Nimekuwa mshabiki wa Simba kwa muda mrefu.
Chanzo ni kwamba; jirani na nyumba niliyokuwa nikiishi mkoani Mwanza walikuwa wakifika wachezaji wa Yangu akina Abeid Mziba na Omary Hussein. Watoto...
Hizi kauli za kua Simba ya msimu huu (2016/2017) haina kitu zinanikera sana.
Eti ni kama tu ya msimu uliopita (2015/2016).. Ni nguvu ya soda.. Nafasi yake ni ile ile ya tatu..
Zina ukweli...
Taarifa za Yanga kuingia mkataba wa kuikodisha timu kwa miaka kumi kwa Kampuni ya Yanga Yetu zimezidi kuchukua sura mpya ambapo licha ya baadhi ya wanachama wa klabu hiyo kupinga utaratibu...
Ni tukio gani au mechi ipi ilishawahi kukuliza au kukutoa machozi.
Brazil vs holland worldcup 98,holland anakufa kwa penati baada ya mechi ngumu sana,pira mwingi,ufundi mwingi,striker wakali,beki...
Kulikua na Uingereza ya kizazi cha akina Paul Scholes,Frank Lampard,Steven Gerald,Sol Campel,David Seaman...nk.Wote hao hawakuwai kufanikiwa kupeleka kikombe chochote kile wakiwa na timu ya taifa...
Jana baada ya game ya Yanga kwisha na Yanga kupoteza mchezo kwa Ujumla ya goli 1,Kuna kitendo kilichotokea ambacho sio kizuri.
Baada ya mwamuzi wa mchezo ule kupuliza kipenga cha mwsho...
Habari wakuu,
Baada ya mwisho wa wiki hii kukosa burudani ya ligi kuu bara, uhondo umehamia Jumatano ya leo kwa viwanja kadhaa kuwaka moto. Mjini Mbeya, Mbeya city atamvaa kinara wa ligi, Simba...
Uongozi wa Yanga Yetu unasikitishwa na kitendo cha baadhi ya watu kuvujisha na kusambaza picha za stadium concept “Uwanja” bila idhini yao. Yanga yetu bado ipo kwenye mchakato wakuidhinisha moja...
Hakuna mfanyabiashara yoyote ambaye anafanya biashara ya hasara.
Manji ni mfanyabiashara mkubwa. Hawezi kuamua kusamehe deni la 11bn kwa kisingizio cha kulilipa ndani ya miaka 10, kama haoni...
Kinadhalia uwanja mkuu wa mpira ni mali ya Serikali, hivyo ni mali ya watanzania wote, lakini kiuhalisia aliyebuni wazo la kujenga uwanja ule kichwani mwake alikuwa ana picha ya kujenga uwanja...
Jamani naomba kuuliza mi sifaham hili suala kwani serikali inaweza kubatilisha maamuzi ya wanachama wa klabu ya soka?
mfani wanachama wa simba wameamua kubadili mfumo wa uendeshaj wa timu yao...
Kikosi cha Yanga kimeamua kujisalimisha kwa serikali kwa kuandika barua ya kuomba radhi ili waweze kuruhusiwa kuweza kutumia Uwanja wa Taifa baada ya kuzuiliwa kwa muda usiojulikana.
Hatua hiyo...
Beki wa zamani wa Yanga, Lawrance Mwalusako amewashukia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) na kuwataka wawe makini katika suala la mabadiliko wanayotaka kufanya Yanga.
Mwalusako ambaye pia aliwahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.