Hapa tutapeana updates za mechi ya yanga Na Mo Bejaia.
Updates:
DK 1: Mo wanafanya shambulizi la kushtukiza ktk lango la yanga lakini halina madhara.
DK. 3: Yanga 1 (Tambwe anawaandikia yanga...
Mchango wa kujenga club ya Sunderland Msimbazi Street katika miaka ya 1970
Majuzi hapa kulikuwa na Simba Day.
Nimekaa leo asubuhi na kuwaza vipi Simba ilikotokea.
Sijui kama Simba walifanya...
Mzee wa Mabifu Guardiola ameamua Joe Hart awe kipa wa chaguo la pili , baada ya leo tena kumchomesha mahindi kwenye benchi .
Ikumbukwe kwamba hata ule mchezo wa kirafiki dhidi ya Arsenal hali...
KITUO cha Televisheni cha TV1 Tanzania kinatarajia kuanza kurusha matangazo ya moja kwa moja ya mpira wa miguu ya ligi kuu soka ya Uingereza EPL matangazo ambayo yanatarajia kurushwa kuanzia...
Raia wa Ethiopia Almaz Ayana ameishindia Afrika dhahabu ya kwanza Michezo ya Olimpiki mjini Rio na kuvunja rekodi ya dunia mbio za mita 10000 wanawake.
Ayana aliwaacha nyuma wapinzani wake mbio...
mifumo ya kufikiri ya binadamu haifanani duniani kote. aghalabu kuna mambo ambayo hujitokeza katika jamii zote duniani. katika umri wangu bado sijawahi kusikia jamii isiyojihusisha na michezo ya...
Wanachama Yanga wamkabidhi Yusuf Manji aiendeshe Yanga kama klabu binafsi, mikataba ya kumkabidhi nembo kusimamiwa na Baraza la Wadhamini.
Katika mkutano huo unaofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond...
Kwa kifupi habari yenyewe imehaririwa na kuchapishwa kwenye Gazeti la Habarileo la tarehe 12 Agosti 2016’ likiwa linasomeka ( nanukuu.. )
‘Klabu ya Yanga inakabiliwa na faini ya Sh milioni 128...
Wapenzi na mashabiki njooni hapa mdeclare interest zenu ni team ipi unapenda England, coz mwaka huu mtoto hatumwi gulioni, Mi Asernal wazee wa mtutu........... Usnishangaee .......
Yanga inakabiliwa na faini ya Sh milioni 128 kwa uzembe wa kuchelewa kufanya usajili wake kwenye mtandao wa kimataifa (TMS). Yanga ambayo tayari utetezi wake umetua Shirikisho la Soka la Kimataifa...
Kama mchezaji umebahatika kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha Mcameroon, Joseph Omog ndani ya Simba basi unatakiwa kupambana kwani ukizingua tu, benchi litakuhusu.
Hiyo ni kauli ya Kocha Msaidizi...
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Agosti, 11 limetoa orodha ya timu zinaoongoza kwa ubora duniani na nchi ya Argentina ikiendelea kusalia kileleni ikiwa na alama 1585.
Nafasi ya pili inashikwa...
Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi, wachambuzi wa soka katika kituo cha runinga cha Sky Sports wametoa utabiri wao timu itakayotwaa ubingwa na zile zitakazomaliza katika nafasi nne za juu...
Wapenda soka wote tunailaumu TFF kupitia bodi ya ligi kwa kubadilisha ratiba ya baadhi za mechi za ligi kuu chini ya udhamini wa Vodacom.
Ukweli ni kwamba, hili ni jambo ambalo halikwepeki kwenye...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeeleza kuwa, Klabu ya Yanga inaweza kupata nafasi ya kusajili wachezaji wake katika mfumo wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA),endapo watalipa gharama ya...
Kocha wa riadha wa Kenya wa mbio fupi za mita 800, John Anzrah amerudihwa nyumbani Kenya kutoka kwenye michezo ya Olimpiki nchini Brazil kwa makosa ya udanganyifu.
Bwana Anzrah aligundulika...
Kumekuwepo na mitizamo tofauti kuhusu matajiri Mo na Manji kujiingiza katika masuala ya soka. Tangu zamani Mo amekuwa akiisaidia Simba kwa hali na mali kwa manufaa na maendeleo ya klabu. Mo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.