19:27LIGI KUU BARA
Shaffihdauda
Kudai haki yake ya msingi kumesababisha mchango wake ndani ya timu kutothaminika na kutishiwa kutemwa mwishoni mwa msimu huu
Klabu ya Simba ipo kwenye mpango wa...
Ripoti iliyotolewa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Dk. Thoma Rutta na kusomwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Augustine Ollomi inaeleza kuwa kusimama kwa moyo ghafla ndio chanzo cha kifo...
RAIS wa klabu ya Simba Evans Aveva yupo kwenye mazungumzo na kiungo mkabaji aliyemaliza mkataba wa kuitumikia Yanga rai wa DR Congo Mbuyu Twite, ili kumsajili kwa ajili ya kuwaongezea nguvu...
Inasemekana kwamba jitihada za Jonas Mkude kuongeza mkataba na klabu yake Simba SC upo kwenye utata mkubwa sana.
Inaonekana mkataba mpya wa Jonas Mkude unadai alipwe fedha zaidi ambazo amekuwa...
Mchezaji wa mbao FC, Ismail Khalfani Mrisho afariki baada ya kugongana na mchezaji wa Mwadui FC kwenye mtanange uliochezwa uwanja wa Kaitaba, Bukoba kwa wachezaji walio chini ya miaka 20 (U20)...
Simba ni timu nzuri sana lakn inabahati mbaya ya kukosa uongozi bora.
Ukiangalia mwaka Jana ilikuwa nanafasi kubwa sana ya kutwaa ubingwa lkn maamuzi ya kijinga wa uongozi yakaifelisha timu...
Bizarre moment footballer, 19, drops DEAD on the pitch shortly after scoring a goal and celebrating with elaborate dance
Ismael Mrisho Khalfan died after collapsing following a routine tackle...
Mchezaji wa Timu ya Vijana chini ya Miaka 17 Wa Congo Brazzaville anayejulikana kwa Langa Leccy Bercy na ambaye alifunga goli la Ushindi dakika za Lala Salama Dhidi Ya Serengeti Boys Pale...
Chama cha Soka nchini Uingereza FA wamethibitisha kuwa mshambuliaji wa klabu ya Manchester City Sergio Kun Aguero amefungiwa michezo 4 kutokana na kadi nyekundu aliyoonesha katika mchezo wa timu...
KOCHA Mkuu mpya Yanga, George Lwandamina taratibu ameanza mipango ya kuisuka timu yake mpya, haraka mambo matatu muhimu yameanza kuchomoza, huku baadhi ya mastaa wakikumbana na moto wake kwenye...
Nimefatilia leo historia ya hii kampuni ya vifaa vya michezo ,maarufu kama ADIDAS ila wamenifanya kuogopa na kuwaonea huruma wale wachezaji waliokuwa wanasakata gozi la ng'ombe miaka ya nyuma...
Wote bado ni Vijana Mmoja akicheza Simba na Mwingine Azam na pia wote ni wazawa.
Tanzania tuna viungo wakabaji wengi tu ila leo ningependa kuwazungumzia hawa wawili Mkude na Himid manake hata...
Habari wandugu..
Sisi tunaopondaga Tecno Kwamba Ni Simu Local Na Ulaya Haifahamiki Tumeumbuka Sana Leo..
Kufupi Tecno Leo Wameingia Partnership Na Timu Tajiri Ulaya Ya Manchester City..
Sidhani...
Chama cha Soka Mkoa wa Kagera (KRFA) leo kimemchagua Rais wa TFF, Jamali Malinzi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho na Salum Chama achaguliwa kuwa Katibu Mkuu.
Mchezaji Yaya Toure wa Manchester City amefunguliwa mashtaka kwa kuendesha gari akiwa amezidisha kiwango cha ulevi, polisi wamethibitisha.
Polisi wamesema mchezaji huyo umri miaka 33, alikamatwa...
Sasa yapata mwezi mmoja [net].. tangu watoto wadogo wajaribu kumchezea sharubu mnyama mkali mwituni pengine kuliko wote, Simba.
Honestly, huu mwezi huu uliopita umekua mgumu na mrefu sana kwetu...
Sawa umepika pilau lako umeweka kila aina ya viungo halafu unafika muda wa kula unagundua mtoto katia mafuta ya Taa ndani Ya Pilau.
Everton 1 Man utd 1 Magoli ya jioni yameendelea kutawala leo...
Nawasikia hivi sasa niko kwenye gari sina namba yenu,ila acheni kuchochea uswahili uswahili kwenye suala hili.Mnataka watu wajadili nini wakati kila kitu kiko wazi ? Hivi mnajua watu wakiamua...
Klabu tano za ligi kuu soka nchini Brazil zimekubaliana kutoa Wachezaji wake kwa mkopo wa bili ya malipo kwa timu ya soka ya Chapecoense iliyopoteza karibia wachezaji wote katika ajali iliyotokea...
Ndugu wana Jf.
Nimeona nianze kuwa na wasiwasi na huyu mgeni wetu klabuni yaani namaanisha kocha wetu Lwandamina kutokana na kauli yake kuwa wachezaji wa kibongo ni legelege.Hii kauli naiona kama...