Bodi ya usimamizi wa ligi tanzania imemuita Mkemi ili ahojiwe na kamati ya nidhamu ya tff hatua hii imekuja baada ya mkemi kutoa kauli kuwa bodi ya ligi wanajihusisha na rushwa na kutishia kwenda...
Ndugu wana jamii forum,ndugu wana ligi kuu ya uingereza(EPL) na wapenzi wa burudani wote habarini za mihangaiko ya hapa na pale ya maisha.
Nipende kuweka wazi tu kuwa Mimi si mshabiki wa...
Rais wa Simba, Evans Aveva anasema wanakamilisha taratibu za mwisho ikiwemo kupata barua kutoka bodi ya ligi ya kupokwa point 3 za Kagera sugar ili wakwee pipa kuelekea Zurich, Uswizi kunako makao...
Leo nimejaribu kupitia maktaba yangu nikakutana na Angola iliyoshiriki Kombe la Dunia 2006,Angola walikua vizuri sana kisoka ila kwa siku za karibuni hata Kauzu fc wanaweza kufunga.
Sio mbaya...
Kenyan Eliud Kipchoge missed two hour marathon attempt by 25 secs recording fastest marathon ever.
Eliud Kipchoge misses sub two-hour marathon target in Monza – as it happened
"70 FACTS ABOUT BRAZIL LEGEND PELE"
"Considered by many as the greatest player of all time, here are 70 things you may not know about the Brazil icon"
1. Pele...
Wakuu,
Leo nimeamka sina hata mia, ila kuna rafiki yangu hapa kanitumia mwekundu ili niweze kusogeza siku. Sasa baada ya kufikiria jinsi ya kuweza kuishi hasa katika kipindi hiki kigumu cha...
Sergio Ramos has said that the Ballon d'Or winner's team-mates were denied the chance to congratulate him after a thumping victory
Maafisa walimchukua Cristiano Ronaldo na kwenda kumpima madawa ya...
Jaji awahukumu wanaume nane kwenda jela kwa kuandaa mpango wa kufanya mashambulio katika mashindano ya kiangazi ya Olimpiki. Hii inakuwa ni hukumu ya kwanza kutekelezwa chini ya Sheria ya...
Man United usiku wa May 4 walikuwa katika uwanja wa Bailados nchini Hispania kucheza mchezo wao wa kwanza wa nusu fainali ya pili ya michuano ya UEFA Europa League msimu wa 2016/2017 dhidi ya...
London, Uingereza: Bondia kijana Anthony Joshua amemsambaratisha mkonngwe
Wladimir Klitschko katika pambao la uzito wa juu lililofanyika katika uwanja wa Wembley.
==========
To use his own...
Kna watu walianza soka sawa na kina Buffon ila hadi Leo wanajulikana wna miaka25,kweli??
Unakuta kimtu kimokamaa kinacheza copa coca cola eti madai watu wa kusini wafupi.
Mibabu imejaa kwenye soka...
Mpira umemalizika muda mfupi uliopita kwa Serengeti boys kuisasambua Cameroon kwa goli 1 kwa bila mechi iliyochezwa jijini Yaunde Cameroon.
Wadau mnaombwa kuendelea kuichangia timu hii ya vijana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.