Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mpaka muda huu uwanja unaelekea kunona , mashabiki wa pande zote mbili wanazidi kumiminika . Mashabiki maandazi nao wamo pia , kama kawaida rangi nyekundu na zile za njano zimetawala mitaa ...
15 Reactions
870 Replies
100K Views
jambo ambalo binafsi nashindwa ielewa serikali ni hii hatua ya kuvipga marufuku Simba na Yanga tumia Uwanja wa Taifa kwann kama ni uharbifu wa viti club husika kupitia washabiki wake ipgwe fain...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sana timu ya Majimaji imekuwa ikiendeshwa kienyeji hali ambayo imekuwa ikitupa hasira,majonzi, mateso na stress zisizokuwa na kikomo. Timu imekuwa ikishuka daraja kirahisi na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu hivi kwanini vilabi vya Simba na Yanga mpaka leo havina viwanja vyao binafsi?? Namshukuru Mungu kuwa nimepata kuelewa kuwa hizi timu zimehujumiwa na TFF pamoja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nadiriki kuamini kuwa Mchezo wa Simba Na Yanga matokeo take yalipangwa.Kwanza TFF ilimpanga REFA ambaye alikuwa amefungiwa kwa makosa ya kushindwa kuchezesha Kwa mwaka 1. REFA huyo alikuwa karibu...
10 Reactions
25 Replies
4K Views
Anza Tz vs Congo goli la jion kbsa. Yanga vs Simba kitu kile kile Man utd vs Stoke mfumo ule ule Arsenal vs Burney dakika ya 92+ Kuna matokeo kati ya hizo game yameniumiza kabisa. Sijui...
0 Reactions
2 Replies
620 Views
Kuelekea Mechi ya simba na Yanga siku ya jumamosi hutawaliwa na sayari ya zohar na nyota yake ni ya mbuzi na kondoo.Sayari hii ni nyeusi na inahusika na mambo mabaya kama kuvunjika kwa...
1 Reactions
35 Replies
8K Views
Huyu kijana alikuwa na kipaji kizuri cha mpira. Akahamia azam ambako lengo lake nadhan lilikuwa ni ili akakuze kipaji. Labda kwa anayefaham atupe takwimu toka ahamie azam huyu mchezaji ameweza...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau yule refa aliyechezesha mechi ya YANGA na COASTAL amefungiwa kuchezesha kwa muda wa mwaka 1, adhabu hii inatosha?
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Hivi haya makundi ya wahuni ni nani anaye yaendekeza? Hebu jionee uharibifu wa Viti katika uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba. Huu uhuni na wahuni wahusika wanapaswa...
6 Reactions
269 Replies
25K Views
Napongeza wachezaji mashabiki wanachama na wanazi wa timu zote mbili kwa mechi ya leo na kushukuru kwamba hakukua na maafa makubwa, Kipekee niwapongeze sana simba kwa kupigana hadi dk ya mwisho na...
6 Reactions
131 Replies
17K Views
Nashauri ingekuwa hiviiii!! Kwa kitendo cha Washabiki wa Simba kuharibu viti uwanja wa taifa ilihali havikuwa na uhusiano wowote na tukio lililotokea uwanjani, TFF wangewapiga fine Simba ya fedha...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Man U' naona mmejikoroga wenyewe, na sioni Pogba alichofanya cha maana hadi leo hii zaidi ya kuruka ruka uwanjani na kumtegemea Ibrahimovich. Tangu ajiunge 2011–2012 Manchester United, kacheza...
0 Reactions
1 Replies
922 Views
Tuweke ushabiki pembeni wadau, Jana tumeshuhudia game ya miamba wawili wa soka na matokeo yake ni wote kutoshana nguvu(1-1) Yanga akianza kufunga na Simba kuchomoa dakika za lala salama...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mim ni shabiki wa Yanga lakini pia ni Mwanamabadriko kisiasa.huwa mara nyingi siku kama ya leo nashindwa kuvaa sare za Yanga, kwani huwa najihisi navaa rangi inayofanana na ya ccm,niseme kweli...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Kwa masikitiko makubwa klabu ya Simba imesikitishwa sana na vitendo vilivyofanywa na baadhi ya washabiki wetu,cha kuvunja sehemu ya viti vya Uwanja wa Taifa.kitendo kilichotokea jana kwenye mchezo...
3 Reactions
5 Replies
851 Views
Katika hali ya kawaida metch ya jana haikuwa nzuri kuanzia maandalizi ya pale mlangoni na wapuliza vipenga. Ilikuwa kama watu walikurupushwa hivyo wakawa wanatakiwa wafanye tu yapite wakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani huku mtaani wadada mpaka Leo wanamzungumzia Kichuya. Mara nampenda kichuya,Oooh kichuya honey!!
3 Reactions
1 Replies
641 Views
Nape wa Ulaya angeanza kwanza ' kuwawajibisha ' Watendaji wote wa Kampuni ya SELKOM na Wale wote iliyoshirikiana nao katika suala zima la upatikanaji wa Mtandao bora pale Uwanjani ili kuweza...
0 Reactions
1 Replies
512 Views
Back
Top Bottom