Yanga imekuwa gumzo huko duniani ambapo vyombo vingi vya habari pamoja na wachambuzi wanalipongeza benchi la ufundi la yanga Baada ya nchi nyingi kushinda ....huku wachezaji wa Yanga / waliowahi...
Taifa stars ifundishwe na walimu wenye ubora na uzoefu mkubwa kuliko wachezaji wanakotoka kwenye timu zao. Hii itachechemua fikra za wachezaji kuhusu timu yao ya Taifa. Mwanafunzi wa chuo kikuu...
Struggling star is Man United's highest earner as transfer flop makes the top five - but key midfielder is the LOWEST-paid player in Erik ten Hag's squad
Manchester United's wages for the 2024-25...
Ndugu Wilhelm Francis Gidabuday atazikwa jumamosi 14:00:2024 katika kijiji cha Endamang, Nangwa , Hanang Mkoani Manyara.
Gidabuday amefariki akiwa na miaka 50, siku chache kabla ya kumkumbu ya...
#Repost @officialfelixtz
Wachezaji [emoji2389][emoji2392] kutoka Young Africans [emoji1241] watapambania mataifa yao kufuzu AFCON 2025 Morocco [emoji1173]
Unambiwa haijawahi tokea Kwa club hapa...
Hongereni shirikisho la soka la Zanzibar kwa kuzalisha vipaji vinavyokuja kulikomboa taifa la kichwa cha mwenda wazimu (hayati Ali Hassan Mwinyi).
Uzi tayari.
Guinea 1-2 Kizimkazi
FT
Pamoja na wazo jema la ujenzi wa uwanja wa KMC Complex, naomba nijikite kutoa kasoro kadhaa nilizoziona katika mradi huu.
Kasoro zangu zitajikita katika maeneo yafuatayo:
1. Design
2. Gharama za...
Habari za jioni wakuu?
Kwa jinsi wachezaji wa Taiga Stars wanavyocheza ni kana kwamba wamelazimishwa kushiriki mashindano haya,wanamgomo wa chini kwa chini dhidi ya uongozi.
Team haina...
Klabu ya Simba imeachana na Kocha Juma Ramadhani Mgunda ambaye alikuwa akiinoa Timu ya Wanawake ya Simba Queens huku mara kadhaa akipewa jukumu la kufundisha timu ya wakubwa ya klabu hiyo.
Soma...
Taifa limekuwa la kutekana kuuwana huku tukijinasibu kuwa ss ni kisiwa cha amani, amani ipi? watu wanatekwa wanauwawa na kisha bado viongozi wanaongea porojo alfu wanakimbilia kwenye mipira...
Natamani Tufikie Siku Moja Tuziishi Siasa za Tanzania Kama Tulivyoweza Kuishi Ushabiki wa Simba na Yanga Mtaani Wote Tukikaa Pamoja Tukitambiana bila kuumizana.
Tuishi kama Democratic na...
BABA YETU NA MUNGU WETU TUNAKUSHUKURU KWA UHAI WA WATOTO WETU
AHSANTE KWA KUWAWWZESHA KUSOMA NA SASAA WANAENDA KUMALIZALA SABA
TUNAOMBA UWAKUMBUSHE KILA KITU WALICHOSOMA WAFANIKIWE NA WAFAULU...
Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc. Mimi naanza na hawa.
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii
Tupe list yako...
Magoma hawezi kulipia wakili bali kapewa wakili na wale jamaa zake kwa gharama zao. Aliyepeleka Yanga mahakamani ni Magoma, viongozi wa Yanga wanajibu mashitaka yake tu mahakamani. Kwahiyo akina...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa ya Juma Ally Magoma na mwenzake Geofrey Mwaipopo waliyokuwa wameikata dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Dar es Salaam, Young...
Kwa tunaofatilia haya mashindano utaona team ndogo zimekuja na mkakati wa kuzikamia team kubwa
Hii ilianzia kwenye AFCON pale Ivory coast na naona inaendelea hivyo hivyo ambapo team Giants Afrika...
Hawa ndio wachezaji kumi bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu ya Tanzania.
Vigezo mbalimbali vilivyotumika ni kama kuwa MVP, kuwa mfungaji bora, idadi ya makombe na hata transfer fee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.