Bodi ya ligi TANZANIA itaanza kutumia mfumo wa VIDEO kutoa adhabu kwa vilabu, mshabiki, pamoja na waamuzi katika msimu mpya wa ligi baada ya sheria 16 kufanyiwa marekebisho na shirikisho la soka...
Jose mourinho amethibitisha kuwa paul pogba ataanza katika mchezo wao wa leo wa ligi kuu england dhidi ya southampton,huku akikataa kuwa nyota huyo wa pauni 100 million anaweza kuwa bado hayopo...
TAARIFA ya mapato na matumizi ya klabu ya Yanga inaonyesha kwamba deni la klabu hiyo sasa limefikia Sh 5.4 Bilioni.
Taarifa hiyo kwa mwaka 2016 imeonyesha kuwa Yanga alikopa kiasi cha Sh 1.5...
Nimekua nikitazama medal za olympic miaka mbalimbali nikagundua nyingine huwa zimechorwa mwanamke mwenye mabawa kama tulivyozoea kuona picha za Malaika zinavyoonekana.
Ningependa kujua ni nini...
Kwa mara nyingine tena Tanzania kwenda kushiriki kwenye mashindano makubwa ya michezo mbalimbali duniani ambayo mwaka huu 2016 Summer Olympics itafanyika huko Rio de Janeiro nchini Brazil, kuanzia...
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, dogo anajua mpira. Leo kafunga goli la pili dk ya 47 na kuiwezesha timu yake kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Lokomotiv zagreb. Mechi ya kwanza Krc Genk ya...
Wasalaam wana jamvi.
Baada ya Yanga kulazimika kumpigia magoti Manji baada ya Mzee Akilimali kupingana na pendekezo lake kutaka kuikodi Yanga kama movie za kutazama.
Wana jamvi bila shaka...
AZAM FC NDIYO MABINGWA WA NGAO YA JAMII na mpira umemalizika hapa kwenye Uwanja wa Taifa.
Azam: Balou anaenda kupiga GOOOOOO!!!!!!
Yanga: Niyonzima anaenda kupiga ANAKOSAAAA
Azam: Kapombe...
· Manji anaingia ubia na Yanga na kuamua kuchukua asilimia 75 ya mapato huku akiiachia klabu asilimia 25 na kubeba hasara yote. Kumbuka Mzigo wa gharama zote pamoja na hasara za timu zitabebwa na...
Salaam,
Nimekuwa nikifuatilia michezo ya Olympic inayoendelea kule Brazil, majirani zetu wanafanya vizuri sana hasa mchezo wa riadha na ni kwa miaka mingi mfululizo.
Tanzania wala haionekani...
Zikiwa zimeshalia siku chache kabla ya kualizika kwa mashindano ya Olimpili 2016 inayofanyika Rio, polisi nchini Brazil wamemkamata Mkuu wa Kamati ya Olimpiki ya Ulaya, Patrick Hickey kwa kosa la...
August 16 2016 ikiwa ni siku moja imepita toka kuenea kwa habari katika mitandao ya kijamii kuwa mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji amejiuzulu nafasi yake ya uenyekiti kwa madai ya kuandamwa na...
Mchezo huo unatarajiwa kufanyika Uwanja wa Olimpiki Novemba 7 mjini Rades, Tunis kuanzia Saa 1:00 usiku na Saa 3:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
KIKOSI CHA AZAM LEO :
Aishi Manula,
Erasto...
Kumejitokeza machache sana hapa katikati, baadhi ya hayo yanaonekana na kusemekana kuwa yataiyumbisha sana Dar es Salaam Young Africans SC hadi ishindwe kufanya vyema kwenye msimu wa mwaka...
Hii ni kudhihirisha ni kiasi gani tuko mbali na michezo,na matokeo sasa ndio kama hivi ushiriki wetu olimpiki,mini kimepelekea kutorushwa live event kwa mchezo huu wa Leo?Azam mlirusha Live mechi...
Shauku ya wanachama na mashabiki wa Simba SC ya kuona klabu yao ikifanya mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji ambao utamwezesha Mkurugenzi na Rais wa Makampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL Group)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.