Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

MTAZAMO WANGU Nimesoma hoja za wadau tangu juzi na jana, nimeona na kujifunza mengi sana kutoka kwa waliokuwa viongozi wa yanga na wadau wa yanga kuwepo kwa tofauti ya mitazamo ni jambo la afya...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Sasa kumekucha wapenda michezo wenzangu hii ni kufuatia Baraza la Michezo Tanzania (BMT) leo limetangaza rasmi kutotambua ukodishwaji wa Klabu ya soka ya Yanga Baraza la BMT...
3 Reactions
19 Replies
11K Views
jamani nawaomben kwa wadau w mchezo wa darts ali aarufu kama mchezo wa vishale nataka kuwa wanachama napatikan dar es salaam nikipata viongozii nitafurahi sana! Asanteni!!!!!!!!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika mchezo uliochezwa jana katika uwanja wa karume wa ligi daraja la kwanza kati ya Friends Ranger imeibuka na ushindi wa goli moja,Hongereni sana Friends Ranger kwa ushindi wenu
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha michezo hapo clouds,fatma likwata ameandaa makala ya kumponda manji na kuwadharau wanachama wa yanga,hv anajua gharama za kuendesha timu?au wanaropokaropoka...
4 Reactions
40 Replies
7K Views
Ushindi wa kuhakikisha wamefagia kila kitu mtawalia na hakaribii yeyote, yaani namba moja, mbili, tatu na nne zimenyakuliwa na Wakenya. Mtakoma aisei.... Florence Kiplagat (Kenya) 2:21:32 2. Edna...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wale tunaopenda soka tujimwage sasa
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Yanga kwa historia haiwezi fananishwa na timu nyibgine yoyote katika ukanda wa Afrika Mashariki. Ni timu ambayo historia yake inaonesha ni sehemu ya uhuru wananchi yetu. Licha ya kuwa Yanga ina...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zangu wapenda Mpira wanachama hai Hasa wa Yanga sina maneno mengi ya kuwachosha niko hapa kuomba tushirikiane lengo liwazi ninahitaji kuwapeleka mahakamani viongozi wote wa Yanga kwa...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Taarifa zinasema eneo ambalo Yusuf Manji ametoa kwa timu ya Yanga kujenga uwanja wa kisasa linadaiwa kuwa katika mgogoro wa umiliki. Chanzo: Bin Zubeiry ============================ Kuna haja...
0 Reactions
103 Replies
10K Views
Habari za kuaminika zinadai kua kumbe refa anasema kua alimuonyesha Mkude kadi nyekundu sio kwakumsukuma bali alimtolea lugha ya matusi, ambayo ni Kadi nyekundu moja kwa moja. Je kwa kufuta hio...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nmeangalia ofisin kwangu nikauliza kwa jamaa yetu wa manunuzi zile office chair ambazo bado ni nzuri kabisa na comfortable tsh ngap. Akanambia tsh 150,000. Nikajiuliza vile viti vya uwanja wa...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Wamewasilisha Barua Ya Maombi Ofisini Kwa Waziri Wa Habari, Utamaduni, Utalii Na Michezo Wa Serikali Ya Mapinduzi Ya Zanzibar, Kuomba Ridhaa Ya Kuutumia Uwanja Wa Aman Uliopo Mjini Unguja...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwema wajameni? Nimeweka sheria za soka humu jamvini @https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/232848-laws-of-the-game.htmlili ziwe mwongozo kwa wapenzi wote wa soka kabla ya kujadili suala...
0 Reactions
8 Replies
23K Views
huyu motto Dembele huyu......lazima atakuwa Messi wa baadae huyu! VIDEO: 13-year-old superstar the next Lionel Messi?
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Mojawapo ya mambo ambayo yanaudhi wakati mwingine ni watu kutolea maoni jambo ambalo hawalijui au hata kuchukua muda kulijua hasa kama liko ndani ya uwezo wao. Katika mechi...
9 Reactions
125 Replies
16K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MUHTASARI WA MKATABA. Bodi ya Wadhamini wa Young Africans Sports Club...
5 Reactions
98 Replies
15K Views
Akitoa maoni yake jana katika kipindi cha sports extra, alitilia shaka maamuzi ya kamati iliyoamua kuwajadili waamuzi na kuwalaumu kwa kushindwa kuumudu mchezo wa Simba na Yanga. Akienda mbali...
3 Reactions
56 Replies
6K Views
Hatua za kuwania fainali za World cup 2018 zinaendelea.
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Goli la Amis Tambwe kwenye mchezo wa Yanga vs Simba lililalamikiwa uhalali wake kwasababu Tambwe aliushika mpira kabla ya kufunga (Picha na Francis Dande) Mshambuliaji wa Yanga Amis Tambwe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom