Jerry Muro ni Jembe! Uwepo wake Yanga kama Msemaji wa Club, ulichangamsha mashabiki, uliongeza hamasa ya team, Sisi kama mashabiki wa Yanga we will miss you! Mashabiki wa Simba walikua wanatamani...
leo asilimia 100 ya wachezaj wa yanga wanaenda kucheza vizuri ili waonekane nao waajiriwe tp mazembe..
ukicheza mazembe mshahara unaolipwa ni zaidi ya ceo wa magufuli...
kila mchezaji ana ndoto...
Fainali nne haujachukua hata moja, huku ukiwa na best player s, Ona Portugal ya Ronaldo imechukua euro na kikosi kibovu, najua hiyo itakuwa point kwa team-Ronaldo kuprove wewe si lolote si...
Mchezaji mwingine afariki dunia Argentina
Na whezron - May 24, 2016
BUENOS AIRES, Argentina
MCHEZO wa soka umekumbwa na tukio jingine la kusikitisha ambapo mchezaji wa Kiargentina, Micael...
Hii timu imezoea ushindi, haina wasiwasi na wala haitegemei uwezo wa mchezaji mmoja mmoja, wanacheza Total football, ukishangaa watakuadhiri kwa kiwango ambacho hutasahau!
Hawana presha ya vyombo...
FT (after Extra Time) PORTUGAL 1, FRANCE 0.
Eder's 1st international goal wins Portugal their 1st title. Incredible!
=====
UPDATES
Confirmed lineups
01min: POR 0 - 0 FRA
10min...
Ili ndoa iweze kudumu na kuwa na amani na furaha muda wote unatakiwa kuwa na hekima ,busara ,uvumilivu na pesa na uaminifu .Ndoa ni pesa siku hizi na Pesa ni ndoa ukikosa pesa hauwezi pata ndoa...
Baada ya UK kupiga kura na kuamua kujitoa kwenye umoja wa nchi za ulaya. Hii ina athari gani kwenye ligi yetu pendwa ya EPL?
Ikumbukwe moja ya sababu kuu ya hawa waingireza kujitoa ni swala zima...
Habari kwa wapenzi wote wa video games za mpira, kama nilivyoweka kwenye tittle ya thread hii kuwa mchezaji nyota wa club ya Real Madrid na captain wa timu ya taifa ya Colombia, James Rodriguez...
Wale wapenzi wa Rally... Kesho hapo Bagamoyo East Africa Rally inaanza.. Updates zote tunaweza kuzipata hapa.. Mashindano yataanza kesho Jumamosi na kumalizika Jumapili..
sensor saragossa...
Salary Madness: These So-So NBA Players Just Scored a Bigger Payday Than Nike’s CEO
Thanks to the league’s new TV deal and a 35 percent jump in the salary cap, there are more lucrative...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF),
limeipiga faini ya dola 5,000 Klabu ya
Young African kwa kosa la kuchelewesha
mchezo baada ya wachezaji wake
kumzonga mwamuzi wakati mchezo wa
kuwania...
Nimeshangazwa na kufurahishwa na juhudi za wachezaji wenye asili ya Afrika kuonekana wanapambana kwa nguvu zote na kuzipigania nchi "zao"za kuhamia katika michuano ya ulaya,ninachojiuliza mbona...
1: UFARANSA.
Ukiachana na aina ya wachezaji walio nao, ile hali ya kuwa mwenyeji kwenye michuano hii itamfanya aanze kwa kushambulia ili apate goli la mapema. Kitu hiki alikikosa kwenye mechi ya...
Rekodi inaenda kuandikwa kwa kinda Paul Pogba kuvunja rekodi ya usajili duniani.
Miezi miwili nyuma nani alieamini ili jambo linawezekana?. Pogba ndoto zake ilikua kucheza Real Madrid, lakini kwa...
Nina 1m hapa inaniwasha nataka niitoe kwa mtindo wa kubet
Mimi naamin Portugal anabeba ubingwa leo hivyo aliyetayali kupinga kwa kubet basi aje na 1m yake tuweke mzigo mezani atakayeibuka kidedea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.