Nimesikia washiriki wa olimpiki toka Tanzania wakilalamika posho zao na viongozi kutowajali wachezaji.
Je tatizo nini mpaka imekuwa hivyo, kwani wizara haikujipanga?
Haya ndio baadhi ya aliyoyafanya Manji Jangwani
Mweneyekiti ndo aliependekeza kupandishwa kwa wachezaji pamoja na bench la ufundi iliosababisha kwa namna moja au nyingine kuleta mafanikio ya...
Hatimae katibu wa baraza la wazee yanga ameuomba uongozi pamoja na wanachama&mashabiki wa chama kubwa hapa bongo msamaha kwa kauli zake za hovyohovyo,hayo ameyasema leo katika kipindi cha sportsHQ...
Taarifa ya Kikao cha Viongozi wa simba sc na Mohammed Dewj (M0) kuhusu mabadiliko ya mfumo toka wa sasa kwenda mfumo wa hissa utachukua miezi 6 ili wanachama wapewe elimu kuhusu faida ya mfumo...
Waswahili wanamsemo unasema "pili pili ya shamba inawawashia nini".Nikianza na mzee akili mali hii siyo mara yako ya kwanza kuchafua hali ya hewa mara kibao umekuwa ukifanya...
Tukikumbuka sakata...
The Brazilian was predecessor to Sepp Blatter at world football's governing body, serving from 1974 to 1998.
Joao Havelange: Former Fifa president and IOC member dies aged 100
He resigned as...
Habari za uhakika ambazo tumezipata kutoka katika chanzo cha uhakika ndani ya Yanga zinaonyesha kuwa mwenyekiti wa Yanga Bw Yusuf manji ameamua kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti wa yanga pamoja...
Hii issue imeanza nyuma kidogo. Kuna kiongozi mmoja mkubwa wa Yanga alipata Taarifa kuwa Dangote anataka awekeze Yanga Tsh Bil 65. Kiongozi huyu mkubwa wa hiyo team ambaye kiuhalisia ndiye mweenye...
Nimekua najiuliza maswali mengi sana kuhusu wachezaji wanaokwenda kujaribu bahati zao nje na majibu yao wanaporudi
Nauangalia uwezo wa Ajib na jinsi alivyoondoka kwenda SA na majibu yake...
Naanza kuona Umuhimu wa kuwa Mwanahisa baada ya Mwanachama.
Mwanahisa atimuliwi hovyo. Ukitakata kumtimua mwanahisa tangaza dau la kununua HISA zake, naye pia lazima aridhie.
Sasa Hiwe Hivi...
WAKATI vichwa vya habai nyingi za michezo hapa nchini ikiwa ni kuhusu sakata la Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji kudaiwa kujiuzulu nafasi yake hiyo, taarifa ambazi zilianza kusambaa jana...
Gold for East Africa David Rudisha wins gold to defend his 800m Olympic title what a win! Asante sana Rudisha kwa kurudisha Gold Afrika Mashariki endelea kurudisha Gold!#TeamEA sisi sote twa...
Wakiokuwa wanabeza kuwa Simba Sports Club haitaweza kujenga uwanja wake nadhani sasa yamewashinda.Leo grader liliendelea kufanya kazi huko Bunju. Simba Sports Clubs imepania kuhakikisha uwanja huo...
Nlikuwa nawasiliana na jamaa flan yupo FIFA anasema Yanga ina uwezo mkubwa wa kuendelea mbele kwenye ushiriki wa Kombe hili ikiwa jambo hili litatokea.
Tuchukulia mechi ijayo Mo bejaija na...
HEBU MFAHAMU MZEE AKILIMALI.HISTORIA YAKE NA IMEKUAJE AWE NA SAUTI KATIKA KLABU YA YANGA?
1. Jina lake kamili ni Ibrahim Omary Akilimali, mzaliwa wa Kigoma.
2. Ameanza kuishabikia Yanga mwaka...
Zamalek vs Enyimba
CAF Champions League Group stage
FT - Mon, Aug 15, 10:30 PM
Petro Sport Stadium
Zamalek
1
Enyimba
0
Enyimba vs Zamalek
Egypt's Zamalek v Nigeria's Enyimba (CAF Champions...
MICHEZO VIDEO: Goli la faulo la Mfalme Messi la zaidi ya mita 20 na assist yake ya tiki-taka dhidi ya Sampdoria; fungua ujionee mwenyewe
Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina anayeichezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.