Mashabiki wa soka wanaotaka kwenda Gabon kushuhudia mchezo mmoja wa Serengeti Boys hawana budi kujikamua Dola 1172 za Marekani sawa na zaidi ya Sh 2.6 milioni za Tanzania.
serengeti Boys iko...
Tukiwa ukingoni mwa ligi mbalimbali huku wengine wakiwa wameshatangazwa mabingwa mfano pale Ujerumani na huku wengine wakisubiri baadhi ya michezo ili kutangaza Ubingwa wao kama pale...
Hadi sasa Yanga fc INA point 62 na michezo 3
Simba sc INA point 62 na michezo
Simba sc vs mwadui Simba inafungwa,Kisha Tarehe 16 Yanga inatangaza ubingwa
Hatimaye TFF waipa Simba SC barua ya hukumu na kuwataka waende FIFA hata leo kama wakiona wameonewa.
Kipengele muhimu ktk barua ya TFF kinasema :
" Mohamedi Fakhi hakuwa na kadi tatu za njano...
EDO KUMWEMBE WEWE NI SENIOR..LAKINI KUHUSU HILI UMEFELI SANA.
Kila mtu mpenda michezo anamjua mwandishi Edo Kumwembe ambaye anaufuasi mkubwa kwenye mitandao ya kijamii. Edo Kumwembe ameonyesha...
Timu tatu zimefanikiwa kupanda ligi kuu msimu huu Singida united,Lipuli na Njimbe mji ila katika maandalizi naisikia Singida united tu hawa wengine wapo wapi sijui.
Singida United wanaonyesha...
Mwaka 2016 Anthony Joshua alirudi nchini Nigeria na kuomba kuiwakilisha nchi yake kwenye michuano ya Olimpic nchini Brazil, lakini waziri wa michezo alimkatalia kwakuwa hakua amekulia nchini humo...
Club ya Arsenal imefanikiwa kuichakaza mashetani wekundi manchester united kwa jumla ya magoli mawili kwa bila katika uwanja wa Emirate na kufanya mbio za kuwania Top Four katika premium league...
Nilizingatia umuhimu wa kushiriki champion ligi Ulaya, Niliumia baada ya maneno ya bwana morinyo kwa venga kwamba atampa timu nyepesi ashindwe yeye kushinda, sasa jana ameshinda, niliapa jana...
N'Golo Kante has been voted Footballer of the Year by the Football Writers' Association.
The Chelsea midfielder polled most votes among the 340-strong membership, beating team-mate Eden Hazard...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.