Hivi karibuni uongozi mpya wa klabu ya Yanga SC chini ya mwenyekiti wake Yusuf Manji uliamua kubadilisha Sekretariati iloyokuwepo baada ya kumaliza muda wake mwezi Novemba 2014, na kutangaza...
YANGA SC ya Tanzania imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kufuatia wenyeji Medeama SC kushinda 3-2 dhidi ya TP Mazembe ya DRC leo katika mchezo wa Kundi A Uwanja wa Essipong...
Hatimaye yametimia Wakimataifa wetu hawana nafasi tena katika michuano ya CAF mwaka huu. Yanga mashindano haya ni makubwa na magumu yanahitaji kujipanga kujiandaa kwani mpira ni taaluma sio kupiga...
The US Olympic Committee has said four swimmers, including multiple medallist Ryan Lochte, have been robbed by armed men in Rio.
Lochte, along with Gunnar Bentz, Jack Conger and Jimmy Feigen...
Yanga bado wana nafasi yakufuzu hatua inayofata,mfano mechi ijayo Mo Bejaia na Medeama wakimpiga refa timu zote mbili zikatolewa mashindanoni inabaki Yanga na Tp Mazembe ndio wanafuzu hatua inayofata
Jamaica's Usain Bolt became the first athlete to win three Olympic 100m titles by beating American Justin Gatlin to gold at Rio 2016.
Bolt, 29, ran 9.81 seconds in his final Olympics to replicate...
Mchezaji bora wa dunia wa soka,Lionel Messi ametangaza kurejea kwenye timu ya taifa ya Argentina. Messi ameandika kuwa timu ya taifa ya nchi yake ina matatizo mengi yanayopaswa kurekebishwa...
Kuna taarifa kwamba Shirikisho la Soka la Kimataifa FIFA limefungua tena dirisha la usajili kwa saa 48 ili kuipa Yanga nafasi ya kukamilisha usajili wake na TFF tayari wameshapewa taarifa hiyo...
Mchezo wa mpira wa miguu ligi kuu ya Zanzibar kanda ya ungunja uliotakiwa kuchezwa leo kati ya timu ya Polisi v/s Africa magic umeaahirishwa baada ya mchezaji mmoja wa Africa magic kutoa ripoti...
Wakuu nimeona leo Yanga wamevaa T-shirt zenye maneno ya Quality Group.
Je inamaana tayali yule Manji alishakodishwa ile timu ya pale mitaa ya Jangwani?.
Na kama ndio kwa hiyo tutegemee kesho...
Kwa mujibu wa mtatndao wa sokkaa.com,
wachezaji wawili bora duniani Cristiano Ronaldo
na Lionel Messi wamewaacha wengine mbali
katika kuvuta mkwanja mrefu kwa upande wa
wacheza soka.
Ronaldo...
Safari hii DStv na msemo wao mpya wa “Hainaga Shobo Tunashangiliaga”, mbinu zao zinaonekana kuwa ni za dhati na mfano kabla ya kuanza kwa msimu wa 2016-17 ambao unaaminika kuwa, utakuwa mtamu...
The United States won its 1,000th Olympic gold medal on Saturday when the American women's 4x100 meter medley relay team clinched victory at the Rio Games.
The honor of reaching the milestone was...
Namshukuru mungu kwa kuniongoza kutabiri vema mechi za jana..niliweka laki moja na kuvuna laki nne na na nusu..
Nakukaribisha katika GROUP LETU LA WHATSAPP LA NFL..
Nicheki hapa 0718227556
Nimechukulia Kgm kama mfano tu, hoja yangu ni kwamba kwa nini kila mtu TZ nzima ni mpenzi wa Yanga au Simba hata kama hawajazaliwa na wala hawakulia Dar, kwa nini wasiwe wapenzi wa timu zao huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.