YANGA 3-0 AFRICAN LYON 'LIVE' FULL TIME KUTOKA UWANJA WA TAIFA
hongereni watani zetu kwa ushindi MNONO
TAARIFA ZOTE KWA HISANI YA SALEH JEMBE BLOG
FULL TIME!
Mwamuzi anapuliza kipenga...
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amemwagiza mkuu wa Polisi wan chi hiyo Augustine Chihuri kuwakamata wachezaji wote wa timu iliyokwenda inchini Brazil kwenye mashindano ya Olympic mara tu...
Habarini za asubuhi,
Ningependa niongelee hawa wanamazoezi wa efm wakiongozwa na na mtangazaji Maulid kitenge.
Wamekuwa na kawaida ya kufanya mazoezi ya kukimbia maeneo ya mitaa ya Masaki kama...
LIVE VIDEO:
UPDATES:
Mpira umeanza dak ya 2 sasa
Kona ya kwanza kwa simba inaokolewa na JKT Ruvu. Mpira umetulia wanacheza kwa kuonana Simba wakionesha kuwa na kasi na pia JKT Ruvu wakiwa...
Cristiano Ronaldo amewashinda wachezaji
Antoine Griezman na Gareth Bale na kutwaa tuzo
ya mchezaji bora wa Ulaya kwa upande wa
wanaume. Ushindi huu umetokana na mafanikio
yake msimu uliokwisha...
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana wa ligi ya Ubelgiji na nimebahatika kuiangalia uwanjani mara kadha.
Siku zote nikiangalia naangalia timu ya SAMATA hasa anavyoenea katika nafasi yake...
UEFA YAFANYA MABADILIKO CHAMPIONS LEAGUE
August 26, 2016
Shirikisho la soka la Ulaya UEFA limetangaza mabadiliko katika michuano ya UEFA Champions League kuanzia msimu ujao 2017-18.
Kuanzia...
Huyu jamaa sasa mpaka nataman aje man u... Dakika ya kwanza tu kaweka...[emoji16][emoji16][emoji16]
Full Time: KRC Genk 2 - Lokomotiva Zagreb 0
Magoli yamefungwa na Samatta dakika ya 2 na...
Ratiba kamaili ya hatua ya makundi ya Uefa champions League imetoka. Timu za Uingereza zinaonekana kuwa na ahueni kwenye hatua hii kutokana na kutokuwa kwenye makundi ya vifo huku Leicester wakiwa...
Monday, September 24, 2012MANJI KUJENGA UWANJA WA KISASA JANGWANI, UTAKUWA BAAB KUBWA TANZANIA NZIMA HAKUNA
Uwanja mpya wa Kaunda utakavyokuwa
Na Mahmoud Zubeiry
KLABU ya Yanga ipo katika...
Kocha wa Manchester United Jose Mourinho alipokuwa akiongea na waandishi amesema kuwa hafikirii na ni vigumu sana Bastian kupata nafasi ya kucheza msimu huu, sijasema haiwezekani , nimesema ni...
The complete draw:
Group A: Manchester United, Fenerbahce, Feyenoord, Zorya Luhansk
Group B: Olympiacos, Apoel Nicosia, Young Boys, Astana
Group C: Anderlecht, St Etienne, Mainz, Qabala
Group...
Katibu Mkuu wa timu bora kwa sasa katika ukanda wa CECAFA, Simba SC, Ndg. Patrick Kahemele amefunguka mipango mbalimbali ya Mnyama katika msimu huu wa 2016/2017.
1. Ukusanyaji wa michango...
Manchester City have signed goalkeeper Claudio Bravo from Barcelona for 18m euros (£15.4m).
The fee for the 33-year-old Chile international could rise with £1.7m of add-ons, say the Spanish club...
Ile tabia ya serikali kuunga mkono michezo pale tu wanapoona dalili za mafanikio imedhihirika hapo jana baada ya waziri nape kujitokeza na kuahidi kuipeleka kambi nchi za nje. Kumbuka timu hii...
Kwanza natoa pongezi kubwa kwa timu ya yanga kwa kutuwakkilisha katika mashindano hayo na pia wa kufa kishujaa. TP Wazembe walishinda kwa taaaaaabu sana jana vigoli 3 tu dhidi ya Gugoli Gumoja gwa...
Wasalaam wana jamvi!
Kama mjuavyo Mzee Akilimali ndiye anaye jua yanga ilipo.
Baada ya baraza la wazee wa Yanga kumsimamisha mzee Akilimali uanachama huyu mzee aliona akae kimya bila kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.