Nipo maeneo ya uswazi ndani ya banda flani hivi tukisubiri kuangalia Manchester derby.Watu wamejaa kibao.Huku ukumbi mzima ni sare za jezi za timu hizi zinazoonekana.Watu wametoa kiingilio kwa...
Katika kuelekea kusherekea ile sikukuu yetu kubwa katika Mwaka huu hapo tarehe 01.10.2016.. leo tuone ni "chakula" gani Mnyama huyu mkali kabisa Mwituni, Simba SC atakua akila kabla na baada ya...
Wakuu, hivi sasa Clouds media ina utaratibu wa Fiesta takriban nchi nzima, kilichonifurahisha ni kuweza kupata vikundi vya ngoma za asili kila wapitapo.
Najiuliza hawa Clouds wamewezaje kuandaa...
Habari za mchana wana JF hasa wapenzi wa mpira na ligi mbali mbali duniani nini mtizamo wako juu ya ligi ya Uingereza msimu huu.
Maana naona timu zimefanya usajil mkubwa sana kwanzia makocha hadi...
Kupitia blog ya salehe ally nimeona taarifa ya ivo kuwapa makavu live simba kuanzia uongozi hadi mashabiki huku akimsifia manji,hali hiyo imetokea baada ya manyika kufiwa na babu yake ambapo...
Manji awaombe wanachama na mashabiki wamsupport kwa kiwango fulani yaani kwa kuprint Tshirt na kuziuza kwa wanachama na mashabiki.
Kwa jinsi wanachama na mashabiki wanavyomkubali akisema...
Zikiwa zimepita siku nne tu tangu asajiliwe na klabu ya Al Ittihad inayoshiki ligi kuu ya Misri, Samuel Nlend, 21, mkataba wake umevunjwa baada ya klabu yake mpya kugundua mchezaji huyo...
Leo timu ya Tanzania bara ya wanawake iko Kaitaba ikimenyana na timu ya Taifa ya Burundi. Niko kaitaba kwenye pitch mpya iliyotengenezwa kwa ufadhili wa FIFA na kusababisha mechi za kimataifa...
Mashabiki na Wanachama wa Simba SC tukiwa tunaendelea kuzihesabu siku zilizobaki kuelekea katika "vita' yetu dhidi ya Yanga SC.. namleta kwenu Jenerari atakaetuongoza siku hiyo.
Huyu Jenenari...
Huyu jamaa anajitahidi sana kukipendezesha kipindi cha michezo cha hii station Efm radio mwanzo nilifikiri wanarekod kisha wanatupia ktk vipindi vyao ndo mana inakuwa rahisi kuigiza sauti ya...
Wanajf naomba ufafanuzi wa kauli za watangazaji wetu wanapotutangazia matokeo ya michezo Kwa timu .Timu mbalimba li zinapochezwa matokeo yao hutangazwa kama kawaida lakini matokeo ya Yanga ndio...
September 3 2016 ni siku ambayo timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ilicheza mchezo wake wa mwisho wa kuwania kucheza michuano ya mataifa ya Afrika 2017 na timu taifa ya Nigeria katika uwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.