Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Soka/kandanda/kabumbu ni mchezo unaopendwa na kuwa na mashabiki sana sehemu nyingi duniani na hata hapa Tanzania. Hufuatilia sana mpira wa bongo hivi karibuni yamkini kuna mashabiki wengi ila...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi mzimu ni uleule uloitafuna cmba msimu Jana au hii ni dalili mbaya aisehe wanajangwani. "MASHABIKI HATUPENDAGI UJINGA SIE."
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nasubiria utiki tu
0 Reactions
6 Replies
984 Views
Hello wapendwa. Sijui km hii kitu ipo? Nilikua napendekeza kila timu iwe na fans club,ili kujiongezea kipato...... Nimeona teams zikiuza,T-shirt,mashuka, saa hadi mugs na sahani..zenye nembo ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii Superfight itakuwa kali!! Who are you betting on?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana jf salamu kwenu Najua kila mtu atakuwa na kipaji cha mchezo flani hata mmoja taja ni mchezo gani ambao huwa unawaonea wenzako mkiwa mnacheza namaanisha huwa unawazidi ujanja wenzako...
1 Reactions
53 Replies
3K Views
Wakuu habari za huoni, Nimeshangaa sana Leo kusikia kuna chama cha magolikipa Tanzania..si kuna chama cha wachezaji mpira Kwa ujumla...sijui kama vyama vya mabeki na viungo pia vipi..
0 Reactions
2 Replies
809 Views
wapendwa JF wa michezo ya kuchapana, toa shaka, kuanzia end of January 2011 muda ukiruhusu kuanzia saa 11 jioni hapa Dar, tunaweza ku organize na nikajitolea bure to train you free, Kung fu +...
1 Reactions
48 Replies
21K Views
Huyu mtangazaji wa mpira wa azam anaendeshwa na ushabiki. Mabeki wa azam wanacheza rafu anasema eti haja kusudia... Mchezaji wa yanga huyu namba saba amechezewa rafu mara mbili na huyu beki wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
[emoji1]
2 Reactions
1 Replies
666 Views
Kagera Sugar leo ni wageni wa Simba... MATOKEO: Magoli ya Mzamiru Yassin na Shiza Kichuya yaipa Simba ushindi wa 2-0 dhidi ya Kagera Sugar jioni hii katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar.
9 Reactions
71 Replies
7K Views
Achana na Barcelona na MSN yao inayoundwa na Messi, Suarez na Neymar au Real Madrid na BBC yake inayosukwa na Balle, Benzema na Cristiano. Ndani ya ukanda wetu wa CECAFA, kuna kombinesheni...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Jana nimeshuhudia watu wengi wakichelewa kuingai mpirani Taifa huku wakiwa na kadi zao za kieletroniki na kulaumu utaratibu mpya wa manunuzi ya tiketi Nina wasiwasi hilo litajitokeza tena leo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nlipokuwa naangalia mpira wa jana nikakumbuka huu wimbo. Kiukwel simba ya leo ina mabadiliko kiasi kikubwa kuliko ile ya jana. Wachezaj wanajituma na wanaonekana wana nia ya kushinda. Ni simba...
1 Reactions
1 Replies
774 Views
Muda wote mwanasiasa wa Tanzania huwa anafikiria uchaguguzi, kura na wapiga kura kiasi cha kuwafanya watafute hata kura haramu kwa njia haramu. Miongoni mwa kura haramu hizo ni kama zile za...
1 Reactions
0 Replies
694 Views
Hatimae yule Mnyama mkali, mwenye nguvu na makucha makali pengine kuliko wanyama wote mwituni.. Simba kamaliza nusu ya raundi ya kwanza ya VPL kwa kishindo kikuu. Kamaliza hii duru kwa staili ya...
8 Reactions
77 Replies
15K Views
Kutokana na mwenye nyumba kuamua kuwafukuza wapangaji wake,hii inaashiria kumfanya mh. Manji aanze haraka kuanza ujenzi wa uwanja kabla ya muda alioupanga na kuonyesha jeuri kwa huyo mwenye nyumba...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Hii ndiyo Club tajiri kwa hapa Tanzania. Najiuliza wamepatwa na nini? Uwanja wanao mzuri tu. Pesa na matunzo mazuri wanayo. Tatizo ni nini?
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Oodaa ivi ni app gan yenye uweza wa kushow games online especially vpl tz msaada plz
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom