Awali ya yote napenda nisieleweke kama namlaumu mtu yeyote bali natoa maoni ya kitaalamu kwa baadhi mambo ambayo yangestahili kuzingatiwa wakati wa ujenzi wa uwanja huu. Ambao kwa sura ni mzuri...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limepokea barua kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Ethiopia (EFF), ikielezea juu ya kufutwa kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliokuwa ufanyike...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limepokea barua kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Ethiopia (EFF), ikielezea juu ya kufutwa kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliokuwa ufanyike...
Nimekuwa msomaji wa habari za michezo katika blogs mbalimbali kama vile ya Shaffih Dauda, Bin Zubeiry, Saleh Jembe, Sports in Bongo nk. Wamiliki wa blogs hii ni wachambuzi na wapiga picha wazuri...
SIMBA na Yanga zitakutana katika mechi ya mwisho ya kufunga msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, mapema mwezi ujao.
Mchezo wa kwanza, Yanga iliifunga Simba 1-0, bao pekee la Mzambia...
Mengi yamezungumzwa na wachambuzi wa soka kuhusiana na matukio na matokeo ya mchezo wa Simba na Yanga Jumamosi iliyopita. Mojawapo ya tukio lililovuta hisia ni utovu wa nidhamu aliouonyesha...
Nyota wa zamani wa Liverpool na West Ham Rigobert Song amekimbizwa hospitalini akiwa katika hali mahututi baada ya kuugua kiharusi.
Ujumbe wa Samuel Etoo katika ukurasa wake wa Instagram...
Kwanza niseme wazi wazi kabisa huwa sikubaliana na njia za matumizi ya nguvu kwenye maamuzi yoyote yale. Lakini pia wanasema binadamu ukimnyima haki yake mwishowe huamua kuchukua kwa nguvu. Na...
Nilikuwa namsikiliza Mchezaji Wa Zamani Steven Nemes hapa E FM,ktk maongezi yake amewataja pia na baadhi ya wachezaji Wa zama zile kweli nimejihisi kusisimka kama zamani,wakati ule mchezaji...
Waziri Nape Nnauye amezifungia timu za Simba na Yanga kutumia uwanja wa taifa mpaka pale zitakaporuhusiwa tena na serikali.
Hii ni kufuatia baadhi ya mashabiki kuvunja viti jana.
---------...
Klabu ya Swansea ya nchini Uingereza imemfukuza kazi kocha wake Francesco Guidolin na nafasi yake inachukuliwa na aliyewahi kuwa kocha wa timu ya taifa ya Marekani Bob Bradley.
Swansea...
By Jermaine Jenas
MOTD pundit and former Tottenham midfielder
Jermaine Jenas will join Gary Lineker and Alan Shearer on Match of the Day at 22:25 BST on Saturday and is also on Match of the...
Tangu jana kumezagaa tetesi kua, kocha mwenye heshima kubwa nchini Tanzania na katika klabu ya Simba S.C, Jamhuri Kihwelo 'Julio' ametangaza kujiuzulu ukocha, na kuapa kutofundisha tena mpira...
wamemfunga Burnley katika ligi kuu EPL tena dakika za majeruhi kabisa.goli la mikono miwili waziwazi.refa kaweka mpira kati kocha wenger kashangilia mikono juu kama vile ameokota almasi.lakini...
Kitu gani kifanyike ili tuweze kuulinda uwanja wetu wa taifa usiharibiwe na watu wachache wasio na elimu.Binafsi naamini mtu alio elimika hawezi ng'oa kiti au akojolee kwenye sinki la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.