Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baada ya uwanja utakaopigwa mchezo wa Fainali ya FA kujulikana, wadau wa soka wamekuwa na mitazamo tofauti juu ya mahala itakapofanyika kwa fainali hizo ambazo zinawakutanisha klabu ya Soka ya...
1 Reactions
39 Replies
11K Views
JE UNAMJUA RONALD KOEMAN. [emoji117][emoji117]Ronald Koeman ni mzaliwa wa mji wa Zaandam nchini Netherlands alizaliwa Tarehe 21 match 1963. Akiwa moja ya watu waluozaliwa na kipaji chake Mguuni...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
ni wazi kuwa Jamali Malinzi baada ya timu yake kutolewa na hata baada ya refa kushindwa kabisa kuiokoa kule msituni sasa kuna dalili za figisu figisu kwa simba isitwae taji hilo... kuna tetesi...
4 Reactions
77 Replies
7K Views
Leo usiku huu saa 3:45 usiku Juventus wanaungana na Real Madrid na Atletico Madrid nusu fainali ya Uefa Champion League kwa kumtoa Barcelona. Hakuna cha Mess wala Pique.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amewapongeza Tottenham Hotspurs baada ya kushinda mchezo wao wa derby ya kaskazini mwa London katika Uwanja wa White Hart Lane kwa mabao ushindi wa bao 2-0 na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Fainali ya FA Cup ichezwe kwenye uwanja wa CCM - KIRUMBA ili wananchi wa Kanda ya Ziwa wapate pia kushuhudia mtanange huo. Mapato yatakayopatikana nina imani kuwa yatazidi mapato ya uwanja wa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
NImekuwa najiuliza ni kitu gani kiliwatuma viongozi wa Yanga kumpumzisha Puljin na kutuwekea kocha mwingine? Wakati Yanga wakifundishwa na Puljin tuliona vijana wakicheza mpira wa kitaalamu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kiungo mkabaji wa azam himid mao anaondoka leo nchini kwenda Denmark kufanya majaribio ya siku 12 katika klabu ya randers fc inayoshiriki ligi kuu nchini humo
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari waungwana, Masaa manne yajayo, kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka ambapo Mbao FC watawakaribisha watoto wa Jangwani, Yanga Afrika. Mechi hii itaamua nani akakutane na Simba fainali ya...
2 Reactions
264 Replies
26K Views
Stay tune nakuletea taarifa za kombe LA shirikisho kati ya Simba sc vs Azam fc Uwanja: Dar es salaam Muda: 10:00 Climate: Wingu na manyunyu ya mvua Azam TV watarusha Live Mechi za ligi walio...
0 Reactions
211 Replies
18K Views
Baada ya kutumia karibu majuma matatu hivi tukijadili vituko vya soka letu vinavyochangiwa kwa kiasi kikubwa na usimamizi dhaifu wa soka na ushabiki usio na tija wa wafuasi wa timu hizi kubwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jina la beki wa kati wa Real Madrid na nahodha wa timu hiyo Sergio Ramos bado linazidi kugonga headlines katika mitandao ya kijamii, Ramos bado amekuwa akijadiliwa na mashabiki wa soka kuhusiana...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
UINGEREZA: Mshambuliaji, Zlatan Ibrahomovic amekataa kuendelea kulipwa mshahara wa Pound 250,000 na Manchester United katika kipindi cha miezi 9 atakachokuwa majeruhi. Mshambuliaji huyo raia wa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii ni hatua nzuri ya kuanzia naamini tutafika...binafsi naamini tunaweza kutoka kupitia riadha nilishaacha kuamini kwamba soka Tanzania litatutoa,kudos RT Wanariadha watano kuchuana Marekani
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Yan leo afe kipa, afe beki msitoke uwanjan bila ushindi, maana ndo njia panda ya kushiriki kimataifa leo. C mnajua miaka mingap hatujashiriki huko mbele????? Naiman hamtatuangusha
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Haya mambo ya Timu kunyang'anywa point kiukweli si mazuri. Sheria ziangalie makosa yaliyojitokeza na kutoka adhabu lakini matokeo ya uwanjani yabaki kama yalivyo. Kiukweli timu kupewa pointi za...
6 Reactions
102 Replies
9K Views
Wakati wa sakata la usajili wa Mbuyu Twite na Kelvin Yondani kati ya Yanga na Simba nilipata kumwona Athman Nyamlani na baadhi ya viongozi wa club ya yanga katika hotel iliyopo pale karibu na...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Huyu Golikipa alikua mcolombia aliyepewa jina la utani la El Roco (the madman) aliyezaliwa tarehe 27 Agosti 1966 anajua sana kwa upande wangu mimi huyu ndiye golikipa mwenye ujuzi mwingi sana...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Nimejaribu kuperuzi habari mbalimbali za michezo nje na ndani ya nchi kubwa nililokutana nalo ni hili la Waziri husika Kuhoji uhalali wa Yanga kupeleka kikosi B kucheza na Kombani ya Majeshi...
2 Reactions
68 Replies
5K Views
Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana tarehe 23 Aprili 2017 imekamilisha mapitio ya maamuzi ya Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom