Nimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT.
Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike...
Wakuu habari,
Jana nimeangalia mtanange kati ya Pamba jiji na Prison Fc.
Nilichokiona
Beki wanajiamini sana kuliko hata Job au Mwamnyeto, wakiwa na mpira hawapigi hovyo hovyo na wwnajua kukaba...
Gilikipa wa Argentine alikua akikoja uwanjani kwa imani za kishirikina kama inavyooonekana wakati wa kombe la Dunia 1990
Refresh mind kwa kusoma
Zaidi, ni visa vyake vingi na ambavyo ni vya...
UCHAMBUZI WA Comrade Ally Maftah, DAR YOUNG AFRICAN VA COMMERCIAL BANK OF ETHIOPIA SPORT ASSOCIATION (CBE SA)
Na Comrade Ally Maftah
PACOME WA MCHONGO
CBE SA ( Comercial Bank of Ethiopia Sport...
Preliminary Draw
Live.
https://www.youtube.com/live/syCg0Cn_1JM?si=qoJK1iGMMTnO4d7F
Mtoano wa Shirikisho.
Mzunguko wa Kwanza.
Mzunguko wa Pili.
Mtoano wa Klabu Bingwa.
Mzunguko wa Kwanza...
Naomba niseme mapema kabisa kabla Azam hawajaanza kucheza mechi za NBCPL.
Nimetizama mechi nne za azam za msimu huu, kuna kitu nimekiona ambacho wengi hamjakiona mbaya zaidi mnasifu eti azam...
Teh!
Wameshindwa kuifunga pamba Jiji, walichoambulia ni Red card.
Niliwaambia Azam FC kuna magarasa, Soma Pia Azam kuna magarasa mengi msimu huu, Feitoto anafanya kazi zote uwanjani kama house...
Iwe ni kweli au siyo kweli, kuna wachezaji wa nje wanalipwa mshahara zaidi ya hiyo signing fee kwa mwezi na wanalipwa bila shida yoyote, usajili wa wachezaji wa nje hauna shida yoyote lakini...
Ya kweli haya ?
---
Aden Rage akihojiwa na Crown Media kuhusu sakata la Mkataba kati ya Yusuph Kagoma na Yanga emesema:
"Wanasheria wetu watanzania watofautishe Elimu yao ya sheria zetu za...
Bro Haji alama za nyakati zinaanza kukukataa kwenye game yako uliyoweza kuimasta kwa muda mrefu ya usemaji wa timu za mpira.
Kila nikitazama miaka mitatu mpaka minne sikuoni tena ukiwa na ule...
Yafuatayo ni mafanikio ya Al Hilal ya sudan kwenye CAF CHAMPIONS LEAGUE. Kama kuna mtu timu yake ina mafanikio zaidi ya haya basi alete hapa
1966 - Semi-finals
1987 - Finalist
1988 -...
here are my reasons after Al hilal Tripoli review.
Al Hilal Tripoli might be considered better than the new Simba SC team:
1. Team Cohesion: Al Hilal Tripoli has had more time to build strong...
UBAYA UBWEGE, UBAYA UNAFIKI
Sisi yanga Fc tunasimama na striker la Dunia Mabululu, na nina uhakika tawi la timu yetu huko libya yaani ahly tripoli tunafuzu kuingia makundi ya confedaration , na...
Yanga SC leo ipo uwanjani huko Nchini Ethopia kuchezo mchezo wa klabu Bingwa Afrika dhidi ya CBE SA ya huko huko Ethopia. Mchezo huu utapigwa mishale ya saa 15:00 Alasiri
Kikosi ambacho natarajia...
Baada ya Timu Yanga kuthibitisha pasi na shaka, Tena kwa kutoa vithibitisho vya mikataba halali vinavyothibitisha kwamba mchezaji Yusuph kagoma, ambaye ni mali ya SFG kuingia mkataba na Yanga...
Picha hizi mbili zimepigwa jana tarehe 23 Julai 2021 wakati wa tukio la ufunguzi wa michezo ya Olimpiki jijini Tokyo, Japan.
Ki-utaratibu, kila nchi iliyopeleka wawakilishi inatajwa halafu...
Simba roho juu, huwenda waka-katwa alama ishu ya mchezaji Yusuph Kagoma kusaini Yanga kisha kuwatosa na kuibukia mitaa ya Msimbazi.
Mchambuzi na expert wa mambo ya usajili, Hans Rafael amedai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.