Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Beki mpya wa Simba Hamad Juma amelazwa wodi namba 5 katika hospitali ya Mwananyamala baada ya kuanguka bafuni leo asubuhi akiwa nyumbani kwake, jijini Dar es Salaam. Beki Hamad aliyecheza mechi ya...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Hongera Kwa neymer Kwa mafanikio aliyapata akiwa bado kinda ukilinganisha na cr7 Ana makombe 19 akiwa na miaka 24 wakati cr7 Ana makombe 19 akiwa na miaka 31
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Kipchoge wa Kenya ni noma dadake, lkn katuzidi kidogo tu hata hapa kwenye Mbio pia tunaanza kuziba pengo, sijui Wakenya watatokea wapi mwaka huu kila mlipo tupo mpaka muombe poo, dadadeki!! 1...
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Hebu tuanze kuutizama uwanja unaomilikiwa na timu bora kabisa duniani.. Bayern Munich.. uwanja huu unaitwa Allianz Arena . Katika Arena hii kuna; 1. Uwanja wa kuchezea mechi 2. Uwanja wa...
4 Reactions
36 Replies
13K Views
Neymar alifunga mkwaju wa penati ya ushindi wakati wenyeji timu ya Brazil ikiichapa Ujerumani kwa penati 5-4 na kushinda medali yao ya kwanza ya dhahabu kwenye soka la wanaume katika historia ya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanaaanza.. "MASHABIKI wa Yanga wamepaniki baada ya kuona watani zao Simba wakianza Ligi Kuu ya Bara kwa ushindi mnono na kukaa kileleni, ghafla wakatafuta nafasi ya kuwaharibia lakini kabla...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Hivi ndivyo baadhi ya mataifa ya Afrika yalivyoorodheshwa katika jedwali la medali katika michezo ya Rio de Janeiro iliokamilika. Baadhi ya mataifa ya Afrika yalivyoorodheshwa katika jedwali la...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tafadhali naomba link hiyo nimeitafuta bila mafanikio wataalamu was IT naomba msaada.Natanguliza shukrani. ========= Dakika 90 matokeo ni TP Mazembe ya Jamhuri ha Kidemokrasia ya Congo magoli 3...
0 Reactions
53 Replies
8K Views
Maembe 1 Yanga 0
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wa Shirikisho wa riadha nchini Anthony Mtaka amesema nafasi aliyoshika mwanariadha wa Tanzania Alphonce Ferex Simbu katika mashindano ya olimpiki yaliyomalizka jana nchini Brazil imeonyesha...
0 Reactions
3 Replies
861 Views
Beki Tegemeo wa Ndanda FC, Aziz Sibo aliumia mguu katika mchezo wa timu yake dhidi ya Simba uliofanyika Jumamosi iliyopita, licha ya awali kuonekana hakuumia sana lakini salehjembe imepata picha...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
WATANZANIA wametakiwa kuwatia moyo wachezaji wanaofanya vizuri katika mashindano ya kimataifa kama,OLYMPIKI ambapo mwanariadha ALPHONSE FELIX SIMBU, alimaliza katika nafasi ya tano katika mbio za...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mkiambiaji wa marathon wa Ethiopia aliyeonesha ishara ya kupinga unyanyasaji wa serikali vidi ya kabila la Oromo Hatimaye amechangiwa zaidi ya dola arobaini elfu kumuwezesha kupata hifadhi ya...
1 Reactions
0 Replies
887 Views
Kweli tunatoka mbali sana
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Bara la Afrika ni mshiriki mxuri wa michezo ya Olimpiki kuanzia kule Rome mwaka 1960 ambapo shujaa wa Afrika Abebe Bikila alitwaa medalu ya dhahabu katika mbio za marathon kwa muda wa saa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
A French race walker who was a favorite to win the men’s 50-kilometer event on Friday collapsed on the course after suffering what appeared to be severe gastrointestinal problems. Yohann Diniz...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Leo hii katika diba la chamazi,timu ya taifa ya vijana ya Serengeti Boys iliweza kuibuka na ushindi wa goli 3-1 dhidi ya timu ya taifa ya Afrika Kusini,kwa matokeo hayo timu ya taifa ya Serengeti...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kenya hadi sasa wana Gold 5,silver 6 na bronze 1. Ni vizuri Watanzania tuanze na tunavyo viweza sisi na kenya tunafanana kwa kila kitu ,ndani ya miaka 10 ijayo tukijitahidi tutajenga viwanda 2...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwanza kabisa fahamu kwamba Yusuf Manji alichaguliwa na wanayanga mwaka 2012, Yanga ikiwa haifanyi vizuri katika mpira ukilinganisha na wahasimu wake Simba. Baada tu ya Yusuf Manji kuingia...
4 Reactions
100 Replies
18K Views
Rio Olympics 2016: 31st Games set for opening ceremony Brazil is the first South American country to host the Olympics Olympic Games on the BBC Hosts: Rio de Janeiro Dates: 5-21 August Rio...
8 Reactions
479 Replies
32K Views
Back
Top Bottom