Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baada ya kelele kadhaa NA dhihaka zisizo NA msingii kamati ya sheria NA hadhi ya wachezaji imeidhinisha rasmi mchana jina la HASSAN KESSY KUICHEZEA YANGA BILA MASHARTI YOOYOTE
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kama kuna mtu anajua mmiliki halali wa jengo la club ya Yanga pale Jangwani naomba atoe ufafanuzi hapa.
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Please naomba link ya mechi ya Serengeti Boys na South nichek online
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tanzania tumekua na timu nzuri sana za vijana, Serengeti boys na hata Ngorongoro heroes. Kuna ile timu iliyoenda Brazil na kuchukua kombe lakini ilivyorudi iliachwa na hadi leo wengi wao wako...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Licha ya ndoto za watani wangu Yanga SC kutinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kufifia, inaonekana hawata rudi bure. Hatua ya Makundi #CAFCC...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Lupita Nyong'o kung'aa zaidi Msanii muigizaji kutoka Kenya Lupita Nyong'o ameteuliwa kuijiunga na mabingwa wengine wa kimataifa katika filamu maarufu zaidi duniani STAR WARS. Lupita anatarajiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
AGOSTI 17, 2016 NGAO YA JAMII Yanga vs Azam Taifa Agosti 20, 2016 Kagera Sugar vs Mbeya City Kaitaba Simba vs Ndanda FC Taifa Toto African vs Mwadui FC Kirumba Stand United vs Mbao FC...
0 Reactions
0 Replies
13K Views
Nimepanga uzao wangu wote lazima upitie huu mchezo, huyu mdogo ana miaka 3 kasoro, nimepanga kumpeleka pahala ajifunze Umri unaofaa ni upi? Unanishauri nini zaidi?
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habar waungwana msaada game ip nzuri ya action naweza kudownlod kwenye Samsung s6 naomba kuwakilisha Asante
0 Reactions
2 Replies
930 Views
Brazil finally earned the Olympic gold medal the host nation most desperately wanted as the men's soccer team beat Germany 5-4 in a penalty shootout after a 1-1 game on Saturday. Neymar -- far...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
MFANYABIASHARA anayetaka kununua hisa ndani ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, ameanza kasi ya kuitumikia klabu hiyo ya Simba kwa kuanza kulipa mishahara ya wachezaji kuanzia mwezi huu huku...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Huku yeye akiwa hajui kinachoendelea nyuma yake, Mtangazaji wa BBC alilazimika kukatisha matangazo yake, baada ya nyuma yake kuonekana watu wakifanya ngono bichi. Halafu akajifanya kuwaongopea...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
TV1 mnafaa kuitwa watz....miaka ile ilikuwa itv ikaja tbc1. Asante kwa kutupa mzipo wa epl....naona liverpool na burney leo na mzee wetu dr leakey wa kipindi kile channel ten na akina ndimbo na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
je kwa mpira huu liverpool alistahili kufungwa
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Mh. Jamali Malinzi amemtumia salamu za pongezi ndugu Jamali Malinzi kwa kachaguliwa tena kuongoza chama cha soka cha mkoa wa kagera, na kumtakia...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Usain Bolt completed an unprecedented Olympic 'triple triple' as Team GB claimed a 24th gold medal of Rio 2016. Bolt helped Jamaica land 4x100m relay gold, having already won the 100m and 200m...
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Nimeangalia game ya France na Romania mpaka dk hii ya 88 na nusu ambapo France inaongoza 2-1 , kiukweli huyu mchezaji anasifiwa bure tu . Baada ya yeye kutolewa ndio timu ikapata uhai , kwa...
3 Reactions
91 Replies
9K Views
Inavyoonekana ukiwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani inasaidia pia katika kila nyanja. Kuanzia Olimpikia ya China 2008, London 2012 na hii ya Rio, Marekani ndio huwa wanaongoza kwa medali. Tuna...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Hidhi na baadhi ya kauli za wanamichezo maarufu kuhusu CR 7... Maradona:"Ureno hainabudi kujenga sanamu ya Ronaldo" "Mabeki wanamuhofia Ronaldo kuliko Messi" Mourinho:"Kwangu Ronaldo ndiye...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Hivi kuna mtu yeyote anaefuatilia Olimpic games na kumuona huyu Usain Bolt anachokifanya? hivi inawezekana binadaamu wa kawaida akafanya hivi? yaani mtu akimbie hadi kuamua kukimbia huku...
2 Reactions
82 Replies
8K Views
Back
Top Bottom