Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ile ligi pendwa ulimwenguni ndo iyo imekaribia ligi ya Uingereza... naona timu nyingi zikifanya sajili zao na kucheza mechi za kirafiki kujiweka fiti... Tutarajie ligi yenye mvuto na ngumu msimu...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
The Olympic torch relay was disrupted by striking teachers after it entered Rio de Janeiro. Video footage of the demonstration suggests the flame was extinguished while the runner carrying the...
0 Reactions
0 Replies
486 Views
Nakupa heshima maridhawa Rais wangu wa awamu ya Tano, hakika unafanyakazi stahiki. Naomba utazame sekta hii ya michezo yote nchini chini ya vyombo mbalimbali vya usimamizi wa serikali. Eneo...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Nafikiri ni muda muafaka sasa timu yetu pendwa ya Young Africans ibadili jina ili isizidi kuonewa barani Afrika, jina Young Africans halina tofauti sana na toto afrika,so Yanga wanaonekana kama...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Timu ya soka ya Yanga inayoshiriki kombe la shirikisho barani Afrika imekubali kufungwa na timu ya soka ya Medeama magoli matatu kwa moja.
4 Reactions
238 Replies
29K Views
Uero uefa 2016 inaendelea na timu mbili zimeshaingia hatua ya robo fainali-Wales na Poland. Portugal tangia mashindano haya yameanza hawajashinda mechi hata moja. Nimeangalia mechi zao naona kama...
3 Reactions
82 Replies
5K Views
Juventus wametambulisha rasmi usajili wao wa Pauni Milioni 75.3 kwa Gonzalo Higuain
0 Reactions
3 Replies
689 Views
Rais wa Simba Sport Club Evans Aveva akizungumza na Vyombo vya Habari leo wakati wa Uzinduzi wa Simba Week Akiwa Sambamba Katibu Mkuu wa Simba Patrik Kahemela (Kulia) na Afisa Masoko na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
USHAURI WANGU KATIKA MECHI ZA KIMATAIFA WAGENI WAKIWA WANAKUJA BONGO "Waarabu na wengine wakija tuwashushie Kigoma airport. Tia kwenye basi hadi Kahama, Nzega, Singida, kula kushoto Babati tokea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Mwaka jana nilifanya maamuzi magumu ya kuweka kando kinga'amuzi changu cha DSTV na kuchukua AZAM TV nikiamini itakata kiu yangu ya Soka maana mimi kwenye TV huwa naangalia vitu viwili tu...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kocha mpya wa Klabu ya Manchester city, Guardiola amepiga marufuku ulaji wa chakula kinachoitwa "Pizza" kwa wachezaji wote wa Klabu hiyo kwa chakula hicho kina madhara mengi kwa wanamichezo.
0 Reactions
2 Replies
935 Views
Jana tumeshuhudia fainali ya Ulaya kati ya Ureno na Ufaransa ambapo Cristian Ronaldo alicheza kwa dakika takribani 24 na kuumia,hivyo akashindwa kuendelea na mchezo kwa bahati Ureno wakaibuka na...
4 Reactions
99 Replies
9K Views
Wapenzi wa Yanga wameaswa kujitokeza kwa wingi kwenda kuilaki timu yao pindi itakapowasili nchini kutokea Ghana. Katika mchezo wa jana Yanga ilipoteza kwa kutandikwa bao 3-1 na timu ya vijana ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
WAWAKILISHI wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho, Yanga, leo wako ugenini jijini Accra, Ghana kwa kazi moja tu – kupata ushindi dhidi ya Medeama ya huko ili kujinasua kutoka mkiani. Vipigo...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Habari wana jamvi! Mimi binafsi tumezoea kuona na kusikia wachezaji wanaongoza kwa utajiri ulaya, Sasa leo ngependa kufahamu mchezaji au wachezaji wanaoongoja kwa pesa hapa bongo.tz
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Sky Sports wameingia mkataba na ligi kuu ya China Chinese Super League kuonyesha ligi hiyo moja kwa moja kutoka China. Mechi hizo zitaanza kuonyeshwa live kwa misimu mitatu mfululizo kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
FIFA chief Gianni Infantino wants two more Africa slots in expanded World Cup An expanded World Cup was one of the key points in the election manifesto of Gianni Nigerian President Muhammadu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila siku tumekuwa tunajiuliza kwanini watanzania wengi wanafuatilia ligi ya uingereza kuliko ligi yoyote duniani. Jibu ni moja tuu..inatangazwa sana..lakini sio utangazaji kama tunavyotangaziwa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Karibuni wadau tujadili mambo mbalimbali kuhusu soka katika msimu huu unaotarajia kuanza siku si nyingi, pia na betting tips kwa wale wakubet.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MACHO ULAYA, MASIKIO CHINA. Umewahi kuona mtu anaangalia Tv huku anasikiliza redio? Hapo utakuta sauti ya Tv iko chini sana. Hii ina maana kuwa anapenda kutazama kinachooneshwa lakini pia hataki...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom