya kumpokea mwali sisi kama members...
Sikubahatika kuangalia mechi ya Serengeti dhidi ya Mali lakini nilikuwa nasikiliza matangazo ya Radio One na TBC taifa. Mtangazaji Radio One, Amri Masare kwenye matangazo yake kasema Serengeti...
Simba walikuwa wanapitia kipindi kigumu sana sababu ya ukata wa pesa mpaka baadhi ya wachezaji walikuwa kwenye mgomo wakidai mishahara ,kila mtu ni shahidi wa hili.
Tukishuhudia namna mashabiki...
Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba SC, Haji Manara amedai anaonewa kwa kupewa lawama zisizomuhusu baada ya kile kinachoaminiwa kuwa naye ni miongoni mwa viongozi walioshiriki katika...
Mzuka wanaJF?!
Kama ni Kweli ni miaka yake ni 28 basi mpira unazeesha dah!
Inawezekana ni Kweli ni wa mwaka 88 na je huyu hapa chini ni wa 80. Ana miaka 37?
Sasa cheki kwa huyu...
Wakali wa soka nchini ARGENTINA na bara la AMERIKA YA KUSINI kati ya BOCA JUNIORS NICKNAME-LA BOMBONERA
_____________na________________
CLUB ATLETICO RIVER PLATE NICKNAME-
Los Millonarios (The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.