Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Moja ya mechi muhimu na iliyokuwa na maajabu mengi katika historia ya dunia basi ni World Cup 1950 kati ya Brazil vs Uruguay Finali hii ilipigwa katika dimba maracana huko brazili Ni fainali...
5 Reactions
9 Replies
5K Views
Ingekuwaje kama matokeo ya mwisho Celts Vigo angeshinda 2 kwa 1. Je angefuza au zingeongezwa dkk 30. Wataaam wa sheria za mpira tusaidie.
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Yanga ni klabu kongwe katika Tanzania.Imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Tanzania Kwa mara 25. Pamoja Na kuwa klabu kongwe lakini haina Rekodi ya kujivunia kimataifa zaidi ta kushuriki tu Ni aibu Kwa...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Wekendu wa msimbazi leo wameingia mkataba na kampuni ya kubetisha ya SPORTPESA kwa ajili ya udhamini katika ligi kuu bara kuanzia msimu ujao. Simba imeingia mkataba wa miaka mitano wenye thamani...
1 Reactions
50 Replies
15K Views
Hata mimi ningetafuta maneno mazuri kujitetea sababu ya kummwaga. Tatizo lake ni la kitabia kwahiyo atachemka popote pale. Tabia yako wakati tunapambana unatajataja kuhama ni kosa kwa De Gea...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mpira ni Dakika Dakika ya 17, Simba 0-1 Stend United. Dak ya 24 Simba 1-1 Stend United Simba 2-1 Stend United Juma Luizio tena . ******************** Mpira Mapumziko ****************** Kipindi...
4 Reactions
92 Replies
11K Views
Mwisho alikuwa ni mchezaji wa yanga hatimae Pan African ya Dar. Alitokea Tumbaku ya Morogoro akiwa pamoja na akina Shillingi na Hussein Ngulungu. Nilikuwa ninamsikia redioni Enzi hizo wakati...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
RIPOTI MAALUM Ufisadi wa kutisha TFF-4 www.ippmedia.com/sw/habari/ripoti-maalum-ufisadi-wa-kutisha-tff-4 Pia ilielezwa changamoto ya ukosefu wa mwongozo wa utendaji na utoaji ajira uliosababisha...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Hizi taarifa zimetoka Club ya Randers Fc alipoenda kufanya majaribio kijana wetu Mkata Umeme anayekipiga Club ya Azam Fc. Chanzo cha habari kinazidi kudadavua zaidi kuwa Randers wamesema Himid...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Mechi ishaanza, Atletico Madrid anaongoza goli 2 bila dhidi ya Real Madrid.
3 Reactions
58 Replies
4K Views
Baada ya mechi ya Juventus vs Barcelona katika dimba la Camp Nou kuisha ,kocha wa Juve alihojiwa na waandishi wa habari akasema alipoingia Andrea Barzagli alijua mechi ndio ishaisha hapo maana...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
1.Emmanuel Gabriel 2.Mandzukic
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Arsenal imeimarisha matumaini yao ya kutaka kuwa katika timu nne bora katika jedwali la Uingereza kufuatia ushindi wao wa mabao 2-0 dhidi ya Southampton. Mabao hayo yalifungwa na Alexi Sanchez na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Asilimia kubwa ya michezo ya ligi inachezwa saa Kumi adhuhuri isipokuwa kidogo ile ya timu ya Azam inayochezwa saa moja jioni. Sioni Sababu ya michezo yote kuchezwa muda mmoja wa saa kumi ni...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Mechi za fainali za Vijana Africa chini ya miaka 19 zitaonyeshwa mubashara na DSTV. Mechi hizo zitaonyeshwa kupitia Channel 209, channel 233 hii ina maana kuwa sasa tutaona Mechi za Serengeti...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
1.said muhando carter anacheza chiasso ligi daraja la Kwanza 2.orgenes mollel anacheza ureno ligi daraja la kwanza 3.daud aboud yupo ligi daraja la kwanza marekani 4.donald makaramba yupo...
7 Reactions
32 Replies
18K Views
Habari zisizo rasmi inasemekana kua sportpesa watakua wadhamini wa klabu kongwe hapa nchini zinaenda mbali zaidi kua yanga wamepata mkataba mnono kuliko simba . Je yule aliesema tatizo ni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi kwa mfano yuke jamaaa wa Kenya alie shida dola 221m ambazo ni tsh 4.8 bilioni za kitanzania yeye alibeti kupitia mtandao upiii maana m-bet na meridian hawana hizo betting za hela nying
1 Reactions
4 Replies
10K Views
Tumeona Asilimia kubwa ya vilabu vyetu vya soka vikiajiri makocha kutoka nchi nyingine tumewaona akina Micho,Omog,Kelly,Papic,Kondic,Van Plujim,Timbe,Jack Chamangwana,Marehemu Siangaa na wengine...
1 Reactions
4 Replies
967 Views
Back
Top Bottom