Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

kwa wale wafuatiliaji wa Michezo nahsi mtkuwa mumesikia hii ishuu ya Mrisho Ngasaa kuvunja Mkataba wake na Club yake huko Africa Kusinii.. Hivii ni kwanni wachezaji wengi wa kitanzania hawachelwi...
1 Reactions
0 Replies
840 Views
By Dick Dauda - September 2, 2016 Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Morogoro, imempandisha tena kizimbani Katibu wa chama cha soka Manispaa ya Morogoro Kafari Maharagande anayedaiwa kutoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbwana Samatta Mbwana Samatta playing for Tanzania Personal information Full name Mbwana Ally Samatta Date of birth (1992-12-13) 13 December 1992 (age 23) Place of birth Dar Es Salaam, Tanzania...
5 Reactions
44 Replies
8K Views
Habari wanaJF Sisi wapenda michezo tunafahamu kwamba sasa ule muda wa dirisha la usajiri limefunguliwa na tutaanza kuwa matumbo joto kutaka kujua nani anakwenda wapi na nani anabakia wapi. Basi...
8 Reactions
276 Replies
37K Views
Usajili uliofanyika siku ya mwisho barani ulaya Image c David Luis amerejea Chelsea Vilabu vya soka barani ulaya vimefanya usajili wa kumarisha vikosi vyao katika siku ya mwisho ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Michezo ni furaha na furaha ni kushinda na kushinda ni mipango na sayansi ya michezo na mipango na sayansi ya michezo ni gharama kubwa ambayo mzee Akilimali hamudu hata kununulia wachezaji wa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kumekuwa na shida ya mshambuliaji kwenye timu ya arsenal kiasi cha mashabiki kukata tamaa na kukondeana. SAMMATA sasa ni mfungaji wa kimataifa ana mechi ya tatu mfululizo anatupia tena mechi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Fedha za Kessy zasajili Yanga Yote! Fedha za Kessy zasajili Yanga Yote! - MUUNGWANA BLOG
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukienda leo uwanja wa mpira wa miguu, unapokaribia tu kumaliza ngazi, ili uingie uwanjani, unakaribishwa na harufu mbaya ya vyoo. Ukiingia huko vyooni hasa vyoo vya kiume ambavyo mimi ni mdau...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Bajeti ya Yanga Vs TP Mazembe- Lubumbashi Kwa haraka haraka nlikua najaribu kuitazama / kuitafakari bajeti ya Yanga kwenda Lubumbashi Jumapili tarehe 21 August, 2016 nikizingatia hali ya uchumi ya...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Sergio aguero ndiye mchezaji anayefuatia kwa ufungaji wa magoli katika manchester derby baada ya wayne rooney lakin kwa manchester derby ijayo aguero anaeza asiwepo kutokana na kumpiga kiwiko reid...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajangwani na wafanyabiashara wakubwa wote wanaohitaji kuwekeza kwenye brand ya yanga kama njia ya kumuunga mkono mheshimiwa mwenyekiti katika mpango wako wa kukodishiwa klabu yetu kesho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mshambualiaji hatari wa Taifa Stars na mchezaji wa zamani wa Simba na TP Mazembe ambaye kwa sasa anakipiga kwenye club ya KRC Genk ya huko Belgium inayoshiriki ligi kuu ya huko ijulikanayo kama...
6 Reactions
33 Replies
12K Views
Manchester City striker Sergio Aguero has been charged with violent conduct by the Football Association for elbowing West Ham's Winston Reid. Aguero could face a three-match ban, including City's...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Nikiwa namsikiliza Evans Aveva ametamka bayana kwamba mikia fc,wamatopen fc au vyura wekundu fc kuanzia mwezi wa kumi wanahamia Dodoma,nini maoni yakooo?
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Klabu ya Simba imejiridhisha na kupeleka ushahidi kwenye kamati ya sheria na hadhi za wachezaji kuhusu sakata la usajili linalomhusu beki wa kulia wa Yanga Hassan Kessy Ramadhani na wanaamini...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wajumbe wa JF mna taarifa kuwa game ya Toto na Mwadui iliahirishwa kupisha shughuli za fiesta? Hahahha very interesting, kupitia redio pendwa efm nilimsikia Julio akihojiwa kuhusu kuahirishwa kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu salamu zangu ziwafikie popote mlipo, Nipo huku Dom kwa muda ,nilikuja huku week hii na mkeka wangu wa week ule wanaita mega.Niliweka teams 10 zote zi win kwa Tsh 500 na ikatoka Tsh...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
ukiyashangaa ya amboni utayaona ya gamboshi Ndugu Jamal Malinzi kachaguliwa kuwa mwenyekiti wa Chama cha mpila wa miguu mkoa wa KAGERA. Whaaaat, Jamal Malinzi Rais wa TFF kachaguliwa tena kuwa...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Wa kimataifa Yanga ya Tanzania bado wana matumaini ya kutwaa Ubingwa Kwa Vilabu Afrika. Kimahesabu Yanga ilipaswa hata isicheze mchezo uliobaki lakini ndio hivyo kelele zilikuwa nyingi sana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom