Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wapenzi wa soka walioshuhudia pambano la watani wa jadi hapo jana watakuwa ni mashahidi wa kiwango duni kabisa cha uchezeshaji kutoka kwa mwamuzi Martin Saanya. Hakuna haja ya kurudia rudia kutaja...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeangalia mpira wa jana sijaona kitu kipya cha kiufundi kwenye mchezo wenyewe zaidi ya ushabiki tu uliotujaa. Wachezaji walikuwa wanafuata mpira kila unapokwenda wala walikuwa hawakai kwenye...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Katika somo la ujasiriamali, kuna dhana maarufu ya kugeuza changamoto kuwa fursa ya kujiletea maendeleo. Inashauriwa kuwa wakati wengine wakiendelea kulalamika na mazingira magumu au yanayowakwaza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo ndiyo Leo Siku ya Kariakoo Derby timu zote zikitokea wilaya ya Ilala na Kata ya Kariakoo. Match preview Simba ikitafuta kufuta uteja wa miaka ya hivi karibuni na Yanga ikiendeleza Ubabe wake...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Mpaka sasa sioni tena umuhinu wa Sammata kwa timu ya FC Genk. Kwa mfano jana Genk walishinda bao tatu bila mchango wa Samatta ndani ya uwanja. Kuna jamaa alikuwa ana assit ile mbaya na kufunga...
5 Reactions
54 Replies
6K Views
Msimu uliopita tumeshuhudia Yanga akipata pointi zote 6 kutoka kwa mtani wake Simba ,ila katika game zote hizo kama kawaida game za watani huwa na maneno sana. Simba akaja na visingizio kwamba...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Je, matokeo ni vp wadau kati ya hii match?[emoji17] [emoji18] [emoji17]
0 Reactions
3 Replies
651 Views
kuelekea mechi ya simba na yanga jioni itakapo fika saa kumi jioni mechi baina ya watani hao wa jadi #thread hii ni kujuana kwanza ushabiki wetu isije baada ya mechi tukashidwa hata kusalimiana...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
1. Ozil,Sanches,Walcot 2. coutinho,Mane,Firminho 3. Steling,Bryune,Aguero ???
1 Reactions
8 Replies
678 Views
Heshima kwenu wakuu, Mimi sipendi hii Simba na Yanga. Hebu fikiria Baba na Mama, Baba ndo kichwa. Yaani jina linaloanza ndo lenye mashiko. Nashauri tuanze kubadilishana Majina, sio kila siku...
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Mamlaka ya michezo Tanzania inapenda kuwatahadharisha wakazi wa maeneo ya bunju na msimbazi wajiandae kukabiliana na maafa yanayotarajiwa kutokea hapo kesho yatakayosababishwa na kimbunga cha...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
1 Reactions
1 Replies
712 Views
Nasema hivi kwa maana kuna vilabu vilikuwa vizuri sana Ligi kuu ya Uingereza ila viliposhuka tu daraja mpaka leo havijarudi Ligi kuu. Leads United, unaikumbuka? Enzi akiwepo Mark Viduka, Will...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Karata yako unaitupia kwa mtani gan
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sijawahi kuipenda team ya ccm mi ni mwekundu damu damu hapa chadema hapa simba hapa aseno
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mfanyabiashara maarufu nchini ambaye anashika nafasi ya 21 ya utajiri Afrika, Mohamed Dewji ameanza kulipa mishahara ya wachezaji wa klabu hiyo kutokana na klabu kutokuwa na mdhamini. Taarifa...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya padri Mushi Zanzibar ametinga mahakamani akiwa ameweka alama ya vidole viwili, whch is a political symbol of a certain political party. Hii ina maana gani? Check...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Salaam kwenu WanaJF. Zimesalia siku chache kufikia mpambano mwingine wa watani wa jadi Simba na Yanga. Yapo mabishano mengi yanayojitokeza hasa katika kipindi hiki, kila upande ukijinasibu kuwa...
1 Reactions
33 Replies
64K Views
Back
Top Bottom