Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Shirika la kukabiliana na dawa za kusisimua misuli duniani WADA limewashtumu wadukuzi kutoka Urusi kwa kutoa faili za siri za matibabu za wanariadha wa Marekani walioshiriki katika michezo ya...
0 Reactions
4 Replies
899 Views
Ulevi wa viongozi wa michezo wa Zanzibar wa kudai kujiondoa kwenye Ligi kuu ya Muungano kumechangia sana vilabu vya Zanzibar kudorora. Ile dhambi ya kuwakimbia wenzao wa Tanzania bara wakibaki...
0 Reactions
0 Replies
630 Views
nimeona Azam walikuja Mbeya wakacheza na Mbeya city na prisons. Yanga wanaenda Shinyanga na kucheza mechi mbili mfululizo. mbona ratiba kama hii siioni kwa timu ndogo? sijawahi ona prions inaenda...
1 Reactions
6 Replies
821 Views
Tff kama wana ajenda ya siri na mpira wa miguu mkoa wa Arusha waweke wazi ila sio ukanjanja walioufanya... Katika ratiba ya ligi daraja la pili (SDL), TFF wamezipanga kwenye kundi moja timu za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jackson Mayanja ambaye alizaliwa Julai 27, 1969 nchini Uganda.. ni kiungo bora kabisa kuwahi kushuhudiwa nchini Uganda [achana na kina Okwi]. Jackson Mayanja ni maarufu sana kwa jina la Mia Mia...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Liverpool inaendelea kukabiliwa na mechi ngumu Ijumaa, watakapozuru Chelsea kwa mchezo wao wa nne ugenini, wa tano kwa ujumla kwenye Ligi Kuu Uingereza. Habari kuu zilizoenea kutoka kwenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani naomba kuuliza match ya KRC ya Europa ni saa ngapi? na kituo cha Tv kinachoonyesha
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Huyu ni kijana wa Tanzania aliyekuwa anakipiga Klabu ya Chelsea ya watoto, lakini ghafla akaja akatemwa na klabu hiyo, baada ya hapo sijui alikwenda wapi, mnaojua alipo mtanzania huyu ambaye...
1 Reactions
12 Replies
11K Views
Hapa niwapongeze TFF kwa kuona mbali na muwalazimishe wacongo wafanye mazoezi mda uleule wa mechi ikiwa inaendelea ili wasikie makelele ya mashabiki wa simba make naamini ndo watakuwa wengi...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi karibuni kumetokea mijadala mitaani ikihusisha mashabiki wa klabu ya simba pamoja na yanga katika maswala ya ubadilishaji wa mfumo wa uendeshaji wa timu. Lakini klabu ya simba hapo jana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Azam FC wana kiwanja tena cha kisasa na CAF bosi wa TFF wameidhinisha mechi zao kuchezwa hapo. Ajabu TFF hataki Yanga na Simba kucheza hapo kama uwanja wa nyumbani wa Azam kama kanuni zinavotaka...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo VPL kituo cha Mbeya pana mechi kali na ya kuvutia kati ya Mbeya City na Azam FC lakini mpaka sasa saa kumi na moja na dakika tano kupitia Azam One wanaomba radhi eti technical difficulties...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Timu ya wanawake ya Zanzibar imefungwa kwa tabu na Uganda mabao 9-0 katika mashindano ya chalenji yanayoendelea mjini Jinja nchini Uganda
0 Reactions
10 Replies
2K Views
naomba mafans wa simba msinichukie na wala msinitukane! mkitaka muwin game dhidi ya club tajiri kuwahi kutokea katka nchi yetu(AZAM FC) basi nashauri yule jamaa mkosa magoli...
0 Reactions
3 Replies
691 Views
Metch inaendelea zidane, Rinaldo, figo, beckam wote wapo nje utajiuliza na matokeo yanatoka real Madrid 4 bercolona 01
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni zaid ya miaka 20 tangu makocha wazawa wa ungereza kujaribu kuchomoza kama makocha wenye uwezo wa kufundisha vilabu vya soka nchini mwao au hata kutoka nje na kuwika, makocha hawa wameelemewa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tasnia ya soka la bongo limegubikwa na mambo mengi ya ajabu, wenye taaluma hawapewi nafasi ya kuongoza, wenye nafasi hawataki taaluma ya kuongoza. Ukiwauliza unaambiwa "uongozi ni karama"...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Simba Wana Nafasi Kubwa Ya Kubeba Ndoo, Nimejarbu Kuziangalia Azam Fc, Yanga Pamoja Na Simba Na Naipa Asilimia 60 Simba Kutwaa Ubingwa Kutokana Na Ubora Wa Kikosi Chao Mwaka Huu, Kama Watacheza...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Leo ni siku ya pili ya semina ya Shotokan Karate kwa nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini ambayo inaendelea hapa Don Bosco chini ya Shihan Koichiro Okuma Sensei (6th Dan) kutoka Japan. Tayari...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom