Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wale wenzangu na mimi wabishi sasa yamekuwa pogba asilimoa 110 % anaenda zake aon Carrington wengi walibisha tena wapinzan lkn no way but is it true that paul pogba weathier 100 mil pound? the...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hapa anamzungumzia Vincent Bossou, yule Beki kiboko ya Drogba.. Namnukuu.. "Korea Kusini ni moja ya nchi ambazo wachezaji wanalipwa vizuri na kwa ujumla wachezaji wakubwa huondoka Ulaya kwenda...
0 Reactions
19 Replies
86K Views
Arsenal’s manager Arsene Wenger is not a loser (Picture: Getty Images)There are different types of managers in the game. There are some who do it for the club and others who do it for personal...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Who will be Queen of Wimbledon? S.Williams v Kerber Posted at 12:00 Games faces on, ladies. It's final time.
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Beki wa kati wa zamani wa timu ya taifa ya Italia na klabu ya Inter Milan ya Italia Marco Materazzi , usiku wa July 8 2016 ameamua kuweka wazi kilichomfanya apigwe na nahodha wa zamani wa timu ya...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari yako Mkuu popote pale ulipo, Kabla ya yote hongera sana mkuu kwa kupata nafasi mpya kuwa Katibu Mkuu wa Simba ni matumaini yangu kwamba utafanya kazi kwa weledi ili kuitoa Simba hapa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msomi gani unabisha hata vitu vipo wazi kabisa. Unabaki kijisifu eti umesoma Marekani, Swedeni na Afrika Kusini. Kuwa mpole tu azam warushe hiyo mechi kuliko kukaa kupotosha wakati kanuni zipo wazi.
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Ndugu wanasports Nimepokea kwa mshituko kuwa msemaji mkuu wa klabu cha simba s.c ndugu sande manara amepofuka jicho moja halioni kabisa na lingine lililobaki linaona kwa uhafifu sana Hivyo sisi...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Unaanzaje kumfunga Genius wa soka wa dunia ya leo?Yule ni Kiumbe toka sayari ingine usakataji wake kabumbu hauna mfano Messi ni burudani tosha aisee...sijui kama atabanwa kiasi gani na adhabu hiyo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naam, hivi ndivyo tunaanza. Nitajitahidi sana kuweka updates as usual... ======= Things to note: > Euro 2016 semi-final updates from the 8pm BST kick-off in Marseille > World champions face the...
4 Reactions
172 Replies
20K Views
Inavyoonekana timu ya wanaoitwa 'makinda fc' ndo bac tena sasa hiv wamegeukia vibabu vya kimataifa...ngoja tuwaone ISIDINGO Fc aka wazee wa next seasons aka wazee wa kujipanga msimu ujao...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
========= KAMATI YA MAADILI TFF YAMPIGA PINI JERRY MURO, KUTOJISHUGHULISHA NA MASWALA YA SOKA KWA MWAKA MMOJA MKUU wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Jerry Muro (pichani)...
4 Reactions
77 Replies
11K Views
Kocha mkuu wa Yanga amesikitishwa na kitendo cha mchezji wake Deus KASEKE 'kupata ajali ya bodaboda' na kuwaonya kwamba ni marufuku wachezaji wa timu hiyo ya KIMATAIFA kujichanganya uswazi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Yule Msemaji Mkorofi na mwenye sifa na majigambo wa Klabu moja Kesho anategemewa kuhukumiwa Kifungo cha kati ya mwaka mmoja ( 1 ) hadi mitatu ( 3 ) ila uwezekano wa kufungiwa kutojihusisha na...
10 Reactions
73 Replies
13K Views
Mchezo unaitwa MMA (Mixed Martial Arts) dah ni hatari zaidi hata ya Boxing, ni kama street fight, yaani ni marachache pambano linaisha bila KO na TKO, na ni marachache pambano linaisha bila mtu...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Mark Clattenburg ndo mpinga kipenga siku ya FRANCE v/s PORTUGAL
1 Reactions
3 Replies
938 Views
Simbaya kukumbushana kwa herI kumsaidia mh RAIS MH WAZIRI MKUU alipoingiaa alisema atajitahidi kukusanya kodi NA mojawapo n kuhakikisha wanamichezo wanatumia electronic tkts MPAKA leohii mh...
0 Reactions
2 Replies
720 Views
Nimeshangazwa na Katibu Mkuu wa Kamati ya Olimpiki ya Tanzania kwa kauli aliyoitoa juzi wakati akizungumzia michezo ya Olimpiki kuwa kitu cha muhimu ni kushiriki na si kushinda. Nadhani wakati...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imeondoka saa 9.45 alfajiri ya leo Juni 30, 2016 kwa ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia kwenda Visiwa va Hame-Shelisheli...
4 Reactions
4 Replies
3K Views
SIMBA YASHUSHA STRAIKA WA IVORY COAST Beki wa kati Mzimbabwe, Method Mwanjali yuko nchini kwa ajili ya kusajiliwa Simba SC
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Back
Top Bottom