Klabu ya soka ya nchi uingereza New castle united inayonolewa na gwiji la ukocha dunia Rafael Benitez, jana wamefanikiwa kurejea EPL kwa kishindo baada ya kumpiga Preston bao 4 kwa 1
ukimbukwe...
Kuna kila dalili ya Shirikisho la Sola Duniani Fifa kuifungia Timu ya Simba sc kwa sababu ya kutaka kutumia Serikali katika kuilazimisha TFF iwape point tatu
Kwa utaratibu na sheria za FiFa...
Sisi wanayanga hatuna imani na tff katika kuisimamia haki tena. Hivyo tunaomba muingilie kati maana timu zinatumia raslimali nyingi kujiendesha. Mechi ya mbao ilishangaza wengi wenye akili...
========
LIONEL Messi akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Barcelona katika ushindi wa mabao 3-2 ugenini dhidi ya Real Madrid katika mchezo mkali wa ligi ya La Liga uliochezwa usiku huu...
Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) limetangaza kuipoka Simba pointi tatu na mabao matatu ambazo ilipewa kutokana na mchezo wao dhidi ya Kagera Sugar.
Wiki mbili zilizopita Simba ilipoteza...
Kiungo mkabaji wa Chelsea Fc, N'golo Kante ashinda tuzo ya Mchezaji Bora wa mwaka 2016/17 baada ya kutangazwa na Chama cha Wanasoka wa Kulipwa nchini Uingereza(PFA).
Aidha kiungo mshambuliaji wa...
SQUARE ENTERTAINMENT in conjunction with SIDE ENTERTAINMENT proudly presents NAY WA MITEGO the true boy for first time in namanga, 30th-April @Breezing Point Clib (Kwa Mwarabu). The event will...
Jamani, mweeee wana msimbazi mnatia huruma, Jana ilikuwa siku ngumu sana kwenu.
Sababu zilizopelekea siku iwe mbaya kwenu ni:
Kunyang'anywa points za mezani mlizo tunukiwa baada ya kufungwa na...
TFF ni dhaifu kwa kutumia kanuni ambazo zinaruhusu kutengua matokeo ya mpira jambo ambalo ni kudhoofisha mpira wa miguu.
Endapo TFF wangekuwa waadilifu kanuni zao zingeipatia TFF mamlaka ya...
Wana jf wasalaam.
Toka mwanzo wa saktata la card tatu za mchezaji wa kagera nimekuwa nikijiuliza ni nani walikuwa wana dhamana ya kuhakikisha wanaondoa utata kwenye swala hili? Lakini jibu...
1.Hii ni TFF pekee iliyotukumbusha kuwa bado
kuna viini vya ukabila nchi hii ambapo viongozi wakuu wa chombo hiki pamoja na asilimia kubwa ya wadau wengine ni wahaya.
Sitaki kuamini kuwa hii ni...
JUMAMOSI TAREHE 22/4/2017
MASHINDANO YATAANZIA KIWANDA CHA MAJI YA MKWAWA
IPOGOLO NYUMA YA GEREJI YA M.T. HUWEL SAA 4 ASUBUHI
WOTE MNAKARIBISHWA.
KISHA UWANJA WA SAMORA SAA 7.00 MCHANA NA...
Dar es Salaam. Uongozi wa Simba umeandika barua kwa Kamanda wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Simon Sirro ikiomba kufanya maandamano ya amani Jumanne ijayo kupiga uonevu wa Shirikisho la Soka TFF ...
MTAZAME HAPA MBWANA ALLY SAMATTA HUKO KRC-GENK AKIFUNGA MAGOLI YAKIUFUNDI.
MBWANA SAMATTA NI MTANZANIA MWENYE BIDII KUBWA SANA YA SOKA NA KAMA AKIENDELEA HIVI IPO SIKU ATAFIKA MBALI.
GOD BLESS...
Leo tarehe 23/4
Re=18+5+23=46
Ba=2+1+23=26
Wote wana namba shufwa , na hawaendani na tarehe
HII MECHI NI DROO
Pia mwenye namba ndogo ana nafasi ya kushinda .,hivo BARCA atashinda au sare
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.