A BRAZILIAN goalkeeper convicted in the killing of a former girlfriend was ordered back to prison, the latest chapter of a seven-year saga that human rights groups say underscores violence toward...
Shabiki mmoja wa Tottenham yu hoi bin taabani baada ya kupata majeraha yaliyo makuu ikiwa ni pamoja na kujeruhiwa katika fuvu lake la kichwa kufuatia shambulio lililofanywa na Mahsabiki wenzie wa...
Jamani kwa yeyote aliyepo Iringa atupe updates: mimi ntaleta picha na matukio kadri ntavyokuwa napata kutoka kwa watu walioko huko!!
Mashindano haya ni magumu kwa kuwa undistiputed champion Gerald...
Mtanzania Alphonce Simbu ashika nafasi ya 5 Marathon Olympics, haijapita kutokea.
Juma Ikangaa aliwahi kushika nafasi ya 6. Mtangazaji alisema they say in Tanzania Hapa Kazi Tu!!
Kumbe slogan ya...
Mpaka sasa ni timu mbili tayari zina uhakika wa kucheza ligi kuu ya Uingereza(zimepanda Daraja) nazo ni Brighton na Newcastle
Hii Brighton ni Ngeni kidogo manake tangu nimeanza kufuatilia enzi za...
Katika hali isiyo nzuri kama Time ya Lipuli itapangiwa nano awe kiongozi ktk Club hio huwenda wasifanye vizuri huko mbele wanapokwenda.
Imani yangu iliopo kwa sasa juu ya mpira WA Tanzani no...
Msemaji wa Simba aliepewa adhabu Haji Manara amelalamikia kutopewa haki ya kusikilizwa na chama cha mpira nchini. Manara amedai hati ya mashtaka ya TFF imemtuhumu kwa kutaja ukabila ila haielezi...
TFF KATOA!! KACHUKUA!! JE ATATOA TENA?
Tff ndio chombo chenye dhamana wa mpira wa miguu kwa hapa Tanzania, wao ndio wanatunga sheria, kanuni na adhabu pale ambapo sheria na kanuni zimekiukwa...
Wakuu naomba tujadili hapa mstakabali wa timu zetu katika levo ya kimataifa ,Je ninani kifanyike ili vilabu vyetu viweze kuboresho zaidi ,na hatimaye tuweze kuwakilisha vizuri katika anga za...
Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) limetangaza kuipoka Simba pointi tatu na mabao matatu ambazo ilipewa kutokana na mchezo wao dhidi ya Kagera Sugar.
Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za...
Shirikisho la Soka nchini Tanzania limemkuta na Hatia Msemaji wa Clab ya Simba Haji Manara kwa kosa la kutoa Lugha Chafu kwa Mh. Rais pamoja na Baadhi ya Viongozi wa Shirikisho hilo ambapo alitoa...
Niwakumbushe tu ndugu zangu SIMBA,mlifungwa 2-1 na KAGERA huko KAITABA.Point za KAGERA ni halali na walizitolea jasho,acheni janja janja utafikiri mlishinda mkapokwa point.
Ushauri wangu,chezeni...
Baada ya kuonenaka kuwa TFF ya Malinzi, wana Kagera wenzie ( Wahaya ) na Yanga FC wanataka kuiangamiza Klabu ya Simba juu ya points zake na tayari kukiwa na tetesi kuwa huenda leo mchana maamuzi...
Kamati ya maadili ya TFF Leo imetoa hukumu kwa Msemaji wa Simba Sports Club, Haji Manara kufuatia kutokuitikia wito wa kamati hiyo.
Kamati hiyo imetoa hukumu ya makosa matatu dhidi ya Manara na...
Hatimaye imethibitika kuwa ukata umepiga hodi Kwa Wakimataifa Yanga.Dalili za ukata zilianza kujitokeza Mara tu Rais wa Yanga Diwani Yusuf Manji alipotuhumia kujihusisha Na Madawa ya kulevya.Juu...
Huyu haji Manara ni full kutoa povuuuuu. Mara Ohhh mm mtoto wa mjini. Nitamwaga mboga.
Mara Oohhh Natural Justice. Sijasikilizwa. Lowassa hakusikilizwa leo siyo Waziri mkuu.
Dr. Mwale Malecela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.