Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Heshima kwenu Wana jf,turudi kwenye topic,Kwanza niwe muwazi Mimi ni mshabiki wa Simba sport club,kikwel this time tunaenda kukutana na timu nzuri ahliy tripol ya Libya,ukiangalia rank za caf...
1 Reactions
0 Replies
356 Views
Kama timu za Tanzania zitaendelea kuchukua makocha na wachezaji toka nchi zinazozungumza kifaransa, basi kuijua lugha ya kifaransa ni muhimu na lazima. Wachezaji wetu wa ndani,wachambuzi wa...
6 Reactions
16 Replies
819 Views
Mdau wa michezo, Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Waziri wa Fedha, ameeleza matamanio yake ya kuona kiungo wa Azam FC na timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars", Feisal Salum (Fei Toto) akiichezea...
0 Reactions
40 Replies
2K Views
Kikosi cha Yanga kwa kundi la pili limepaa leo alifajiri kuifuata CBE SA ya Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wachezaji walioondoka...
2 Reactions
2 Replies
557 Views
Salaam wakuu Katika pitapita zangu huku mjini Twitter + mtandao mingine nimeshuhudia watu mbalimbali wakijadili ubora wa benchi la Yanga ......kiasi Kwamba mbinu za Gamondi zatawala michuano ya...
4 Reactions
18 Replies
539 Views
Sikiliza dakika ya 10 sekunde ya 40 na kuendelea, Mzee Magoma anasema kuwa viongozi wote wa Yanga walio chini ya engineer Hersi Said ni Mazezeta. Yaani kwakifupi anasema kuwa makamu wa rais wa...
4 Reactions
17 Replies
849 Views
Embu tuwe wakweli kidogo, jumuisha Marais wote wa Nchi, Mawaziri, Manaibu Waziri, Makatibu Wakuu wa Wizara, Marais na Wenyeviti wa TFF na FAT, hakuna hata mmoja ukichukua mafanikio ya mpira nchini...
5 Reactions
21 Replies
653 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amewapongeza na kuwatakia kila la heri Taifa stars katika ushindi mnono...
3 Reactions
18 Replies
883 Views
Nayeee.. MAshindono kufuzu kombe la mataifa ya Africa, afcon 2025 yanaendelea ikiwa leo ni mechi nyingine tena kwa timu ya taifa ya Tanzania ikitupa karata yake nyingine dhidi ya Guinea. Kama...
0 Reactions
8 Replies
504 Views
Nimeona AFRICON iliyopita jamaa AMROACH alitumia approach nzuri ya kukusanya wachezaji kutoka kila kona ya dunia lengo ni kuipa nguvu na heshima bendera ya Tanzania kwenye sekta ya michezo ila...
0 Reactions
3 Replies
231 Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo, Septemba 11, 2024 imesikiliza pingamizi lililowekwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambalo limeiomba Mahakama kuiondoa kesi hiyo kwa...
1 Reactions
1 Replies
427 Views
for me jamii forum is for fun and being stupid at times. but I will share you my bet history. for people who don't count their losses I start beting last year and wasted too much money and time...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
I will be short. when did Fei toto ever help taifa stars in anything?? Kwenye mechi yeye ndo mzingo wa timu. hana analofanya anazunguka tu kwenye mechi then anatolewa. Morocco anaona nini kwa...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Na akimaliza Kuiunda hii Wizara Mawaziri wake Wakuu Hamisi Mwinjuma (kama Waziri) na Naibu Waziri awe Gerson Msigwa huku Katibu Mkuu wa hiyo Wizara akiwa ni Ali Mayai Tembele na Msemaji wa hiyo...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Hili jina la Taifa Stars halina maana yo yote wala halitambulishi nchi ya Tanzania kwa sababu limetoholewa kutoka neno la kiingereza "National". Kila nchi ina timu ya Taifa, kwa hiyo kutofautisha...
5 Reactions
23 Replies
768 Views
Vijana wamepikwa wakapikika sasa wamekuwa msaada mkubwa kwenye mataifa yao. Kule Kenya Duke abuya katupia goli maridadi kabisa, hapa Tanzania Mudathir yahya katupia pia, bila kusahau kule Zambia...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
UCHAMBUZI WA Comrade Ally Maftah PACOME WA MCHONGO) Tanzania VS Guinea. Katika viwango vya FIFA vinaonyesha Guinea ipo katika nafasi ya 77 na Tanzania tukiwa nafasi ya 113. Mechi hii imechezewa...
0 Reactions
10 Replies
873 Views
Mmesikia huko 😂 Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametumia ukurasa wake wa Instagram kuelezea kuhusu mchezaji wao, Yusuph Kagoma, na uvumi unaozunguka hatma yake. Ahmed...
10 Reactions
67 Replies
4K Views
Chato Samia Cup yasaini mkataba wa ushirikiano na Suluhu Academy ya Kizimkazi Zanzibar Kituo Cha michezo Cha Suluhu academy kutoka visiwani Zanzibar (kizimkazi) kimesaini mkataba wa...
3 Reactions
10 Replies
440 Views
Niwapongeze stars Kwa ushindi wa bahati tu Team imeshinda ila ndo hivo maajabu ya mchezo wa soka. Team dhaifu inaweza kushinda dhidi ya team Bora kabisa Sisi tusiopumbazwa na ushindi wa ngekewa...
8 Reactions
28 Replies
1K Views
Back
Top Bottom