Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kauli hiyo imeafikiwa na mahakama ya juu ya michezo ambayo imefutilia mbali rufaa iliyowasilishwa na kamati ya olimpiki ya Urusi ROC ya kuitaka ibatilishe uamuzi wa shirikisho la riadha duniani...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Robo Fainali ya mwisho leo Hadi sasa Dk 55 BILA BILA Kauzu ya Tandika ina majeshi kama vile Taita, Gumbo R, Jeba majesh ya Kibada namuona Hamad Kibopile tu
2 Reactions
42 Replies
9K Views
Habari wanajamvi, Nauliza katika ile deal ya Neymar na Barcelona iliyogharimu euro 57 milioni mbona neymar alipata hela nyingi euro mil 34 kuliko klabu yake ya Santos waliochukua euro mil 17...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Klabu bingwa ya Tanzania Yanga pamoja Na kucheza Mpira kwenye magazeti zaidi Leo wameshindwa Kwa Mara nyingine tena kuutumia vena uwanja wa nyumbani.Yanga Wa kimataifa zaidi wamezidi kuwaonyesha...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Arsenal are to sign the Japan striker Takuma Asano from the J-League club Sanfrecce Hiroshima. The 21-year-old made his international debut in August last year and has made five appearances. The...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama Liverpool wana jembe la kijerumani,Man United na City wana matingatinga yapo na Chelsea wana nondo yao mimi sijui jamaa zangu wa Asernal watafia wapi, hakika safari yao msimu huu majanga.
3 Reactions
73 Replies
6K Views
1. Simba ndiyo timu ya kwanza nchini kupanda ndege na hii ilikuwa mwaka 1963 tena wakati huo taifa la Tanzania halikuwa limeundwa, ilikwenda Ethiopia kwa mwaliko wa rais wa taifa hilo Haile...
5 Reactions
27 Replies
11K Views
Ndala bhana. Kelele nyingi kumbe shoka moja mbuyu chini. Nasikia haina ushemeji... [emoji23][emoji23][emoji23].!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mashabuliaji wa zamani wa Klabu ya West Ham United ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Shaghai Sheghua FC ya uchina amevunjika mguu akiwa katika moja ya mechi katika ligi ya uchina.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Michezo ni uhamasishaji, na michezo yaweza kuwa siasa. Kati ya watu ambao wameonyesha commitment kwa nchi ya Tanzania, hadi duniani, watu wamepata Phd katika Management ni Mtanzania John Peter...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani naombeni linki hiyo itakayoanza 9:45pm hapa kwetu.Asante
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwengine hapo ni Said Makapu
0 Reactions
1 Replies
886 Views
Nilikuwa naangalia tuzo za TFF leo, Sijui tukio hili limefanyika lini, lakini Masoudi ndiye aliyekuwa host. Aluvyokuwa amevaa na ukizingatia ni mbele ya waziri wa mambo ya ndani Kama mgeni rasmi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Starts Naomba tujadili wataalamu wa mpira.. Ni kwanini mpira wetu Tanzania umegubikwa na maneno maneno sana? Nini kifanyike tutoke hapa Tulipo...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kumekuwa na taarifa ya kuwa Ikulu imefanya uteuzi wa Bw. Jerry Muro kukaimu nafasi ya Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu. - Hii taarifa ambayo binafsi kwa mara ya kwanza kabisa niliikuta humu JF...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Karibuni kwa updates KIKOSI 01. Deo Dida 02. Juma Abdul 03. Oscar Joshua 04. Kelvin Yondani 05. Vicent Bossou 06. Mbuyu Twite 07. Simon Msuva 08. Thabani Kamusoko 09. Donald Gnome 10. Amissi...
1 Reactions
191 Replies
24K Views
Tff ni baba wa soka tanzania na ndio yenye zamana kuendesha ligi hapa tanzania na timu zinapofanya vibaya haikwepi lawama,timu yetu ya taifa haifanyi vizuri yote haya kulingana na ligi yetu si...
0 Reactions
3 Replies
801 Views
Former Netherlands international striker Partrick Kluivert has been appointed as Director of Footbal at PSG , The Ligue 1 Champions have confirmed .
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kocha wa Sunderland Sam Allardyce anatarajiwa kufanyiwa usaili wakati wowote kuanzia sasa ili kuifundisha timu ya Taifa ya England . MyTake - Huyu ndiye mtu sahihi wa kufundisha timu ya taifa ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom