Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wanasimba acheni tabia za kike!!! Uamuzi walioufanya Yanga uwe na hasara au faida unawahusu Yanga. Ifike wakati mtumie akili msitumie makalio kufikiri. Simba ni mbovu sana yangu kukodisha timu...
1 Reactions
4 Replies
767 Views
Lee Eun-ju wa Korea Kusini (kulia) na Hong Un-jong wa Kaskazini walipiga picha wakiwa wametabasamu wakati wa mazoezi kabla ya kuanza kwa michezo hiyo. Picha hii imekuwa gumzo kubwa kwenye mitandao...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna habari inayoendelea ya kuhusu Manji KUKODISHWA TIMU YA YANGA, nina maswali yafuatayo mwenye majibu yake anijibu na nielewe. 1.Manji anaikodi Yanga kutoka kwa nani ?? 2.Je kulishatengenezwa...
5 Reactions
66 Replies
7K Views
Na Saleh Ally MFANYABIASHARA bilionea kijana Mohammed Dewji maarufu kama Mo, ametangaza kuwekeza katika Klabu ya Simba kwa kutoa Sh bilioni 20 ili amiliki hisa kwa asilimia 51, jambo ambalo...
4 Reactions
112 Replies
13K Views
Nimepokea kwa mshangao taarifa ya kusudio la kukodishwa kwa klabu ya Yanga kwa M/ kiti wake Yusufu Manji, uamuzi ambao umepitishwa kwa kauli moja na mkutano mkuu leo hii tarehe 6 Agosti 2016...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
TFF na Wizara husika kwa nini mshindi wa kwanza wa Maisha plus analipwa fedha nyingi {around 100million} mshindi wa kwanza wa Vodacom Premier League anapata fedha kidogo {around 80 million}. Hivi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Beki nguli wa mbeya city amemaliza adhabu yake baada ya kufanya utovu wa nidhamu. Msimu mpya unakaribia kuanza tunatarajia mchango mkubwa kusaidia timu ya mbeya city
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa timu anaitisha mkutano wa dharula bila kufata katiba Mkutano unahusisha wanachama wa dar pekee ila unafanya maamuzi wa Tanzania nzima Mwenyekiti anavua kwanza uanachama watu kadhaa...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Narudia tena.. 1. Hivi Wadau wa kandanda mnamuona kweli Ajibu?. 2. Hivi mna taarifa kua kwa sasa katika VPL hakuna deadly straika kama Ajibu? Hebu imagine.. Kijana wa kitanzania [mwenye umri wa...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
SIMBA SC imesherehekea vyema miaka 80 jioni ya leo baada ya kuifunga AFC Leopard ya Kenya mabao 4-0 katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mshambuliaji chipukizi wa kimataifa...
3 Reactions
62 Replies
8K Views
The Olympic athletes village in Rio de Janeiro, Brazil. A STRING of alleged sexual assaults at the Olympic Village is threatening to cast a show over the Rio games with a second athlete arrested...
0 Reactions
1 Replies
899 Views
Paul Pogba driven to Manchester United training ground in Chevrolet Camaro as France midfielder gets ready for medical ahead of world-record £110million move Paul Pogba was driven to Manchester...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
ESPN FC's Gab Marcotti, Steve Nicol and Craig Burley talk what's next for Manchester United now that Paul Pogba is in the fold. Manchester United have secured the long-awaited signing of...
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Geza Ulole missing in action! Eldoret Kenya is in festive mood, karibu sana, thanks the Olympics
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Juzi michezo ya Olympic imeanza rasmi, tumeshuhuhudia nchi nyingi zikiwatuma wanamichezo wengi, lakini sisi Tanzania tumewakilishwa wachezaji wachache, kuna michezo mingi ambayo tunatakiwa...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Brazil 1970? Wonderful, but too obvious. France ‘98? Pah. Spain 2010? Nope. Ignore the ‘best team not to have won the World Cup’ label - the best team in the history of the World Cup full stop...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
maneno ya zuber blog.yanga walipeleka majina kupitia tff nao wakathibitisha kuwa sahihi kupelekwa huko.sasa mnafiki alioupeleka cecafa ameshapatikana nae ni mtu anayejikrim na si mwingine ni zuber...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Wanajamvi, Naomba orodha ya wachezaji wote wa Simba sc msimu huu wa 2016/2017...
0 Reactions
6 Replies
51K Views
kesho kwenye kipindi cha mada moto chanel ten albert kilalah (the king) atakuwa na viongozi wastaafu na waliopo madarakani kuzungumzia mabadiliko ndani ya simba. saa nne usiku live on channel ten
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linachukua nafasi hii kuipongeza Klabu ya Simba ya Dar es Salaam kwa kufikisha umri wa miaka 80 tangu kuanzishwa kwake kama ambavyo inaelezwa na...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom