I will be short
list yangu ya matapeli since 2014 -
1. Vítor Salvador (Jul 2014 - Jun 2015)
2. Goran Kopunovic (Jan 2015 - Jun 2015)
3. Dylan Kerr (Jul 2015 - Jun 2016)
4. Pierre...
Nafasi walizopata wahabeshi Jana akipata Mzize basi Kongo wanakufa mapema sana kwa Mkapa
Inonga bado anacheza na jukwaa akitaka labda Yanga imuone ila alifanya makosa mengi sana
Nafasi kama zile...
Beki wa kati, Lameck Elias Lawi, ameanza rasmi leo katika kikosi cha Coastal Union kinachocheza dhidi ya Mashujaa FC, mechi ya ligi kwenye uwanja wa KMC Complex.
Lawi amejiunga na Coastal Union...
Tusichoshane, moja Kwa moja kwenye mada.
Huyo mwanasheria aliyeonyesha MIKATABA ya Kagoma kuna maswali hapa atusaidie, inaonekana HAJUI kuwa HAJUI! Inawezekana huyu mtu ni aina ya wale wasomi...
Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo...
Simon Patrick: Mwanasheria wa Klabu ya Michezo ya Vijana wa Yanga na mkurugenzi wa kisheria wa Klabu ya Michezo ya Yanga, maisha yake yanga.
Kesi Ngumu
Simon Patrick amekabiliana na kesi zenye...
Jonas Mkude na Mzamiru waongezwe kikosini. Wana uzoefu na mechi kubwa na ngumu, Wana nguvu na wanaweza bado. Ziko mechi zitawahitaji hasa zile zitakozohitaji kugongana na uzoefu,
Baada ya Sisco kushindikana katika madraft Tanzania nzima , leo saa 5 usiku Kuna pambano
EXCLUSIVE
Timu: Mkulima Vs Sisco(Confirmed )
Mdhamini: Boss Java
Zawadi: 60,000 (Sisco anatakiwa azuie...
Kwa wale Wanye kumbukumbu nzuri kwenye Mpira wa Tanzania watakuwa wanawakumbuka awa jamaa vizuri sana;
Rodgers gumbo
Lucas mashauri
Davis mosha
Seif Ahmed magari
Pelegrinus Rutayuga
Hao jamaa...
Kweli Utopolo wenye akili ni wawili Tu! Kwa hili la Yusuph kugomea kwenda Yanga na jinsi Utopolo wanavyohaha kisa sio Mchezaji bali ni kutaka kutunishiana misuli na Semaji la CAF kweli aliyesema...
Real betis ni miongoni mwa klabu kongwr zinazoshiriki ligi kuu nchini Spain maarufu kama La liga.
Kwa njia ya kipekee kabisa ili kuleta mabadiliko katika historia ya klabu hio hususani katika...
Rais wa klabu, Mohammed Dewji ametajwa na jarida la Face2Face Africa lenye makao makuu yake jijini New York, Marekani kuwa mmoja kati ya mabilionea wawili ambao wamesaidia kukuza biashara ya...
Mwenyekiti wa Chama cha Wachezaji wa Mpira wa Miguu (SPUTANZA), Mzee Musa Kisoki akizungumzia suala la Mchezaji Yusuph Kagoma kupitia Crown FM amesema suala hilo bado lipo kwenye Kamati ya Katiba...
Nimechunguza na kutambua kuwa watu wengi linapokuja swala la mechi ya watani wa jadi basi wengi wataanza kuitaja simba kisha Yanga.
Yani leo ni mechi ya Simba na Yanga. Yani lazima Simba aanze...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameizawadia timu ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Girls’ kiasi cha Sh30 milioni baada ya kutwaa ubingwa wa...
Kupangwa au kutopangwa kwa Samata na Msuva sio tatizo la Taifa Stars bali ni kocha mwenye weledi wa hali ya juu kufundishia timu ta Taifa Stars.
Kumbuka timu ya Taifa Stars ndio timu pekee yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.