Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Former Arsenal midfielder Mikel Arteta has taken up a coaching role at Manchester City under new manager Pep Guardiola. Arteta, 34, retired from playing at the end of last season after five years...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Karibuni wakuu nadhani mko poa, naomba mnielimishe ni nani aliyetaka wanamasumbwi ( Boxers) wapigane wakiwa tumbo wazi hasa wale wa ngumi za uzito wa juu ??? Na sababu yake ni nini...
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Kutoka kigoma mpaka Spain wamegongana na mzee wa vidimples huwezi kuamini rooney ndio aliomba selfie hutaki mbishi
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imetupilia mbali shauri la Msemaji wa Yanga, Jerry Muro kusikilizwa. Kamati hiyo imesema hoja zilizotolewa ili kumuita Muro zilikuwa na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naombeni Msaada najaribu kutengeneza account ya mkeka bet Ila nikifikia sehemu ya kuweka date of birth inagoma
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SIO UCHAWI WALA NUKSI ILA HICHO NDIO ATAKACHOFANYWA MFRANCE NA MGERMANY SEMI-FINAL....
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Its after 29years as a player and Manager at Old Trafford!!!
1 Reactions
5 Replies
1K Views
(Reuters) - Hundreds of Argentines protested in the pouring rain on Saturday, demanding that soccer star Lionel Messi return to Argentina's national team after he unexpectedly quit following a...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana wakati tupo ukumbini tanaangalia game ya europa kati ya Italy na Germany ghafla ulianza mjadala wa kumsifia huyo dr. Rick kila mtu akitaka kujua alipo hivi sasa na kama bado anajihusisha na...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Manchester, Uingereza. Mchezaji wa kimataifa wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic amejiunga rasmi na klabu ya Manchester United ya Uingereza huku akitamba kuandika kumbukumbu mpya katika historia ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, nimekuwa najiuliza TFF ni shirikisho au klabu kama Mtibwa, maana kama TFF ni shirikisho basi tungepewa majina ya wachezaji wa timu za Taifa na vilabu wanavovichezea lakini ni wachezaji wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mw/kiti wa Yanga Yusufu manji ameweka wazi TFF inavyoihujumu Yanga na amemwambia kama Tff wanasimamia tiketi za mechi za kimataifa ijiandae na kughalamikia kambi usafiri wa nje na ndani. swali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana Serikali imetangaza kutoiilipisha Klabu ya Yanga gharama za uharibifu uliofanywa Na mashabiki wa Klabu hiyo katika mchezo wao na Klabu ya TP Mazembe.Kitendo hicho kinashangaza kwani kinaweza...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Hatimaye ile kesi iliyokua ikimkabili Muro ambaye ni msemaji wa Yanga, imetupiliwa mbali na kamati ya maadili ya tff kwa kuwa barua ya vitisho aliyoandikiwa Muro ilikua na mapungufu. Safi sana...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Matokeo ngapi ngapi?
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’, Bakari Nyundo Shime, amesema hatarajii kuwa na mabadiliko makubwa ya kikosi katika mchezo dhidi ya vijana...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wana-jf habari zenu? Kufuatia mzozo kati ya katibu wa tff mr. Mwesigwa na msemaji wa yanga mr. Muro, kuna tetesi zimevuja kuwa tff imeamua kuikomoa yanga kwa kumfungia Muro kuanzia kesho mara...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
nyie mikia efusi a.k.a matopeni efusi a.k.a mbumbumbu efusi a.k.a wachumba efusi a.k.a Kikundi cha ushangiliaji efusi a.k.a bunju efusi a.k.a wapanda boti efus a.k.a bunju efusi endeleeni kupanua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
KOCHA Joseph Omog ametua jijini Dar es Salaam, jana Alhamisi saa 3usiku na amepanga kutumia mifumo mitatu tofauti ambayo itairejesha Simba katika ubora wake huku Mwanaspoti ikipenyezewa figisu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwanariadha wa Jamaica Usain Bolt ajitoa katika fainali za mita 100, wakati Jamaica ikijiandaa kushiriki Olimpiki. ================ Usain Bolt’s Olympic quest is in doubt, after the sprint...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Back
Top Bottom