Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu wa nchi nimesikia unaweza kuona Live huu mpira kupitia FACEBOOK UNAFANYAJE NIWEZE KUUONA PLEASE.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
"Mfanyabiashara" Mo kafunguka sana juu ya lengo lake la kuitaka Simba S.C mbele ya SALEHJEMBE.. Mwanamsimbazi yoyote hebu tupitie huu "muono" wa "Mfanyabiashara" Mo katika timu yetu. SALEHJEMBE...
0 Reactions
1 Replies
13K Views
Tatizo la kuona kua ni timu mbili tu ndio zinajua kucheza na kustahili kupewa support litatufikisha pabaya,Ningependa kukushauri Bwn Mo achana na malumbano yanayoendelea na badala yake chagua...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
1. Safari yake ilianzia katika kipindi cha TV kilichokua kinafatiliwa na wengi, Mkasi.. Huku akitumia zaidi ya dk. 15 [mda wa kipindi ni dk. 30] kuelezea mapenzi yake "ya dhati" kwa Simba, nini...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu ningependa kufahammu kama kwenye histiria ya tz football kulishawahi kutokea timu ambayo ilipanda daraja kama vile ilivyopanda Mbao fc ya mwanza. pili je kuna kitabu maalum...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Hongera kwenu boresheni mapungufu
0 Reactions
79 Replies
8K Views
Nachukua nafasi hii kumshukuru Dewji kwa kukamilisha ahadi yake na pili kuchangia pesa za usajili - AVEVA Zimebakia siku chache za usajili na tunatakiwa tulipe Milioni 420 za usajili - AVEVA...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Tajiri huyu kwa kuepuka na kuogopa ushindan anashirikiana na baadhi ya wanachama na viongoz wa Simba wasio waaminifu kwa kuwalipa pesa kiasi cha kuanzia 100,000- 200,000. Wampinge Mo Dewj ili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni mwanachama hai wa Simba. sina haja ya kuweka namba yangu . Kuna mambo ambayo nayakubali katika mpira bila kupepesa macho siku zote nitasisitiza. Kwa hatua tuliyofika sasa Mpira wetu...
5 Reactions
115 Replies
12K Views
Habari wanaJF, mwanasiasa na mpenda michezo nchini Zitto Kabwe akiwa kama mpenzi wa Klabu ya soka ya Simba ametoa mawazo yake juu ya biashara anayotaka kuifanya Mo Dewji ya Uwekezaji...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Mnamo 08.08.2016 katika uwanja wa Taifa, kutakua na pambano la kukata na shoka baina ya miamba miwili ya Soka barani Africa, ambayo ni Simba S.C dhidi ya Interclube toka nchini Angola. Pambano...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimekuwa najiuliza taratibu zilizomfanya Charles Boniface Mkwasa kuchaguliwa kuifundisha timu ya soka ya taifa letu kama zilikidhi nia yetu ya kusonga mbele, naambulia kusononeka tu. Kocha huyu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Good[emoji1]
0 Reactions
3 Replies
933 Views
Anaipenda Tanzania kwa kuwa amezaliwa Tanzania na wazazi watanzania wanaoishi Tanzania mpaka sasa lakini kwa kuwa Ureno wamemuamini sana na kumpa nafasi ya kuichezea timu yao ya taifa ya vijana...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Leo Messi, "La Pulga" Baba Thiago, Mchawi mweupe wa soka ameonyesha mashabiki muonekano mpya kuelekea msimu mpya ambapo ameweka blonde nywele zake hali hii imezua mjadala kwa mashabiki wke wengi...
2 Reactions
54 Replies
11K Views
Hatimae uongozi wa klabu ya Simba umemuandikia barua mfanyabiashara (Bilionea) Mohamed Dewji “Mo”, ya kumktaka ahudhuria kwenye kikao maluum cha kamati ya utendaji ya klabu hiyo, ili kueleza...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Simba watakua wanajirudisha nyuma miaka kadhaa kama watakubali kuruhusu Mohamed Dewji Achukue contol ya timu kwa asilimia kubwa. Simba wamekua driven na kile kinachoonekana kama success kwa Yanga...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari zenu! Kumekuwa na minong'ono mingi kutoka kwa wana msimbazi kutoridhishwa na uongozi wa Aveva. Ingawa katiba imewaweka viongozi wa sasa na watatoka kikatiba, kumekuwa na wengi wakisema Mo...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Mfadhili wa zamani wa Simba, Azim Dewji amesema alichokieleza kuhusiana na njama za TFF kutaka kumrudisha madarakani, Michael Wambura kimekamilika. Lakini akasisitiza, kukamilika kwake kumekuwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jana ametangaza nia ya kuinunua club ya simba sc hisa 51 kwa bilion 20 halafu mchana kaenda TFF kusajiri timu yake mpya MO FC Huyu jamaa bana wakati anazungumza na wanahabari alisema eti...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Back
Top Bottom