Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naona watford wamempiga tatu,Mashabiki wa man u kazi wanayo.
0 Reactions
0 Replies
511 Views
Nipo hapa uwanja wa uhuru, kuangalia mechi ya Azam na Simba, kusema kweli utaratibu wa kuingia uwanjani ni mbovu, askari wamejazana kwenye vimilango, foleni ndefu na hazisogei, fujo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
06.05.2012 ni siku ngumu sana kusahaulika miongoni mwa mashabiki na wanachama wa Simba SC. Kwangu mimi hii kumbukumbu imejenga makazi ya kudumu kichwani mwangu. Kwanini? 1. Mnyama alimkung'unta...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Mchezaji bora wa Klabu ya Simba kwa mwezi Agosti, 2016 Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' amekabidhiwa tuzo yake mbele ya mashahiki waliokujakushuhudia mchezo wa kati ya Azam Fc na Simba Sc. Pamoja na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kitendo cha Yanga kukodi daladala kama usafiri wao kutoka uwanja wa ndege Mwanza kimezua gumzo kwenye vyomba vya habari na mtandaoni Klabu ya Yanga tayari imewasili mkoani Shinyanga kwa ajili ya...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Arsenal yaichapa hullcity
1 Reactions
4 Replies
779 Views
Wadau, Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimekuwa nikitafuta kumbukumbu za Klabu kongwe hapa nchi - Simba Sports Club na Dar Young Africans kwa ajili ya project ndogo katika uandaaji wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) tunapenda kuwatakia ushindi vijana wenzetu wa Timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys watakaoiwakilisha nchi katika mchezo wao wa Jumapili Septemba 18, mwaka...
1 Reactions
0 Replies
579 Views
Katika Viwango vya soka dunian vilivyotolewa na FIFA leo, Tanzania imeshuka kwa nafasi 8, kutoka 124 sasa nafas 132. 10 Bora katika viwango vya soka duniani vilivyotolewa na FIFA leo Sept 15...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Kocha huyo mkongwe na mwenye GUNDU la kiwango cha kutisha , ametakiwa kutimuliwa na mashabiki wa timu hiyo . Hii ni baada ya kuponea tundu la sindano kwenye game dhidi ya PSG . Shabiki mmoja...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Hivi wadau ni kweli Man Utd imekula hasara kwa kumsajili Pogba? Maana tangu atue Old Trafford bado hajaanza kuonyesha cheche zake kama alivyokuwa Juventus-Torino.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tuchambue kiufundi nani atashinda
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Newcastle fans welcome home
0 Reactions
2 Replies
1K Views
[emoji27] predict ur result[emoji460]
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuelekea mechi ya azam na simba sc nimejikuta nikimkumbuka huyu dogo . Kifupi dogo anaujua kuuchezea na si kuupiga. Mwenye kujua aliko atujuze. Natamani kesho angekuwemo ili ajitangaze zaidi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimetazama mechi iliyoshika nafasi moyoni mwa wapenda soka duniani, kati ya Man United na Man City. Kiukweli ingawa wapenzi vipofu wa Man U mtabisha lakini ndo ukweli kuwa Pogba Mtumishi hewa...
5 Reactions
86 Replies
8K Views
Sensei Mtshali akitoa maelekezo. Sensei Mtshali akirekebisha mkanda wa Sensei Florence Kieti kutoka Mombasa, Kenya. Wakati semina ya kimataifa ya Shotokan Karate imeingia katika siku ya tano leo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Premier League (Sky Sports)
0 Reactions
0 Replies
608 Views
nilikuwa nauliza katika kile kipenge cha super 1 * 2 je ni kweli ukishinda ule mkeka wa milioni 75 ni kweli vipi watato hizo pesa au huwa wanakata maana naona mshindi wa mwisho alipewa millioni...
1 Reactions
7 Replies
37K Views
Back
Top Bottom