Mshambuliaji wa kiitaliano Mario Baloteli aka Super Mario jana alifunga mara mbili na kuisaidia timu yake ya Nice kukwaa kileleni mwa Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) kwa kufikisha alama 14 katika...
Kama kuna sehemuu unaitaji kusafisha nyota N kutumbuaa MTU wore watakaoshiriki kupiga mgao wa zawadi za cecafa za wanawake
Nawazaa awa watoto Leo wamelalamika wanadai pesa za maandalizi toka...
Utawala wa Jamal Malinzi umekuwa ukipokea shutuma nyingi kutoka pande mbalimbali za wadau wa soka. Mimi pia ni mmoja wa wakosoaji wake. Watu wengi tumekuwa tukihoji uwezo wake kiuongozi, uadilifu...
Nilikuwa nashangaa mbona Everton wako vizuri season hii
na mbona Leicester city wako hovyo?
Kumbe yule mtaalam wao wa usajili kahamia Everton
na tayari kasaini kifaa kikali kuliko Ngolo Kante...
wadau kati ya hawa wachezaji ni nani bora zaidi ya mwenzake kwa upande wangu mimi namuona XAVIER JARVIE HERNANDEZ ni bora kuliko ANDREA PIRLO wewe unamuona yupi bora kwako??
Aliko Dangote mwenye umri wa miaka 58 raia wa Nigeria na ndo tajiri namba moja Africa mwenye utajiri unaokadiriwa kuwa wa 21,800,000,000,000 (trillion 21.8 za kitanzania). tajiri huyu ana mpango...
Katika kupanua wigo wake wa kibiashara lakini pia katika kuwafikishia wanachama, wapenzi na mashabiki wake, Klabu ya Simba imeanzisha mpango maalumu wa kutafuta mawakala ambao watatambuliwa na...
Salaam wana JF.
Jana kupitia kipindi cha michezo Radio Times "Wizara ya Michezo" nimesikia kwa masikio uchi kabisa bila kisaidizi namna ambavyo Malinzi anaendesha (au pengine kuendeshwa..Who...
Tumpe mda, msiwe na hasira kiasi hiki,. Kama mauzo ya jezi mbona ameshawatengenezea pesa ya kutosha saana... Kwann leo mmebadilisha akili zenu ghafla... TUMPE MDA..
Miamba ya soka nchini Hispania,Ulaya na Dunia kwa upande wa klabu, FC Barcelona na Real Madrid jana walishindwa kutamba mbele ya wapinzani wao baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1. Barcelona...
Tukiwa tunahesabu siku sita tu zijazo kuelekea kwenye game ya kukata na shoka kati ya Timu mbili kubwa za Tanzania,Simba na Yanga.Mpira utakaochezwa tarehe 08 machi 2015 kwenye dimba la uwanja wa...
Wadau najua wengi mna kiu ya kujua kinachoendelea kati ya timu ya Tanzania Bara Wanawake na Kenya wanawake. Hapa nipo mpakani maeneo ya Minziro mpakani mwa Tanzania na Uganda. Nimejaribu muda...
Nimempenda saana leo wakala wa Yahya Toure kwa kauli zake dhidi ya kocha wa Man City Pep Guardiola.Haya ndo majibu yale. ...."Manchester City boss Pep Guardiola should be saying sorry himself...
Kwa miaka mingi Dunia ya soka imekuwa ikiwatukuza wachezaji wanaocheza nafasi za mbele au kwa kifupi Washambuliaji huku ikiwasahau kama si kuwatupa kabisa wachezaji wanaocheza nafasi ya Ulinzi (...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.