Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ewe mpenda michezo... Kama umezaliwa kipindi hiki basi mshukuru sana Mungu, maana hakuna wakati mzuri kama kushuhudia viumbe hawa wawili wakicheza katika kipindi kimoja cha kalenda... Itachukua...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
KIKOSI CHA TWIGA STARS Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Mpira wa Miguu ya Wanawake Tanzania, Nasra Juma ametangaza majina ya wachezaji 23 watakaounda kikosi cha Twiga Stars. Kikosi hicho...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Najiuliza bila huyu mkali wa soka EURO itakuwa na cha kuangalia kweli!?
4 Reactions
79 Replies
7K Views
Aba BA Tz bamebadilika sana. Mara ya kumwisho tulikujaga tukabapiga matatu kwa likalai. Bakalogota bila tabu kunyavu, Lakini aba ba leo bagumu kwa ndani ya uwanja. Ni mungu anasaidia basisi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nadhani Yanga wakati umefika wa kuacha kucheza mpira kwenye magazeti ona ilivyowagharimu.Bw.Jerry Muro nadhani wakimataifa umewaonani TP Mazembe sisi Yanga nadhani ni wa kitaifa tu.
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, katibu mkuu wa TFF amemjia juu Jerry Muro mkuu wa kitengo cha habari cha Yanga kuwa ni mbumbumbu na mtu asiyejua mambo ndio maana yeye peke yake kati ya viongozi...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
inashangaza aliokuwa mwandishi wa habari leo msemaji wa tifutifu a.k.a kupe eti anaelezea uharibifu wa fensi ya uwanja wa taifa kama wa tifutifu wao wasubiri wenye uwanja watoe gharama za...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mashabiki wa Tp Mazembe wamejigamba na kusema kuwa Yanga ishukuru kucheza na Tp Mazembe kwa kuwa wamepata umaarufu kwa kuwa wao ni timu kubwa Afrika wamesema kuwa wakifika kwao wataifunga goli tano
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Napenda kuishauri Serikali Na TFF waache kuiruhusu klabu ya Yanga kuutumia uwanja wa Taifa kuchechezea mechi za bure kwani washabiki wake huanzisha vurugu na kuharibu uwanja. Tukio la Jumanne...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninayo furaha kuwafahamisha kuwa leo TFF ya malinzi imenyoshwa mara baada ya Yanga kuruhusu watu waingie bure kwenye mechi ya TP Mazembe na Yanga. Hapa kilichonifurahisha ni kile kipengere cha...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
inaonekana team ya TP Mazembe imeacha kundi kubwa la wananchi raia wa Kongo hapa dsm. haijafahamika hasa sababu ni nini. lakini leo ofisini na Mjini sehemu Nyingi wamesikika wananchi wanaoongea...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Imekuwa kawaida kila mara anapoondoka mtu mmoja anapoondoka wengine kumkumbuka. Si jambo geni kabisa katika utamaduni wa Binadamu. Kuna wanaomsifu Hitler mpaka leo hii, kuna wanaomkumbuka idd...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kweli dunia inaenda kasi simba sc kutoka kuwa mabingwa Africa mashariki mpaka kuwa kikundi maarufu cha ushangiliaji.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wacongo man bana, eti akiulizwa kwanini anafikiri watz wamefanya kuingia bure uwanjani Jibu:"mutu ya musiba hafanyagi malipo. Musiba huwa ni bure kwa ba mutu bote"...
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Mashabiki ya TP Mazembe wakiongozwa na Papa Ndiku wa Ndikumana Nyboma wameshukuru sana kwa ushirikiano walioupata hapa nchini. Wanasema kwa kweli walijisikia kama wapo kwao Congo. Walipata kila...
8 Reactions
38 Replies
6K Views
Hansi si ulisema Yanga sio Timu ya taifa sasa wametia aibu wipi taifa?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hakika Mtangazaji Jane John amekuwa Na wakati mgumu wa kutangaza michezo Leo SAA 2.00 wakati wa taarifa ya habari TBC kwani ushabiki Na matokeo ya kufungwa Na TP Mazembe yamemnyong'onyeza.Pole...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
WAWAKILISHI wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho, Yanga, wamefungwa na TP Mazembe bao 1-0, tena nyumbani. Ni mechi ya pili mfululizo baada ya kupokea kipigo kama hicho ugenini kwa MO Bejaia ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kiukweli unapotaka kushinda mechi ya soka ni lazima uwaze kandanda . Wachezaji karibu wote wa Spain hawajuti kufanya makosa uwanjani , hawaonyeshi concentration ya mchezo , " THEY DO NOT FEEL THE...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom