Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baada ya dakika 90 kumalizika kwa mechi kati ya Simba na Ahly Tripol,Mashabiki walianza fujo kwa kurusha makopo na vitu vizito uwanjani huku wakiwalenga wachezaji wa Simba na marefaree na huku...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Uwanja wa Mkapa upo katika ukarabati, jambo lililopelekea baadhi ya mechi hususan hizi mechi za hatua ya awali kutoruhusiwa kutumia uwanja wa Mkapa mpaka hatua ya makundi ambapo vilabu ndipo...
3 Reactions
8 Replies
547 Views
Kiungo mshambuliaji wa Simba Kibu Denis. Nikiangalia Simba yote naona hakuna striker wa kukuweka benchi. Ondokana na ujinga huu. Soma Pia: Kibu Denis anapaswa kulaaniwa na kila mpenda soka Kibu...
3 Reactions
18 Replies
895 Views
Tumeona jana, baada ya mechi kuisha wale waarabu wametufanyia vurugu sana hata kutuumizia kipa wetu Aishi Manura kwa kumpiga na chupa na kumpasua kichwani. Kuna video zipo kwenye page ya salehe...
4 Reactions
17 Replies
783 Views
Biashara united alimkanda muarabu goli 2 saaafi kabisa lakini kubwa jinga makolo wameshindwa kabisa kufua dafu Kwa muarabu Je Nini kifanyike ..... Muungwana huchutama ....makolo waweke pembeni...
2 Reactions
7 Replies
226 Views
Mnyama Simba SC, yupo Tripoli, Libya tayari kwa kukipiga na Al Ahly Tripoli, kombe shirikisho Afrika. Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 2:00 usiku. Kaa karibu na uzi huu ili ujue kila...
26 Reactions
823 Replies
24K Views
Wengi tunajipa hopes kuwa hapa nyumbani lazima wakae. Wengi tunajipa hopes kuwa kule kwao tulicheza kimkakati ndio maana tumeambulia sare Wengi wetu tuna ushabiki sana kuliko uhalisia Guys...
2 Reactions
2 Replies
208 Views
*Simba na AL Ahly tripoli zote ziliingia makundi shirikisho mwaka 2022 Simba ikaishia robo fainali (ile wanachoma moto uwanjani na Orlando) na Al ahly Tripoli wakaenda mpaka nusu fainali * Timu...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Serikali ya Ureno imeripotiwa kuwa imetoa sarafu yenye picha ya sura ya Staa wa Taifa hilo Cristiano Ronaldo (39) kama ishara ya kutambua mchango wake katika Taifa hilo. Sarafu yenye sura ya...
18 Reactions
37 Replies
3K Views
Ni kipindi cha kwanza, Gor Mahia yupo nyumbani mpaka sasa ameshalowa goli mbili, game ni tamu ipo mubashara Azam sports 2HD
7 Reactions
63 Replies
2K Views
Kuna siku niliwahi kupost kuwa CAF walihuzunika sana msimu ule wa 2022-2023 kwa timu zilizoshindana hasa zile zilizofika mbali katika Kombe la Shirikisho. Hadi ikafikia hatua wakaanza kufikiria...
11 Reactions
56 Replies
2K Views
Azam kuna mgomo baridi wa wachezaji, mbona magoli hawafungi? Wamebakia kuchana mikeka ya watu tu. Mtujuze kama wana mgomo tuachane nao. Na huyo wa kula wali na sukari ndo kwanza tu anazurula uanjani.
4 Reactions
6 Replies
570 Views
Kama mshabiki wa R Madrid roho yangu ipo juu juu
3 Reactions
12 Replies
594 Views
Hivi mnakiona hiki kinachotokea hapa chamazi..? Kwa mwendo huu mtaishia kutolewa raundi ya awali michuano ya kimataifa
10 Reactions
41 Replies
3K Views
Kwa heshima ya nchi tuiombee Simba ishinde leo. Haiwezekani timu iliyopo top ten ya vilabu bora Africa itolewe hatua hii ya awali tena kombe la Shirikisho. Nasema no no no and never .
0 Reactions
10 Replies
389 Views
Hebu msikilizeni kwa umakini sana na mpigie mstari hizo tarehe, maana mimi naona tarehe zinarudi nyuma kuanzia mwezi wa nne kwenda mwezi wa tatu. Dakika mbili tu zimeharibu kila kitu. Anachosema...
4 Reactions
124 Replies
4K Views
Kama sio Mayele leo mwarabu alikuwa anapigika kigali Kweli mpira unamaajabu yake wakati huo Azam akitoa sare na Pamba jiji futi boli inamaajabu sana
5 Reactions
13 Replies
1K Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Cbe SA 🆚 Yanga SC 📆 14.09.2024 🏟 Abebe Bikila Stadium 🕖 15:00 Alasiri Kikosi kinachoanza dhidi ya CBE SA FC mpira umeanza dakika ya 2 dube anakosa nafasi ya wazi...
24 Reactions
442 Replies
20K Views
Unapokisema vibaya CHADEMA huwakomoi akina Mbowe na Mnyika TU bali unaudhi wafuasi wengi sana wanaokiamini CHADEMA na wanaoamini siasa za vyama vingi. Wapo watanzania wengi tunaoamini vyama vingi...
4 Reactions
10 Replies
396 Views
Nimepitia highlight ya game ya Gor Mahia vs El merreik ya South Sudan. Wakenya walishinda 5-1, wakafuzu kwa hatua ya pili ya mtoano ili waweze kuingia makundi. Wanakutana na bingwa mtetezi na...
8 Reactions
57 Replies
2K Views
Back
Top Bottom