Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimeona wachezaji wetu wakiwa wapweke wimbo wa taifa unapigwa hakuna washabiki kuwasapoti.TFF ingewapeleka hata washabiki hamsini wafikie ubalozini na mikeka yao
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Uongozi wa Simba SC umetoa taarifa kuhusu mwenendo ya klabu hiyo kwa sasa kufuatia kutokea mgawanyiko kwa mashabiki na wanachama wa klabu hiyo wengine wakisapoti uongozi wa klabu hiyo kuingia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Meridianbet ni kampuni ambayo ilijipatia umaarufu mkubwa sana na kuwa na followers wengi wanaobet kwao,wakabweteka huduma zao mbovu ukienda kwenye maduka yao,ukiwin kuwithdraw tabu ukienda dukani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Siku moja baada ya Simba kutiliana saini mkataba wa udhamini na kampuni ya SportPesa, mdau wa klabu hiyo Mohammed Dewji ‘MO’ anataka kulipwa kiasi cha shilingi bilioni 1.4 za Tanzania kutokana na...
4 Reactions
108 Replies
13K Views
Uteuzi wa Dr Mwakyembe kwenye wizara ya michezo , hii wizara inayohitaji sana ushirikiano wa wadau mbali mbali ili kuchangia na kusukuma gurudumu la michezo mbele haukuwa sahihi. Uchunguzi wangu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ingawa mimi si mwanachama wa Yanga,ni mshabiki wa Yanga. Natoa ushauri kwa Klabu hiyo. Ni ushauri wa tahadhali. Yanga ipambane ishinde mechi zote mbili zilizosalia. Alama tatu zinazobishaniwa na...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Huyu jamaa ni nani ambaye huwa anaongea kama Mhindi? Je ni Maulid Kitenge au Ibrahim Maestro?
4 Reactions
33 Replies
8K Views
MASHABIKI wa Yanga jana waliendeleza vituko na mbwembwe za kuutafuta ubingwa, baada ya kwenda Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, wakati Yanga wakicheza dhidi ya Mbeya City, wakiwa na bakuli la...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Hiki ni kikosi cha Tottenham kinachokisiwa kuanza leo Hiki ni kikosi cha Westham kinachokisiwa kuanza leo By Deadbody(Pweza wa JF)
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Ametutoka akiwa na miaka 79. Pole Paul Fassou Antoine Pogba passed away on Friday aged 79 after battling illness In March, Paul Pogba posted Instagram photo of his father with a birthday cake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni maajabu sana Mo Dewji alikuwa na nia ya kudhamini Simba sc ila serikali ikaingilia kati na kuleta zengwe,sasa sport pesa imekuja na udhamini wa mil 888 kwa mwaka mumewaachia bila kutuambia...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
Ni vema huyu Kocha akapata maono ya kufundisha kwenye ligi za maana ili kukuza uwezo wake , kuendelea kufundisha soka kwenye ligi inayofanana na picha ya kihindi ni kujimaliza . Picha ya kihindi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Match loaalding Yanga fc vs Mbeya City Uwanja:Mkapa Stadium Time:10:00pm Joto:25c Humidity:normal Rainfall:no,70% Nakuletea updates LiVe Kiingilio: Mabanda umiza: 500Tsh Bar:Soda au any drinks...
6 Reactions
432 Replies
42K Views
jamani huyu jamaa yuko wapi? nakumbuka alikua mchezaji mzuri sana alichezea Yanga
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Simba sc imekubari kuthaminiwa kwa mil 888 kwa mwaka pesa hizi ni ndogo sana ni tamaa tu ya viongozi wa Simba sc,naipongeza Yanga isikubari uzamini mdogo kama huu wa mil 888 kwa mwaka pesa ambayo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Poll Poll
piga kura kwa mchezaji bora wa mwaka huu Glory Glory Manchester United
1 Reactions
0 Replies
456 Views
Jana wakati Simba wanasaini mkataba wa Udhamini na SportPesa nimemuona Haji Manara akifanya kazi ya U-AfisaHabari na Mawasiliano. Je ile adhabu aliyopewa ya kufungiwa kutokujihusisha na masuala ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni mpambano wa Ligi kuu Vodacom... mpambano ndio umeanza dak ya 6.... ====== UPDATES ====== Dk 1, Yanga imeanza kwa kasi ikiwa imepania kufunga bao la mapema Dk 4, krosi nzuri ya Niyonzima...
18 Reactions
253 Replies
22K Views
Back
Top Bottom