Wabongo tuache kuikuza Genk na hiyo ligi ya kijinga ya Ubelgij mchezaji bora Afrika hakustahili kwenda kwenye huo uchafu.Ukiingia blog za sport za kibongo siku tu akifunga ndo timu inasikika
Katika kipindi cha michezo cha Clouds FM mchana mchambuzi Ali Mayai alilalamika uwingi wa watu wakiwa nje na tiketi ilhali ndani ya uwanja hakuna nafasi. Kama tulivosikia serikali ya Uganda...
Miaka ya 90 na kuendelea ligi ya Italia ilikua ni kati ya Ligi bora duniani Vilabu kama Juventus,Inter Milan,Ac milan,As Roma,Parma,Fiorentina...nk vilikua ni kati ya Vilabu tishio duniani vikitoa...
mechi ya ligi kuu Tanzania bara baina ya watani wa jadi na timu zenye mashabiki wengi kabisa hapa nchini Simba na Yanga inatarajiwa kupigwa mnamo tarehe 1 oktoba,2016.
Kumekua na fununu kua...
Timu ya Soka ya wanawake(Kilimanjaro Queens) imeifunga Uganda goli 4-1 na kuingia fainali za Chalenji.
Itapambana na Kenya katika fainali baada ya Kenya kuitandika Ethiopia goli 3-2 katika nusu...
Ikiwa ni michezo mitatu pekee ambayo Simba imecheza katika Uwanja wa Uhuru ambao umeanyiawa marekebisho, Simba imeomba kurudi kutumia Uwanja wa Taifa kama ilivyokuwa awali.
Tayari Simba kupitia...
Lowassa na Malim Seif kuhudhuria Mechi baina Yanga na Simba.
Hatimae Lowassa na Malim Seif amekubali Ombi la Vijana wa CHADEMA la kumtaka kuhudhuria mechi ya Simba na Yanga, itakayochezwa Uwanja...
Ni jumamosi ya tar 17/09 pale uhuru stadium kushuhudia mtanange kati ya simba sports club na wanalambalamba Azam makosa wanayofanya walinzi wa mageti ya pande zote yanapelekea polisi kuwachapa...
Mafanikio tuliyoyapata kwenye timu yetu ya taifa chini ya kocha Macio Maximo hayatasahaulika. Lilikuwa kosa la kiufundi kwa kocha huyo kukubali kuifundisha Yanga, ila kama Azam FC walipoachana na...
Nimefurahishwa na habari hii kumbe hata wazungu nao Wana mafumbo kama ya uswazi,ona jinsi Pep Guardiola anachowafanyia kina Pogba kwa kuwaambia kuwa Bornemouth ni timu kali kuliko zote alizokutana...
Mara ya mwisho kubiga ukunga kwa furaha wakati naangalia mpira basi ilikuwa ni world cup 2006 wakati zinedine akifanya mambo yake uwanjani...kwa miaka ya nyuma nilipatwa na furaha..sitosahau...
TFF mnapaswa kuzionea huruma timu zinazo shiriki ligi kuu, haingii akilini Yanga wapo kanda ya ziwa wiki mbili kwa mechi mbili Yanga kacheza na Mwadui tar.17/09 mechi ijayo tar.24/09 kwa nn...
Leo ndio vikosi bora vitakuwa uwanjani na baada ya dakika 90 jibu litapatikana kipi ni kikosi bora msimu huu.
Tuanze kwa kujadili vikosi hivyo wakati tukisubiria kipyenga cha muamuzi kuanza...
Kitendo cha Mshambulizi Shizya Kichuya cha kufunga goli na kukimbilia ilipo picha ya Mafisango si tu kimeonesha mapenzi ya dhati ya mchezaji huyo kwa Klabu yake lakini pia kuonesha jinsi alivyo na...
Kama tulivyo tabiri tangu Morinho anakabidhiwa timu , mambo si mambo kwa timu hii yenye mchezaji wa bei mbaya zaidi duniani.
Imechapwa na Timu uchwara ya FEYENOORD kwa bao safi la dk 79...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.